Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
kwa mujibu wa vyombo vya habari.Kweli mkuu?
Ni kama kuna kitu kimejificha nyuma ya hii comment mkuuDuh kazi ipo
Dah apumzike kwa amani.kwa mujibu wa vyombo vya habari.
Duh kweli maisha mafupi. Alikuwa anaumwa?View attachment 2840142Director wa music wa bongo fleva Nisher amefariki dunia mapema leo,Nisher ni mtoto wa nabii Geodevie wa Arusha
Kumbe alikuwa na mtoto?Jamaa tangu afiwe na mwanae hajawahi kuwa sawa kabisa Finally ameenda