Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
haahahhaa...nikikukumbatia unapotelea kifuani tu😂😂
Hapana mim nimeamua kuunga mkono juhudi zako awamu hiimchek diva
Hapana mim nimeamua kuunga mkono juhudi zako awamu hii
Uwii...haahahhaa...nikikukumbatia unapotelea kifuani tu![]()




Uwii...
Umetaja kitu hapo ninapata wakati mgumu ujuwe![]()
Ni mzee ila inategemea anaesema ivo ni naniNawaza bado .kwann aliwaza kupiga picha km hii jamani.ila huyu sio mzee...amejitaabisha tu na makeup..zimemkuza zaidi .na kuna mamisuko jaman ukisuka unakuwa mzee..ww nywele unavaa blonde jaman unaweka moto kichwani
!
Alafu kuna picha insta anajiweka sio yy kbs..mfano hii hapa


..wewe fanya tutimize azma yetu ya kunikumbatia mtumishi, zizini nimeshatoka mda siwezi hata kujirudisha mwenyewebasi mtumishi..leta kondoo dhidhini


..wewe fanya tutimize azma yetu ya kunikumbatia mtumishi, zizini nimeshatoka mda siwezi hata kujirudisha mwenyewe![]()
Ni mzee ila inategemea anaesema ivo ni nani
Mfano kama wewe ni above 30 huwezi sema huyu ni mzee
Bas unahitaji maombi...hahaa yataanza ijumaa rasmi..tunafunga na kuomba..na ili kufanya maombi ya cemented kbs nitambulishe kwa my wife wako kbs mm ni mwinjilist nakuja dar kuuza vitabu..nahitaj kufikia kwako..usk tukeshe kwenye maombi






Sio make up tu, huyu hana sura kabisa.. Kwenye instagram uko ni filters tupu.. Alafu anafake sana... Unajua kitu kinachoshangaza ukimuona instagram ni mzuri kidogo.. ila kutana nae live sasa...mimi siwez sema ni mzee..ila makeup zimemkomaza...huyu hana hata mtoto m1..kama kangefanyika vimashindano vya hapa na pale wakawekwa na walozaa huyu anaachwa mbali kbs...
Kweli kabisa, jf ni kama black markethaina mwenyewe, zaidi ya kina melovipi ikiwa ni yeye pia anayeandika huku JF kwa multiple IDs?
Hahaahaa ndio naunga vipande kidogo kidogo..nimebakisha mgongo na kifua tuhaahhaa ww mbea balaa .sitakusahau jukwaa lile letu hahhaa



Hahaahaa ndio naunga vipande kidogo kidogo..nimebakisha mgongo na kifua tu![]()
Sio make up tu, huyu hana sura kabisa.. Kwenye instagram uko ni filters tupu.. Alafu anafake sana... Unajua kitu kinachoshangaza ukimuona instagram ni mzuri kidogo.. ila kutana nae live sasa...
Njoo mtumishi, huku najiandaa kwa upako uliotukuka. Uje na...ntakuja ñimejiandaa mno mno..vitabu kama vyote
.....hahajaa ..ila ntabeba na asali..kwa utakatifu zaidi
..
naipenda sana. Una vitu adimu huwa najiandaa kuvipata, nataka kupata neno



Njoo mtumishi, huku najiandaa kwa upako uliotukuka. Uje nanaipenda sana. Una vitu adimu huwa najiandaa kuvipata, nataka kupata neno
![]()