kuomba sana hata kwa kukesha hakukufanyi ufikie maximum point of transformation success if at all utakuwa hujafikia threshold level ya frequency kubwa katika kuleta mageuzi ya kimaono..
Tunaposema vibration frequency ni nguvu ya kuhisi unafeel presence ya kile kitu unachokihitaji bila kuwa na negative mind ( negation)ya kukipata...reffer laws of nature in correspondence to success utaelewa nazumgumzia nini..
Ndo mana watu hawafanikiwi kwa lolote licha ya kudai kuwa wanasali sana na kumwomba mungu kila kukicha
Ukitaka kuelewa soma vizuri universal laws and how to interact with them...
Wapo watu waliofanikiwa kufikia rank kubwa katika kuview things katika quantum level hence kuweza kubashiri maisha yako ya baadae na hao watu tunawaita wasoma nyota au waganga whatever you can call them but kuna njia ambayo either anaweza akaitumia kusoma life pathy yako kupitia higher frequency pathways ili kusoma lower frequency pathway..au yeye mwenyewe akaweza kuview ramani ya maisha yako kwa sababu anakuwa kasha attain maximum ability ya kuvibrate katika highest point hence kuwa na uwezo wa kuview lower life form .
Kumbuka mtu anaevibrate katika highest frequency anaweza soma ramani ya mfumo mzima wa lower frequency life form ya kiumbe yoyote..
Au unaweza ukasoma life pathway ya kiumbe yeyote kwa msaada ya portal entry system kutoka cosmic energy ambapo atakuwa anasaidiwa na device maalumu katika kukuconnect ili uweze kusoma ramani nzima ya lower form life pathway..
hivyo ndo mana kuna watu wanaweza kukupa kipande cha mti mbichi akakuambia nenda nje ukanene yoyote unayotaka yafanyiewe kazi katika maisha yako halafu rudi hapa nitakwambia umeomba nini na kweli utaenda utatamka maneno yako kisha ukirudi ukampa kile kijiti ulichokitemea mate na atakichanganya na vifaa vyake ambavyo ni portal entry kwenye cosmic energy grid na kujikuta akisoma ulichokisema uko ukiwa alone na utashangaaa jamaaa alijuaje...
So hayo ni either matumizi ya vifaa vinavyoweza kuconnect mind yake na cosmic energy ambayo kimsingi ni higher energy frequency vibration inayoweza kufanya tafsir ya consciounsness yoyote iliyopo katika lower vibration..
So ili ufanikiwe ni lazima uvibrate katika highest point of energy ili kufikia ile level ya mageuzi ya kitu chochote katika physical reality la sivyo utakuww unasali na kulia lakini huwez fanya mageuzi ya kitu chochote..
Tafuta uzi humu unaozungumza juu ya laws of the universe and theri manifestation ndo utaweza elewa kwanini binadamu ni personal spect katika Uumbaji wa kitu chochote..