Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,438
Inaonekana jamaa ni mpenda puli, mimi nasikilizaga mbona sisikii mzuka wowote!!!We unapenda puli.....
Inaonekana jamaa ni mpenda puli, mimi nasikilizaga mbona sisikii mzuka wowote!!!We unapenda puli.....
Jamani mods hawa "Great Jingaz" kwanini msiwatengenezee jukwaa lao?
Eti Roulette hamna mpango wa kuanzisha walau ka sub-forum kwa ajili ya magreat jinga kama huyu jamaa??
Tusave space kwa ajili ya servers!
hahahaha, you're being mean now! Ila hii avatar yako safiiii, umetokelezea ile mbaya!
Unapo piga simu kwenye
namba ya AIRTEL halafu mpokeaji akawa hapatikani basi itasikika
sauti ya DJ FETTY wa Clouds FM ikisema " AIRTEL YATOSHA blah
blah blah , then baadaye inakuja SAMAHANI, NAMBA UNAYO PIGA
HAIPATIKANI KWA SASA , then blah blah blah. Hapa kwenye
SAMAHANI,NAMBA UNAYOPIGA HAIPATIKANI KWA SASA ndo huwa balaa!
sauti imekaa kimahaba balaa, kila inapofikia hapo huwa lazima
nisisimkwe! wakati mwingine huwa nalowanisha boxer ! Nimenunua
line mpya ya airtel maalumu kwa ajili ya kusikiliza sauti ya DJ
FETTY, huwa naizima halafu naipiga ili nimsikie fetty
nisisimkwe. Ebana ni nouma sana. NIMEKUBALI, AIRTEL
YATOSHA
Nimeamini wanaosema kuwa Mirembe kuna uhaba wa dawa maana ungekuwa umeshatibiwa!