Diva ajiunga na Wasafi Media

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,903
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku Diva amejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambayo atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.

Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia sana Diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya Diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi nae.

1623149662917.png

Pia soma: Diva aomba kurejea Clouds Media apewa sharti la kwenda kufanya kazi Wasafi FM, kutambulishwa hivi karibuni
 
Watu mnachuki sana sana huyo dogo, yani failures za Wasafi media ni za Diamond ila chochote kizuri kuhusu Wasafi media kunageuka na kuwa cha Kusaga.

Mkuu I am talking from the inside, swala la Diva kwenda Wasafi ni discussion ya muda mrefu na aliyekuwa anaichelewesha ni Diamond, alikuwa hamtaki.

Baada ya negotiations kwa mwongozo wa Godfather mwenyewe ndo Diamond amebidi akubali, but he is still bitter.

Diamond ni part owner na ni mkurugenzi mtendaji, na ana hold nafasi nyingi za maamuzi, lakini kuna vitu vingi vinafanywa kwa mwongozo wa Kussaga.
 
Nakubaliana na hilo! Diamond asingeweza kumu entertain huyu mbuzi wa kafara

Hata ningekuwa mimi nisingempokea, Ila sasa ndo mzee kamwomba dogo amlinde kwa hilo.

Kuna a lot of issues between Clouds na Wasafi ambazo kwa nje hatuwezi kuzielewa, lakini wana mahusiano mazuri sana kupitia kwa Joe. Hata minara, Wasafi hana mnara hata mmoja, anatumia ya Clouds.
 
Back
Top Bottom