DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

dk.jpg
 
kile kizee/kibabu yaani nikikaona tu najikia kichefuchefu mbaya...nina alergy sana kile kibabu..dah nisamehewe tu!!


Mkuu

Afrika zaidi ya uijuavyo. Vizee vinapeta pia.

Na kama ni chaguo la mafisadi basi anaweza kupenya. Mtazame Mugabe aka Komredi aka Mzee Jongwe!
 
Mkuu hao walipata mvuto enzi hizo ccm haijamshika mkono kipofu mpiga kura ambaye leo anafakari ukali wa maisha anashindwa kunywa biya wala chai wala komoni hata gongo nayo bei imepanda watu wamechoka mkuu tunao ishi uswazi ndo tunajua hali halisi bilal hana mvuto kwa wadanganyika hajafanya lolote la maana kuwafrahisha wananchi kwenye ziara zake zaidi ya kutembea na mkasi mfukoni

Mkuu, ukiangalia mambo yanavyokwenda CCM ni hakika kuwa hakuna Uongozi.

Bilali mwenyewe aliwashinda ilikuwa aivuruge Zanzibar asingepewa.

So, anything is possible.
 
Itabidi turudi idara ya fizikia ya chuo kikuu Dar, kuangalia tabia yake.

Mbaya sana niliwahi kusikia kwamba jamaa huyu ni mwanchama wa sera za David Cameron! Hili lazima alisemee mwenyewe bila kuwatega sumu wanaolifahamu vizuri kabisa!!!!!


Duu! JF ni noma sana.

Mkuu huyu ni Ticha wangu pale enzi hizo akiwa Dean wa Sayansi. hata hivyo thread hii haina uhusiano wowote wa mimi kumfahamu. Ni observation yangu tu kwa yanayotokea.

Hilo la sera za Cameroon, kwa kweli silifahamu ndo kwanza nalisikia. So, no comment.
 
Futeni ndoto hizo, labda uwenyekiti wa CCM lakini siyo U Rais wa Tanzania. Hatukubali kutawaliwa na mtu anayetoka sehemu ambayo ina watu wachache kama wilaya ya Twmeke.
 
Kamanda tumia lugha ya kistaarabu na andika hoja. Si kuwa hatuwezi matusi. Tukiyafungulia utatafuta pa kujificha.

Ulikuwepo wakati Anna makinda anachaguliwa Uspika? Was she a better candidate? kama siyo ni nini kilitokea?

Unaweza kuweka arguments zako zikaeleweka. No need ya matusi unless kama unataka kupata BAN.

Nilikuwa nataka nami nimwambie lakini basi. Mbona hoja imekaa vizuri. Mtoa mada umetoa changamoto nzuri tu, mtu badala ya kuchangia anaanza matusi. Hawa watu ndio wanaichafua JF. Kama mtu hana hoja si anyamaze tu. Kuna watu nadhani hawawezi hoja za kufikirisha wakiona tu kuna kugikiria kidogo tu basi anakimbilia matusi!
 
Hii itakuwa noma aisee!
Ila Bilal alikuwa kambi ya Salmin.
Sidhani kama Bilal na Karume wanapikika though. Rejea jinsi walivyomchakachua Bilal na kumwingiza Shain.
However, kwenye siasa hakuna permanent enemies but interests, so haitashangaza utabiri wako ukiwa sahihi.
Ila hii ya ma-first lady wawili noma. Why can't Salim A Salim try again if it is necessary asimame mtu wa Zanzibar.


Kamanda;

Inasemekana both Bilali na Sheini waliwekwa na EL, RA kwa msaada wa Karume. Bilali halikuwa chaguo la JK bali Zakia. Shein aliwekwa kule kwa maandalizi ya 2015 ili iwe rahisi kuiteka Zanzibar. Kwa hilo inasemekana ilikuwa ni compromise ya kujiweka katika position nzuri.

jarubu kufanya reference kwa "Hutaki Unaacha" hapa JF.
 
Futeni ndoto hizo, labda uwenyekiti wa CCM lakini siyo U Rais wa Tanzania. Hatukubali kutawaliwa na mtu anayetoka sehemu ambayo ina watu wachache kama wilaya ya Twmeke.

Kamanda nakubaliana na wewe, lakini pamoja na hayo Mwinyi alishakuwa Rais wa TZ.

So hakuna jipya. Ni CCM tu waliamua kuuacha utamaduni wao wa kupokezana vijiti.
 
Futeni ndoto hizo, labda uwenyekiti wa CCM lakini siyo U Rais wa Tanzania. Hatukubali kutawaliwa na mtu anayetoka sehemu ambayo ina watu wachache kama wilaya ya Twmeke.
Mkuu Mkoa wa Pwani ama Mtwara una watu wangapi? Pwani ina watu wengi kuliko Mwanza?
 
Back
Top Bottom