wanaotoa elimu ndio huharibu maana nyingi za dini ya uislamu,Mungu ameitumia lugha ya kiarabu ili iwe rahisi kuelewa wale wanaofikishiwa (lugha ya kiarabu imejitosheleza kimaana,hakuna neno la kiarabu lenye maana zaidi ya moja MF.kama "njoo" Basi "njoo" hakuna neno lingine utalitumia lenye maana sawa na "njoo")na ili kusiwe na mkanganyiko wa maana Kama ambao upo kwa Sasa na kugawa dini katika madhehebu mengi Hali ya kuwa wote NI wa dini Moja ,kinachowatenganisha hakuna zaidi ya kila mmoja kuelewa na kuamini katika kile alichokisoma,Ha ha ha hizi dinii hizi
Imagine ktk mafundisho ya dini Moja ya vitu ambavyo Huwa waislam wanavyo fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko lugha zote Duniani hivyo basi ni lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo itatumika kuzungumza siku ya kiama
Na watu Wana Amini Wana weka juhudi na maarifa katika kujifunza lugha hiyo
Masikini hawajui kuwa Wameaminishwa hivyo Ili lugha hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa na kufika mbali zaidi itakuwa ni rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa zaidi
Hawajui hata kwenda kuhiji maka ni chanzo cha mapato kwa nchi ya saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la saudi arabia kupitia utaliii wa kidini
Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya kabila lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Ndio nimekwambia Mimi Jana nilipaa mpaka marekani na kurudi , huu ni ushahidi wanguKingine ushahidi wa mtu mmoja huwa unakubaliwa au haukubaliwi ?
Habari yako hii wewe ni ya uongo kwa sababu zifuatazo :Mimi mwenyewe Jana nikiruka mpaka marekani na
Nimeshaubatilisha tayari.Ndio nimekwambia Mimi Jana nilipaa mpaka marekani na kurudi , huu ni ushahidi wangu
inahitaji mtu kusoma na kutambua hizi dini,na wengi wanachanganya utamaduni na dini ya MUNGU,ukimsoma Mungu ni wa wote ila ukiisoma dini Mungu wamemgawaWengi hili hawalielewi..kila jamii ilikua na dini yake na ambao ndio utamaduni..sasa wamatumbi wakiletewa utamaduni wa wengine ndio wanaona wako peponi kumbe wanafata mila na tamaduni za wingine.
#MaendeleoHayanaChama
Ayo ni wewe unanizushia , ila nimekwambia Mimi nilipaa Jana mpaka marekani na kurudiHabari yako hii wewe ni ya uongo kwa sababu zifuatazo :
1. Wewe siyo muadilifu.
2. Wewe ni muongo, yaani una tabia ya uongo uongo na kubadilisha habari na maana zake, katika misingi ya elimu ya hadithi, habari zako hazifanyiwi kazi mpaka awepo au wawepo wakweli zaidi yako wawe wameelezea tukio hilo, huu ni mfano tu.
3. Wewe si nabii wala si mtume
4. Wewe ni Mshirikina.
Aisee kuna sababu nyingi mno.
Kazi yangu nimemaliza. Sasa unaposema unazushiwa na huo ndiyo ukweli, wewe una matatizo ya akili.Ayo ni wewe unanizushia , ila nimekwambia Mimi nilipaa Jana mpaka marekani na kurudi
ulisoma dini hukumsoma MUNGU..Mm mambo ya dini nilishaachana nayo toka nijue yaliyo nyuma ya dini.!!! Na nmekuwa nikiishi vzr sana sina ubaguzi wa kuwabagua watu kwa dini zao, kabila zao wala tamaduni tofauti na huko nyuma nilivyokuwa mfia dini...!!!
Sasa hapo ukimuuliza ushawahi kwenda peponi ukakuta watu wanaongea kiarabu atakwambia mtume kasema!!! Ujinga mtupu
Wewe ni nani Mpaka ukatae ushahidi wangu wa mtu mmojaNimeshaubatilisha tayari.
unaamini katika Mungu lakini[emoji41]!?Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.
Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.
Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.
Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni[emoji23][emoji23].
Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri
dini ZOTE ni utamaduni wa waarabuHilo jina Mohamedy limekukurupua eti?kweli uislam ni utamaduni!
Kwa hiyo wewe unamuamini Muhamma mtu asie muadilifu unakataa ushahidi wangu wa Mimi muadilifuKazi yangu nimemaliza. Sasa unaposema unazushiwa na huo ndiyo ukweli, wewe una matatizo ya akili.
Haya mambo yote unayoyasema hua mnafunsishwa msikitini tu, hakuna mahala pengine hua huu utaahira unasemwa. Mbaya zaidi huu ujinga unasemwa na watu wasioenda shule kabisa.Kwahiyo mnapo ambiwa ukweli ndiyo kusifia ?
Kingine katika uhalisia, sisi wapenda lugha na ufasaha tumeliona hili, hakuna lugha iliyo kuwa bora na iliyo pangika kisomi na yenye elimu nyingi na yenye umakini mkubwa kuzidi Kiarabu, kuna sababu nyingi achilia mbali Mtume kuwa muarabu na Qur'aan kuwa katika lugha ya Kiarabu.
Kwa watu wafatiliaji wa mambo ya lugha, Kiarabu kimedhibitiwa kwa umakini mkubwa sana kifani, kimeaandikiwa vitabu vingi sana vya fani, na ni lugha kongwe mno.
Niki udurusu ujinga nakuona wewe, yaani katika mfano na ukitaka kuuelewa ujinga vizuri mfano lazima utakuwa wewe.
Mfano ni mimi na wewe, namna ya ujengaji wako wa hoja unaonyesha wewe ni mpumbavu yaani umevuka ule ujinga, sababu unajiona una jua na hujui kama hujui.
Tujadili hili jambo kwa hoja nina uhakika huna hoja na hutakuwa na hoja, hapa ndipo ujinga wako ulipo mili.
Hawa watu hawakwepeki,they are everywhere ukiwakwepa kwenye dini za uislamu na ukristo utawakuta kwny dini ya mpira,ukikwepa utumwa wa minyororo watakufanya mtumwa katika sehemu "zile"..yaani huwakwepiSIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.
Kisai Kwa Nini unasahau Muhammad alikuwa na matatizo ya akili alikuwa na ugonjwa unaitwa schizophrenia, wewe una matatizo ya akili.
Mawe ya kujengea [emoji23] WTFKtk vitu ndugu zangu waislam hawataki kuvisikia ni kuwaambia hijja ni biashara na chanzo cha mapato cha saudi arabia $20.5 bil jamaa wanaingiza kupitia hijja.
Bado kuna uvunaji wa a lot of tons za mawe ambazo huzivuna na kuzitumia kujengea miundombinu ya taifa lao kupitia ibada ya kumpiga ibis na mawe... ww hujiuliz toka watu wameaanza kurusha mawe ile sehemu haijai tu na kama inajaa yale mawe hupelekwa wapi?
!! Akili mtu wangu !!
Ikuti ifinja fihano fikindie akabhuka ku kyalikiKuti fiki ugwe?!
Iko post nimeshajibu hii.Hizo zote ni lugha za mashariki ya kati..vipi kwenye kibantu kuna kiarabu..au kwenye kichina kuna kiarabu..?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app