Diva ajiunga na Wasafi Media

Alivyotimuliwa mawingu alisema hataki tena kuajiriwa,,ana miradi, maisha ya msasani hana shida.

Maneno yalikuwa mengi, lakini leo naona kawa mpole kabisa.

Maadili yalikuwa sifuri akafukuzwa.
Labda anafanya hiyo kazi kwa kujifurajisha, ngoja tuone!

Ilaa... hv kumbe alifukuzwa Mawingu!? Alifanya nn?
 
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku Diva amejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambayo atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.

Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia sana Diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya Diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi nae.

Pia soma:Diva aomba kurejea Clouds media apewa sharti la kwenda kufanya kazi wasafi fm.kutambulishwa hivi karibuni
Zile project zake zote kubwakubwa ziko wapi?
 
๐™ผ๐š๐šŠ๐š๐š’ ๐š—๐šŠ ๐™ผ๐šŠ๐š›๐š’๐šŠ ๐š‚๐šŠ๐š•๐šž๐š—๐š๐š’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MODS MBONA MNAPENDA KUUNGANISHA SANA NYUZI,ZANGU SHIDA NINI???


Au,JF imejaa, thread mpya tuache kuandika.

Kitendo hiki kinanikera sana
 
Mkumbuke tu mahari ya kumuoa diva ni bilioni 10

20210609_094730.jpg
 
Back
Top Bottom