unapo piga simu kwenye namba ya airtel halafu mpokeaji akawa hapatikani basi itasikika sauti ya dj fetty wa clouds fm ikisema " airtel yatosha blah blah blah , then baadaye inakuja samahani, namba unayo piga haipatikani kwa sasa , then blah blah blah. Hapa kwenye samahani,namba unayopiga haipatikani kwa sasa ndo huwa balaa! Sauti imekaa kimahaba balaa, kila inapofikia hapo huwa lazima nisisimkwe! Wakati mwingine huwa nalowanisha boxer ! Nimenunua line mpya ya airtel maalumu kwa ajili ya kusikiliza sauti ya dj fetty, huwa naizima halafu naipiga ili nimsikie fetty nisisimkwe. Ebana ni nouma sana. Nimekubali, airtel yatosha