balozi mahmoud thabit kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Kombo: Hatutakubali heshima ya Tanzania itetereke kabisa na jina la Tanzania itaendelea kuwa juu Ulimwenguni kama ilivyo sasa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), leo amewasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Mei 26, 2026 Bungeni Dodoma, amebainisha Vipaumbele kuu ambavyo wizara itajikita navyo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara jijini Arusha. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mount Kilimanjaro...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki katika ufunguzi wa Ofisi ya CRDB Dubai

    Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokepelewa na viongozi wa Serikali pamoja na uongozi wa Benki ya CRDB katika hafla ya uzinduzi wa kihistoria wa Ofisi ya Uwakilishi ya Dubai, tukio linaloashiria upanuzi wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Urusi maarufu kama “Russia-Africa Partnership Forum” unaoendelea jijini Cairo nchini Misri.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, DC

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, D.C., nchini Marekani. Katika ziara yake hiyo, Mhe. Waziri Kombo atakukutana na wadau Mbali mbali muhimu katika kuimarisha uhusiano wa baina ya...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo aapa kuwa mbunge

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda. Mhe. Kombo amepokelewa na Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Pongezi hizo amezitoa kwenye hafla iliyoandaliwa na Ubalozi wa Msumbiji nchini Tanzania na kufanyika katika Ukumbi wa Polisi uliopo Masaki...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri, Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo atashiriki Africa Day Marathon Tarehe 25 Mei, 2025

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, atashiriki Africa Day Marathon Tarehe 25 Mei, 2025 itakayofanyika JNICC, Dar es Salaam, Tanzania
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake ya kikazi Umoja wa Ulaya (EU)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake ya kikazi Umoja wa Ulaya (EU) Katika ziara hiyo amefanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa umoja huo akiwemo Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi wa Juu wa Masuala ya...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini

    Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu (UNFPA), Bw. Mark Schreiner katika ofisi...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Minister Kombo's interview with HÍR TV on deepening Tanzania-Hungary Bilateral Relations

    Minister Kombo's interview with HÍR TV on deepening Tanzania-Hungary Bilateral Relations
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
Back
Top Bottom