Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu

Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

FB_IMG_1763429268880.jpg
 
Hongera zake sana ndg Kombo. Mleta uzi kama hutojali tupia na.CV yake tuone his substance.
 
Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu

Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Ile interview yake na Al Jazeera na BBC ilinipa shida kumwelewa kwanza, KWA lugha isiyo fasaha kama Career Diplomat na pili Contents - ati alikuwa hajui watu wangapi wameuliwa. Kuchaguana kindugu.
 
Huyu mpumbavu ndio aliyekuwa anakataa eti hakuna matumizi ya nguvu yaliyotumika kudhibiti waandamanaji, na hakuna vifo zaidi ya 700 vilivyotokea... na kama hiyo haitoshi akasema kuwa walizima internet kwa sababu kuna watu wachache waliokuwa wanafanya vurugu wakisaidiwa na internet..?

Aisee hili jamaa lilijua kunikera sana na English yake ya pre-form one.

Nafikiri baada ya samuya huyu ndio mzanzibar anayefuatia kwa kumchukia, senge sana hili ngoja lifurahie hicho cheo lililozawadiwa na kilaza mwenzie kwa mara ya mwisho mwisho.
 
"Small groups of vandalists who are creating probelms in vandalism"

Mtu bure kabisa huyo!

Hakuna mwekezaji timamu atakuja kuwekeza katika nchi inayozima internet siku 5 ili policcm waue watu na dunia isijue wakidhani daima nchi itakuwepo gizani.

Huyu labda akawe waziri wa mambo ya mauaji, naye yumo katika inductee wa ICC.
 
Uchumi wa roho za Watu unalipa Sana . Atafute wa kuwekeza kwenye Silaha za kivita kwa Sasa ndio sekta inayo meremeta.
 
Back
Top Bottom