Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

Una maana pamoja na ushetani wao, waarabu wote wataingia peponi? Walikufanya nini hadi uwaabudie hivi? Je unajua namna waarabu wanavyobagua waswahili? Kama unajua kimombo basi bonyeza hii Uncovering anti-Blackness in the Arab world
Mwarabu mwenyewe asili yake ni mtu mweusi.Ni baada ya kuoana,na watumwa wa nawake kutoka mashariki ya ulaya,ndio kukapatika,half cast wa kiarabu(weusi) na wazungu (weupe).Sasa kama muarabu kambagua mweusi,huyo kambagua babu yake,atajuana mwenyewe na babu yake ugomvi wa ndugu,hatuuingilii.
 
😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 Ni wachache wanaojua usemayo mwanangu. Asante sana. Mwarabu na mhindi ni wa hovyo kuliko hata wazungu
 
Uwe unasoma na kuelewa hoja siyo unakurupuka kujibu. Soma nilichokiandika kisha ujenge hoja.

Kingine uonyeshe wapi Mtu amelazimishwa kujifunza lugha ya Kiarabu ?

Kisha Allah anasema :

13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (al-Hujuurat : 13)
Hao allah waliotuumba wako wangapi ama ni allah na mke wake ama nini?
 
Kiarabu,Kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili ni lugha za asili moja ya lugha ya Kisemiti.
Kwa hiyo lugha hizo zote,zipo kwenye lugha kuu zote za dunia.
Kuwa na hoja,ukitukana unaonekana,huna hoja.
Hizo zote ni lugha za mashariki ya kati..vipi kwenye kibantu kuna kiarabu..au kwenye kichina kuna kiarabu..?

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
SIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.

Hee mkuu asee umenifundisha kitu

Kwa hio kumbe Gate ni kiswahili sababu ni Geti
Numbers ni kiswahili sababu ni Nambari
Pot ni kiswahili kwa sababu ni Poti

Hio inaitwa kutohoa lugha moja inachukua neno la lugha nyengine. Ili kujua ipi imetohoa wapi inakupasa kurudi katika historia.

Kiswahili kufanana na kiarabu haimaanishi kwamba Kiarabu ni lugha kubwa hapana, Kabla ya kiswahili makabila yalikua yakiongea Lugha zao. Ila sababu sisi Ghuba ya Afrika mashariki tulitawaliwa na Muarabu kabla ya mtu mwingine yeyote, ndo kikazaliwa kiswahili (Kibantu+kiarabu)

Sipingi wanaoamini Dini
Wala sipingi wanaoipinga Dini

Kila mtu na akili zake zinavomtuma.
 
Kisha Allah anasema :

13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (al-Hujuurat : 13)
Kisai unauhakika Aya maneno yote ni Allah au Kuna na ya muhammad
Allah anaongea alafu anasema "hakika mwenyezi Mungu ni mwenye kujua" kwa nini amehasahau yeye ndie anatakiwa kuwa mungu
Allah anatatizo Koran nzima anashindwa ku switch from 3rd person to 1st person
 
Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?
Kwahiyo mnapo ambiwa ukweli ndiyo kusifia ?

Kingine katika uhalisia, sisi wapenda lugha na ufasaha tumeliona hili, hakuna lugha iliyo kuwa bora na iliyo pangika kisomi na yenye elimu nyingi na yenye umakini mkubwa kuzidi Kiarabu, kuna sababu nyingi achilia mbali Mtume kuwa muarabu na Qur'aan kuwa katika lugha ya Kiarabu.

Kwa watu wafatiliaji wa mambo ya lugha, Kiarabu kimedhibitiwa kwa umakini mkubwa sana kifani, kimeaandikiwa vitabu vingi sana vya fani, na ni lugha kongwe mno.
Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.
Niki udurusu ujinga nakuona wewe, yaani katika mfano na ukitaka kuuelewa ujinga vizuri mfano lazima utakuwa wewe.

Mfano ni mimi na wewe, namna ya ujengaji wako wa hoja unaonyesha wewe ni mpumbavu yaani umevuka ule ujinga, sababu unajiona una jua na hujui kama hujui.

Tujadili hili jambo kwa hoja nina uhakika huna hoja na hutakuwa na hoja, hapa ndipo ujinga wako ulipo mili.
 
Kisai unauhakika Aya maneno yote ni Allah au Kuna na ya muhammad
Allah anaongea alafu anasema "hakika mwenyezi Mungu ni mwenye kujua" kwa nini amehasahau yeye ndie anatakiwa kuwa mungu
Allah anatatizo Koran nzima anashindwa ku switch from 3rd person to 1st person
Nina uhakika wa asilimia zote. Hapa nataka tupeane kazi, wewe uweke andiko moja unalo amini ya kuwa ni la Yesu kisha wewe uthibitishe hilo na mimi nikuthibitishie.

Qur'aan ni maneno ya Allah hakuna hata herufi ya Mtume, Mtume alikuwa analetewa maneno hayo kama yalivyo, ndiyo maana utaona humo humo Mtume anakoselewa na mengine.

Sasa hizo nafsi za kwanza, pili na tatu zipo tena katika usahihi wake kabisa.
 
Elimu elimu × 100, 000, what good is it then??!!😏

let it be so then who is to blame??, The Saud Government or the pilgrims ??, The pilgrimage is one of the worships prescribed in the Holy Qur'an for Muslims.

Bado huna hoja ya ku discredit Hijja.

Ni chuki na husuda ndio inakutafuna tu.
Allah alitakiwa aweke mawe mengi myasujudu ata kila nchi angeweka jiwe moja
 
IMG_3195.jpg
 
, wewe uweke andiko moja unalo amini ya kuwa ni la Yesu kisha wewe uthibitishe hilo na mimi nikuthibitishie.
Imani alafu unasema tena nithibitishe 😂😂😂
Muhammad alikwambia alipaa usiku na punda mwenye mabawa na hakuna mtu alimuona ata mke wake mtoto Aisha na bado wewe kisai unajua ni kweli
 
Yupo sahihi.
Peponi wanaongea kiarabu.
Mbinguni wanaongea kiingereza.
 
Imani alafu unasema tena nithibitishe 😂😂😂
Muhammad alikwambia alipaa usiku na punda mwenye mabawa na hakuna mtu alimuona ata mke wake mtoto Aisha na bado wewe kisai unajua ni kweli
Nani alikwambia ya kuwa imani haithibitishiki ? Hao Waarabu unafikiri walimuamini vipi ? Kijana kumbe ndiyo maana kwenye dini yenu mnazua vya kuzua na kuwadanganya watu. Soma tukio la kwenda mbinguni Mtume uone mjadala ulivyokuwa baina ya Makuraishi na wakakubali.

Mke wake hakuamini au unataka kutuambia nini ? Wewe usikimbie kimbie, tuwekee andiko ambalo wewe unaamini ya kuwa ni kweli kisha utoe sababu na kuonyesha ukweli wake, hata hili ambalo mnasema Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu, kisha uthibitishe ya kuwa hayo maneno ni ya Yesu au mtu mwingine ?

Twende kazi.
 
Kuna mtu alimuona akipaa hili ndio swali
Talk is cheap unaweza kuanzisha uzushi tu na kuutetea ,

Mimi mwenyewe Jana nikiruka mpaka marekani na kurudi
 
Andika vizuri, nikuelewe.

Maswali ya kipuuzi huwa hatujibu sababu ni tatizo la muulizaji kutokutumia akili yake vizuri huku akijiona anauliza swali hilo akiwa anajua zaidi.
Lipo wazi Allah anaposema sisi ni yeye Malaika na ma houris
 
Kuna mtu alimuona akipaa hili ndio swali
Talk is cheap unaweza kuanzisha uzushi tu na kuutetea ,

Mimi mwenyewe Jana nikiruka mpaka marekani na kurudi
Mimi mwenyewe Jana nikiruka mpaka marekani na kurudi

Kwetu sisi hili halipo kijana, habari za Mtume zinahakikiwa. Mfano mada hii ya lugha ya Kiarabu kuwa ni lugha ya peponi, wanazuoni wetu wamehakiki na kutoa jibu ya kuwa Hadithi hiyo imetengenezwa, si sahihi. Haya mambo kwenu hamna, najivunia sana kuwa Muislamu na kuipenda elimu ya Hadithi na kuifatilia.

Kingine ushahidi wa mtu mmoja huwa unakubaliwa au haukubaliwi ?
 
Back
Top Bottom