Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

Acha utoto mkuu!
Hayo makitu utamu wake ni akili zako. Hauwezi kuulizia utamu kwa mtu mwingine zaidi ya nafsi yako pekee, ndiyo maana yakaitwa ma falagha na yanalindwa na katiba ya nchi.

Kwa jina jingine ni mautam, lakini siyo kikolezo kama sukari ama asali uijuayo wewe.

Ushangae sasa! Vionjo hutofautiana ntu na ntu hasa inapotokea kutangulia unyanyaswaji mkubwa wa kisaikolojia kwa kuringiwa na kuzungushwa, ama kuwekewa sharti la kuhonga hela kubwa!

Hapo utaliona tamu kweli, kuliko mimi ninayesanuliwa bure na kusepa.

Kwa hiyo usije ukauliza swali hilo tena eti..... 'tamu?'.. Utamu akili zako.

Unamaanisha kwamba Utamu wa Pipi Mate ni yako mwenyewe?
 
Kazeeka Kuna umri ukifika kwa mwanamke uzee haujifichi japo waweza uficha walau kwa kuvaa Dela ,jeans ,hijabu nk.Lakini kwa hizo alizovaa tuwe wakweli.Ni Mzee huyo au ajuza kwa kiswahili kizuri ila Kama ana umri mdogo Basi ana umbo la kizee.Hapo mahari ya milioni Moja tu haipo .Mtu hata akiambiwa mahari atoe laki Tano aweza goma akasema ana elfu hamsini.
Wanawake wacheze vizuri wakiwa 18 - 25 maana at 22 ndio Binti anakuwa kwenye ubora wake,Katika Age hiyo akicheza hovyo karata zake atakuja kuishia kuwa kama wakina DIVA,WEMA,UNYOYA,SHANGAZI EZEKIEL,WOPA etc AKishacheza karata vibaya kwenye umri wa 18-25 basi nafasi ya pili ya kujirudi na kujitunza/Kujimaintain/Kujing'arisha basi ataenda hadi 30 akishavuka 30 basi ajiandae kwa UZEE....Kwa Mwanaume ukishafika 45 basi ushazeeka.
 
Wanawake wacheze vizuri wakiwa 18 - 25 maana at 22 ndio Binti anakuwa kwenye ubora wake,Katika Age hivyo akicheza hovyo karata zake atakuja kuishia kuwa kama wakina DIVA,WEMA,UNYOYA,SHANGAZI EZEKIEL,WOPA etc AKishacheza karata vibaya kwenye umri wa 18-25 basi nafasi ya pili ya kujirudi na kujitunza/Kujimaintain/Kujing'arisha basi ataenda hadi 30 akishavuka 30 basi ajiandae kwa UZEE....Kwa Mwanaume ukishafika 45 basi ushazeeka.
Kwa umri wao hao uliowataja na huyu vijana hujitahidi kuwakwepa.Ukiona hawa wakiwa na wapenzi mara nyingi huwa ni na watu wazima tu ambao huwachezea na kuwatupa huko Sio wa kuwaoa.Kuna umri mwanamke ukifika Kama ulivyosema hata ajipodoe vipi akeshe saluni mwili huendesha mgomo wa kukataa kukubali kuwa uonekane haujazeeka.
 
Kwa umri wao hao uliowataja na huyu vijana hujitahidi kuwakwepa.Ukiona hawa wakiwa na wapenzi mara nyingi huwa ni na watu wazima tu ambao huwachezea na kuwatupa huko Sio wa kuwaoa.Kuna umri mwanamke ukifika Kama ulivyosema hata ajipodoe vipi akeshe saluni mwili huendesha mgomo wa kukataa kukubali kuwa uonekane haujazeeka.
Kabisa Wanawake wanawahi Kuzeeka!!
 
Bila makeup na mawigi bongo wote ni masela mbona.....
Saluni zinaficha mengi siku mfano zipigwe marufuku na hayo mawigi utashangaa Wanawake vikongwe wenye sura mbaya walivyo wengi kwenye nchi
 
Back
Top Bottom