Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
Wekeni na sura zenu sio kumponda tu diva! Wengine humu mna sura kama vigagula! Dadeki
Nyie mnaangalia shingo,sijui makalio.Wengine tunaangalia kama matundu matatu yapo,kila tundu linakazi yake.kama anayo baso ni mzuri na ni kiumbe kamili.Ni mara kadhaa sasa namsikia diva kwenye kipindi chake redioni akisimulia stori anazokopi JF MMU bila kusema source ya info yake.
Najua na hii unaiona, work on it.View attachment 1159966
Ni mara kadhaa sasa namsikia diva kwenye kipindi chake redioni akisimulia stori anazokopi JF MMU bila kusema source ya info yake.
Najua na hii unaiona, work on it.View attachment 1159966
Bila makeup na mawigi bongo wote ni masela mbona.....
Nadhani wanacompare sauti yake na mwonekano wake.Hivi huyu diva mnasema ni mbaya mkimlinganisha na nani??
Acheni hizo bhana..semeni ni ordinary tu..

Kwa K ipi sasa??Wakawaida sana. Si ndio alisema mahari ya kumuoa yeye ni Tshs 500M ama sio huyu?
😀😀😀😀Hata humu wapoMbona jina lake ni zuri kuliko yeye mwenyewe!?
Ekwueme - Prosper Ochimana ft. Osinach NwachukwuAkuwemeeew akuweeeemee ur the LVN God....
.................
Sauti ya Kuigiza ile!Sauti yake na yeye mwenyewe(sura yake + umbile) viko inverse proportion
Alijitia bonge la gundu
Nna sauti nzito km ya kinyaki kakake
😂😂😂😂😂Hiyo ndiyo nzuri sasa
😂😂😂😂😂
Halafu watu wenye sauti nzito wapo vizuri sana katika majambo ya uwanja wa 6 x 6. Samahani kwa kuongea ukweli.
Kumbee!!Sauti ya Kuigiza ile!