ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,504
- 126,843
Hahahaha, manee! Hivyo vitabu tutasoma usiku kucha, na hivi nina uchu wa kusoma, sijasoma mdaaa! Khanga nyepesi inatosha sana, natokwa udenda sanaa!![emoji23][emoji23][emoji23]Asali inafukuza mashwetan..ikitumiwa ipasavyo[emoji23][emoji23][emoji23]!
khanga nyepesi/mtandio, na pipi kifua siwez acha kwa ajili ya kukamilisha package nzima...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]