Disadvantages Of Dating A Fat Woman!

Status
Not open for further replies.
Khaaaaa!!!
Hahahahaha, Alter mbona hujibu? Au ndio unamuandalia jibu lake kwanza?
@ Boflo: hivi unaongea kuhusu dating au kuoa kabisa? na hizo facts zako (kushindwa kuzaa, kuvunja furniture, kumaliza chakula ndani) zina backup evidence au ni observation yako binafsi?
 
Kanigusa bana... hapa nina Kilo mia... Huyo dada alovunja kiti kwangu bado ni mwembamba japo kidogo. Boflo kwa kweli anakua insensitive na kukosea heshima Wanawake.

Mwanaume alo mwanaume wa kweli can handle any woman no matter the size... ndio mana kuna styles mbali mbali za kufanyia Mapenzi ambazo zaridhisha wote wawili. Bahati mbaya sana ni kua hizo sifa alizotoa zina ukweli ndani yake ingawa bado atuvunjia heshima hasa tulio oversize.... Ila hakuna ambalo hata moja hapo Lanigusa. Bahati mbaya Boflo naona yupo interested in Men angekua interested in women, ningetuma propasal Kwa Sweetie anikubalie akae na mimi a Week tu - ambayo itamfanya abadilishe hayo mawazo maisha (Ila bahati mbaya mpenzi wangu yupo possesive sijui kama angekubali...lol)
Alter, you spoke too fast, Boflo is straight. lol
 
Mwanamke unamkumbatia !
Then inakua kama umeukumbatia M'buyu !
Mikono yako mwanaume haikutani mgongoni ! Mwake
Duuh !
Bt still katika hili linabaki na selection ya Mwanaume .

Judgement taratibu... Ni mkweo unamsema hapa, Hivo kumbuka Mkeo ana genes zangu akifika age yangu atakua hivo hivo.... lol
 
Hahahahaha, Alter mbona hujibu? Au ndio unamuandalia jibu lake kwanza?
@ Boflo: hivi unaongea kuhusu dating au kuoa kabisa? na hizo facts zako (kushindwa kuzaa, kuvunja furniture, kumaliza chakula ndani) zina backup evidence au ni observation yako binafsi?

hata kuoa....
na evidence ya kuvunja furniture....angalia clip ya video nimeweka
 
How fat is fat bwana na wewe? ukishamaliza za wanawake hamia kwa wanaume, kila mtu ana taste yake ktk dating.....!
 
Kanigusa bana... hapa nina Kilo mia... Huyo dada alovunja kiti kwangu bado ni mwembamba japo kidogo. Boflo kwa kweli anakua insensitive na kukosea heshima Wanawake.

Mwanaume alo mwanaume wa kweli can handle any woman no matter the size... ndio mana kuna styles mbali mbali za kufanyia Mapenzi ambazo zaridhisha wote wawili. Bahati mbaya sana ni kua hizo sifa alizotoa zina ukweli ndani yake ingawa bado atuvunjia heshima hasa tulio oversize.... Ila hakuna ambalo hata moja hapo Lanigusa. Bahati mbaya Boflo naona yupo interested in Men angekua interested in women, ningetuma propasal Kwa Sweetie anikubalie akae na mimi a Week tu - ambayo itamfanya abadilishe hayo mawazo maisha (Ila bahati mbaya mpenzi wangu yupo possesive sijui kama angekubali...lol)
Rejao likes this..
 
Ngugu yangu Boflo, hebu waombe radhi wanajamii wa jinsia hiyo kwani wengine ni fat women,jikaze kiume omba radhi!! Kuhusu chakula na furniture za ndani? what is furniture before love, are you eating her flesh?..anyway my wife is slim,tall, young and energetic ili usiseme kwanini nawatetea "The Fats"

Sasa tukiwakataa wote wao waende wapi?

Ni Maoni yangu.......
 
Kwanza lizzy atoke kanisani, mie siamui coz madokta wa kamgomo barid, wasije nifanyie opreshen ya kiuno wakat nimetolewa jicho
 
hongera,hop u manage kuwakunja

Ha hahahha, mkuu, suala sio kukunjana tuu, ni zaidi ya hapo na hamu haikwishi unapokuwa naye. Kila unapomwona unatamani kumtongoza hata kama ni wako. Joto:smile-big:
 
style za sex sio "WAO" kuwa juu yetu kwani MAPENZI NI SANAA, NA SANAA NI UBUNIFU" So it depends kwamba huyo FAT ni mbunifu kiasi gani.Anayueshindwa kuwa mbunifu katika mapenzi....unajua nini kitatokea, hata "AKINA SISI" tunaodhani tumefika tunakabiliwa na changamoto endelevu. Hapa nitaungwa mkono na wana JF husika.

Kwamba:

Mambo matatu huvunja ndoa
1.Endapo upande mmoja utagundua upande B una mahusiano nje ya makubaliano yao ya NDOA.
2.Endapo upande husika utashindwa kutatua matatizo madogomadogo kama chakula,kodi ada za watoto, nk
3.Endapo upande mmoja utashindwa timiza wajibu wake na majukumu ya unyumba..kushindwa kummudu mwenzako. hii huchangiwa na unywaji wa pombe kupindukia,kutokula chakula vizuri, kutopata muda wa kutosha kumuandaa mwenzio, nk

Yapo mengi ila hayo matatu ni msingi.
 
No Alter it was makusudi.... He is so set on kuelezea wanawake on the neg side of things... hio ni moja ya qualities.... After all hana heshima bana.....
Achana nae basi. Sasa unataka afaidi kujifunza heshima kupitia kwako?
 
Ndio maana siku hizi kuna vitanda vya chuma tena imara kuliko vile vya enzi za..., vile vilivyokuwa vinaitwa BANCO, shida ya BANCO ni zile kelele za furaha/maumivu,furaha/maumivu,...TABU KWELIKWELI!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom