Apo kwenye dean if student ni una peleka kwa dean of student wa chuo ndo aku sainie au
Nadhani dean of students yoyote tu hata kama sio wa chuo
Kvp sasa maana mm ile form nimeshaidownload na registration number ninayoWanataka Registration number ya chuo ulichochaguliwa, kwa lugha rahisi maana yake lazima uwe umelipa nusu ada chuoni na direct cost,upate university registration number. Ili ufanye appeal. Bado hii appeal ni kaa la mawe kwa baadhi ya vijana
Ingia kwa kubonyeza hizo step uangalie utakuta mahali pameandikwa comfirm kila moja utaona imeandika greenKuna aliye fanikiwa ku verify hizi steps, kwangu bi step moja tu ya demographic information inaweka green, zingine ziko yellow nabnashindwa ko comfirm maana hamna hiyo option
View attachment 1263009
Bonyeza hapo ambapo ni bado kwa kuangalia admission info zako kisha click kwenye neno "comfirm"Ilo tatizo adi mimi nashindwa endelea sasa sijui wanatufanyia kusudi ili ifike deadline tuwe tumekosa View attachment 1263069
Bonyeza hapo ambapo ni bado kwa kuangalia admission info zako kisha click kwenye neno "comfirm"wakuu samahan mbona taarifa zangu nimejaza kwa usahihi lakini bado inaonyesha yellow sehemu nyengine?View attachment 1263054
Nothing else. Ni ile form tu yenye page tatu. Registration number unajaza kabla ya ku download mi ndo nilifanya uzembe hapoKvp sasa maana mm ile form nimeshaidownload na registration number ninayo
Jee ninini napaswa kuambatanisha zaidi?????ya kujaza kwa dean pekee?
Kabla ya kudownload kivipi mkuu maana fomu inakuja km fomu...nielekezeNothing else. Ni ile form tu yenye page tatu. Registration number unajaza kabla ya ku download mi ndo nilifanya uzembe hapo
Hapo kwenye kipengele cha admission details boss, kuna sehemu ya kujaza Registration number yako kisha una idownload unaenda ku sign na kupiga muhuri kwa dean of students na una upload tena.Kabla ya kudownload kivipi mkuu maana fomu inakuja km fomu...nielekeze
Najaribu kubonyeza hapo ili niandike hiyo regstration namba lakini wapiiiiiHapo kwenye kipengele cha admission details boss, kuna sehemu ya kujaza Registration number yako kisha una idownload unaenda ku sign na kupiga muhuri kwa dean of students na una upload tena.
View attachment 1264607
Hakuna mahali pa kujaza yaan pa kubonyeza niandikeHapo kwenye kipengele cha admission details boss, kuna sehemu ya kujaza Registration number yako kisha una idownload unaenda ku sign na kupiga muhuri kwa dean of students na una upload tena.
View attachment 1264607
Uliruka wakati wa kujaza mara ya kwanza, namimi nilikosea hapo. Ukisha comfirm hiyo step inagoma kufungukaHakuna mahali pa kujaza yaan pa kubonyeza niandike
Sasa nifanyeje?Uliruka wakati wa kujaza mara ya kwanza, namimi nilikosea hapo. Ukisha comfirm hiyo step inagoma kufunguka
No way, kama jina la chuo na kozi umejaza zinatosha Long as itasainiwa na kugongwa muhuriSasa nifanyeje?
Hiyo registration number mi nlijaribu kuandika before ata sijaconfirm ilikataaHapo kwenye kipengele cha admission details boss, kuna sehemu ya kujaza Registration number yako kisha una idownload unaenda ku sign na kupiga muhuri kwa dean of students na una upload tena.
View attachment 1264607
afadhali maana nilikuwa na hofuHiyo registration number mi nlijaribu kuandika before ata sijaconfirm ilikataa
Duh Nihatari Sana Haya MamboAkaunt zote ndo HVO MKUU auwez ukakuta uko log out MKUU utakikuta kipengele cha kukata rufaa kabla ujaingia kwa akaunt yako