TANZIA Director Nisher afariki dunia

Apumzike kwa amani, alileta mapinduzi kiaina kwenye upande wa music videos.
Usiseme kiaina bali alileta mapinduzi ya uhakika. Ndie alieintroduce video mixing and production kwa kiwango cha 720p na 1080p Full HD hapa bongo baada ya Adam Juma kusumbua kwa muda mrefu sana akipuyanga kwenye 360p na 480p zote hizo zikiwa ni SD Quality.

Baada ya Nisher ndio wakazaliwa video producers wengi wa kizazi kipya kama kina Hanscana na wengineo.
 
Nashukuru kwa kuja na facts hizi, nilikuwa najua hayo mabadiliko ila sio kwa kiwango hiki ulichosema.
Hapo kwa Adam Juma umenichekesha msibani, lol.
 
Joined october 27 2023, umejiunga Juzi kuja kutukana wazazi wako ?

Jf ni sehemu ya kujifunza siyo kutukana watu , matusi hayawezi kukuondolea umasikini ulionao
[emoji112][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Niongezee kdg ,Adam visual lab alikua anatumia HDV ,effects nyingi , ila Nisher ukiacha quality alikuja na set up za outdoor indoor na lights
 
Mimi siamini Geor Davie kama ni mtumishi wa Mungu lakini katika maswali yako hakuna hata moja lenye hoja ya kimaandiko kwa sababu zifuatazo;

  • Mtu akiwa nabii haina maana atatakiwa kujua kila kitu kilicho katika ratiba ya Mungu, kusema ukweli atafunuliwa vichache tu na kwa makusudi maalum;
    1 Wakorintho 13:9 Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu

  • Hili ni suala linamgusa mtu kibinafsi, yeye hata kama ni nabii wa Mungu wa kweli (kitu ambacho mimi siamini) haina maana anaweza kufanya muujiza wowote autakao kwa mtu yeyote amtakaye. Ana mapito yake kama mwanadamu na ilikuwa hivyo kwa manabii wengine wote tunaowajua na kuwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…