Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

Diva wa Clouds FM, ukikopi story JF u-acknowledge source

vipi ikiwa ni yeye pia anayeandika huku JF kwa multiple IDs?

Hata ukitumia stori ama kazi yako bado unapaswa kutonesha marejeo, yani wapi kazi imetoka. Hicho usemacho, ni nani ataweza kuthibitisha kuwa ni yeye?
 
Naona sikuhizi kajifunza, leo nmemsikia akisimulia thread fulani ya jf, akasema kabisa amerefer JF.
 
Back
Top Bottom