Kinachoendelea kupata umbeya, pia nikujifunza mambo mbalimbali.
Kwanza chanzo cha MNYUKANO, Diva alianza kumuongelea vibaya mitandaoni, marehemu Dida aliye kuwa mtangazaji mwenzake, hapo wasafi.
Watu hawakukubaliana nae, kwanini unamuongelea marehemu sasa, kwanini usingesema kipindi kile, tena...