Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,606
- 8,038
kajaribu mkuu
hivi nikifanya harakati naweza pata vyeti vya vifo kweri?
kajaribu mkuu
hivi nikifanya harakati naweza pata vyeti vya vifo kweri?
no hakuna,kuna gharama zozote katika ku appeal????
daah nimeingia tena hamna green hata mojawakuu samahan mbona taarifa zangu nimejaza kwa usahihi lakini bado inaonyesha yellow sehemu nyengine?View attachment 1263054


daah nimeingia tena hamna green hata moja![]()
zinafanya kujibadili zenyewe. Bongo bahati mbaya, mwisho wa siku utaambiwa ulikosea kujaza kumbe system yao ndo ina shida.Hapo kwenye preview your appeal si kuna form za kudownloadWadau naomba ufafanuzi apo wametuambia tuambatanishe form page namba tatu ya maombi ya rufaa iyo form inapatikana wapi View attachment 1263644
kama upo Dar fanya transfer chuo ulichokuwa admitd kwenda TIA hawa jamaa wanakusajili bila hata ya kulipa ada. unalipa registration cost tu elfu 85Mkuu hadi hapa nimesha give up kabisa.Mwaka Jana nilikosa mkopo nikaahirisha hadi this year but na mwaka huu batch zote vilevile zimeniacha.Sijawasili chuoni hadi sasa na sina kingine cha kufanya zaidi ya kubaki nyumbani hadi mwakani nijaribu tena.Mustakabali wangu wa elimu hadi sasa siuelewi,nyumbani life ngumu ela hakuna,yaani kila kitu naona kinageuka dhidi yangu.Siko happy na haya maisha kabisa.
weka screen short tuoneMimi shida Amna sehemu ya kuapload form no 3.
Log out kuna link ya appealKuna ambao hawajapata mkopo na kwenye account zao hamna link ya ku-appeal kama huyu?
View attachment 1263860