Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

500M ni bei ya KITUMBUA CHAKE 🤣 🤣 , kumbe bado yupo na story zake.
 
Kazeeka Kuna umri ukifika kwa mwanamke uzee haujifichi japo waweza uficha walau kwa kuvaa Dela ,jeans ,hijabu nk.Lakini kwa hizo alizovaa tuwe wakweli ni Mzee huyo au ajuza kwa kiswahili kizuri ila Kama ana umri mdogo basi ana umbo la kizee.Hapo mahari ya milioni moja tu haipo .Mtu hata akiambiwa mahari atoe laki Tano aweza goma akasema ana elfu hamsini.
Elfu hamsini??? bajeti ya kunywa beer kwa siku sitoi....bora ninywe beer tu....
 
Mbona yupo uchi? believe me akiamka kwenye kile kiti utakuta MAVI

Acha uchafu unazeeka vibaya wewe
 
Nawaza bado .kwann aliwaza kupiga picha km hii jamani😅😅.ila huyu sio mzee...amejitaabisha tu na makeup..zimemkuza zaidi .na kuna mamisuko jaman ukisuka unakuwa mzee..ww nywele unavaa blonde jaman unaweka moto kichwani😏😏!
Alafu kuna picha insta anajiweka sio yy kbs..mfano hii hapa
 
Hii sio yy kbs hata km kuna photoshop duniani
Screenshot_20190724-094909.png
 
Nawaza bado .kwann aliwaza kupiga picha km hii jamani.ila huyu sio mzee...amejitaabisha tu na makeup..zimemkuza zaidi .na kuna mamisuko jaman ukisuka unakuwa mzee..ww nywele unavaa blonde jaman unaweka moto kichwani!
Alafu kuna picha insta anajiweka sio yy kbs..mfano hii hapa
Shingo tu kaaaah...ngoja nirud kuangalia avatani kwanza
 
Back
Top Bottom