Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,143
- 3,226
tushakata tamaa na mambo ya loan board kama me nshabeba mabegi narudi nyumbani kuenda saidiana na wazazi kuuza karanga mkono uende kinywan kusoma si haki ya kila mtanzania makelele tunaloyasikiaga kwa viongozi wetu wawapo majukwaaani ni ng'onjera za abunuasi tu awana lolote pusi tu