Dj Fetty wa Clouds FM ahamasisha punyeto

Dj Fetty wa Clouds FM ahamasisha punyeto

Aaah,sema ulikuwa unataka kutuambia tuu kuwa mwenye sauti ile ni Fetty,coz unajua hatujui wengine,watu wengine bwana!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Magonjwa ya kichwa huanza taraibu..... kijana kamuone b12 akusaidie
 
huyu ni wale wale wa matokeo.mapya nadhani....
 
wewe ndio ulichora lile Zombi lililosahau viatu?
 
wewe ndio ulichora lile Zombi lililosahau viatu?

Mbona wote mna mawazo yanayo fanana? wachache wamegundua nilikuwa namaanisha nini kwenye hii post. U great thinker wenu uko wapi jamani? Anyways, u guys need to know this, in very NONSENSE there is SENSE in it. U cant have NONSENSE without having SENSE in it. Kinacho nishangaza ni kwamba mmekuwa interested zaidi na the NON part na kuignore the SENSE part. Hii inaonyesha ni jinsi gani mlivyo na mawazo hasi. Acheni umburalaa nyie kuweni critical, soma thread, elewa thread then comment in a manner whch will reflect your so called GREAT THINKING.
 
huyu ni wale wale wa matokeo.mapya nadhani....

Kufeli shule ya Tanzania sio kufeli maisha, kuna watu hawajasoma hata darasa la saba lakini wana maisha mazuri ambayo wewe mwenye digrii saba ..........................malizia mwenyewe
 
Aaah,sema ulikuwa unataka kutuambia tuu kuwa mwenye sauti ile ni Fetty,coz unajua hatujui wengine,watu wengine bwana!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Wewe ni bonge la mjanja. U have think, u deserve to be called a Great Thinker
 
Kufeli shule ya Tanzania sio kufeli maisha, kuna watu hawajasoma hata darasa la saba lakini wana maisha mazuri ambayo wewe mwenye digrii saba ..........................malizia mwenyewe

kwani nani kasema amefeli maisha??hebu acha kurukia rukia tuliza mawazo ndo useme seme aiasee....
 
Sasa kusikia sauti tu ndo hadi mwavuli ufunguke. Na kuonyesha kwamba si kawaida mara zote unapojipigia simu. Hiyo ni brain disorder.
 
Mimi nilifikiri amehamasisha kwenye kipindi cha redio, kumbe.........mmmh...majanga.
 
Sasa kusikia sauti tu ndo hadi mwavuli ufunguke. Na kuonyesha kwamba si kawaida mara zote unapojipigia simu. Hiyo ni brain disorder.

Yeah hilo linawezekana kwa sisi marijali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom