FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,769
- 46,859
Labda za Zimbabwe dollar, sio Tshs.Wakawaida sana. Si ndio alisema mahari ya kumuoa yeye ni Tshs 500M ama sio huyu?
Labda za Zimbabwe dollar, sio Tshs.Wakawaida sana. Si ndio alisema mahari ya kumuoa yeye ni Tshs 500M ama sio huyu?
Baba ake Mzee Jamal malinzi katoka segerea.Ni mara kadhaa sasa namsikia diva kwenye kipindi chake redioni akisimulia stori anazokopi JF MMU bila kusema source ya info yake.
Najua na hii unaiona, work on it.View attachment 1159966
[emoji28][emoji28][emoji28]Mbona hana shingo ?
Hpna ana miguu ka misumaliWadau tujikite kwenye mada inahusu kucopy stori za hapa JF
Ni mara kadhaa sasa namsikia diva kwenye kipindi chake redioni akisimulia stori anazokopi JF MMU bila kusema source ya info yake.
Najua na hii unaiona, work on it.View attachment 1159966
Saut mbovu
Inarudisha chura pangoni
Zito alishindwa maisha haya ya usanii ya huyu mlimbwende akamwaga manyanga chini.Wakawaida sana. Si ndio alisema mahari ya kumuoa yeye ni Tshs 500M ama sio huyu?
Alijitia bonge la gunduWakawaida sana. Si ndio alisema mahari ya kumuoa yeye ni Tshs 500M ama sio huyu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kajipiga mkono mmoja naona
Ova
Subiri watathmini kwanza!! [emoji23][emoji23]Wadau tujikite kwenye mada inahusu kucopy stori za hapa JF
Natumai hakushindi Dada ake
Naomba niisikilize [emoji12]Nna sauti nzito km ya kinyaki kakake
Naomba niisikilize [emoji12]
Huyo mwanamke hana sura nzuri. Ana sura mbaya.
Kazeeka Kuna umri ukifika kwa mwanamke uzee haujifichi japo waweza uficha walau kwa kuvaa Dela ,jeans ,hijabu nk.Lakini kwa hizo alizovaa tuwe wakweli ni Mzee huyo au ajuza kwa kiswahili kizuri ila Kama ana umri mdogo basi ana umbo la kizee.Hapo mahari ya milioni moja tu haipo .Mtu hata akiambiwa mahari atoe laki Tano aweza goma akasema ana elfu hamsini.kumbe ni mzee.