Dini zinavyoharibu watu akili

Dini zinavyoharibu watu akili

SIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.
Umemjibu vyema
 
Hadithi hii hapa kwa ukamlifu wake.

The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.
Ndio maana nikaweka mpaka maelezo ya ugonjwa wa schizophrenia Yani ni kudhani umefanya jambo kumbe hujafanya, huyo myahudi alimloga Muhammad kwa kumtupia ugonjwa wa akili

Schizophrenia -is a serious mental disorder in which people interpret reality abnormally. Schizophrenia may result in some combination of hallucinations, delusions, and extremely disordered thinking and behavior that impairs daily functioning, and can be disabling.
 
Safi kabisa hili si ndiyo ulilolizua katika muendelezo wako wa kuzusha uongo. Au hujaelewa hata unachokiandika nacho ni uongo ? Yaani Mtume hakuwa na hilo unalosema ila wewe umeliweka na ukaliita ni ugonjwa wa akili.
 
Alilogwa kwa kupewa ugonjwa wa akili wa schizophrenia au wewe huine alikuwa anadhani kafanya jambo na hajafanya

Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
Ushauri wangu kijana achana na sisi Waislamu sababu elimu tuko nayo sisi na umakini kadhalika. Utaendelea kuaibika na kuonekana mjinga na kilaza mpaka unakufa.

Kazi yangu nimemaliza.
[/QUOTE]
Yani jambo lipo wazi alikuwa anadhani kafanya jambo na hajafanya huo ni ugonjwa wa schizophrenia ndio alilogewa ugonjwa wa akili

Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
 
Na gharama zote hizo kwa muumini wa kweli wa kiisilamu sio kitu kwani ni Allah ndiye anayetoa na kuruzuku basi mtu akitoa pesa kwa ajillu ya kwenda kutekeleza ibada kwa huyohuyo Mungu kuna kosa??!.

Watu wanachukulia suala la Hijja katika mazingira ya kibiashara na Uchumi na wanasahau hekima na kiini cha Ibada yenyewe. Mbele ya Ibada pesa au mali kwa muumini wa kweli sio kitu.
Hii pia ni kuhimiza mtu kutokujilimbikia Mali pasi na kuwa na za kuzifanya.

Tena ni vyema wenye uwezo wakasaidia na wenzao wasio kuwa na uwezo kwenda kutekeleza ibada ya Hijja.

Yaani kuna watu wana Mali mpk hawana cha kuzifanya. Kutoa dollar elfu 10 kwao ni km hela ya vocha tu
 
Safi kabisa hili si ndiyo ulilolizua katika muendelezo wako wa kuzusha uongo. Au hujaelewa hata unachokiandika nacho ni uongo ? Yaani Mtume hakuwa na hilo unalosema ila wewe umeliweka na ukaliita ni ugonjwa wa akili.
Mbele ya macho Yako Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo na hakufanya , alilogwa kwa kupewa ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia

The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.

Mpaka anakuja kutuambia mara kapaa na punda , mara kapasua mwezi kumbe alikuwa chizi kwa mwaka mzima
 
Waislamu gani hao unao wazungumzia wewe hawataki kulisikia hili ulilo liandika, bali sisi Waislamu tunakushangaaa wewe kwa namna ulivyo kuwa mjinga.

Hija wetu sisi ni ibada na ni ibada ambayo ipo hata kabla Saudia si yenye kutajika. Ibada ambayo kwenda kwake tunapata malipo toka kwa Allah na kutii amri yake.

Kwahiyo hata wapate mapato zaidi ya hayo, sisi tunaenda kufanya ibada.

Umejibu mulemule kama alivoandika yeye.

Kwamba hamtaki kusikia kuwa hija ni biashara

Nawewe umesema mnapenda sana kwenda huko kufanya ibada.

Yaani ni kuwa una muunga mkono.
 
Angalia post 33,kiarabu hata duniani tumejifunza na kukitumia,Kazini,makanisani,majumbani,mahotelini,kwa mfano neno tamu(ni kiarabu),sahani(kiarabu),sufiria(kiarabu),maakul(kiarabu),rasmi(kiarabu),katiba (kiarabu)Rasimu ya katiba(kiarabu,)Kanisa(Kiarabu,),kitubio(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),Toba(kiarabu),Kitabu(kiarabu),aya(kiarabu),darasa(kiarabu),Kamusi(kiarabu) nk
Tumejifunza kwasababu walikuja kututawala na hatukuwa na lugha moja, hivyo tukatohoa baadhi ya maneno kama ilivyo kwenye kiingereza, tumetohoa kwa vile tu walitutawala.

Ingekuwa lugja ya Mungu, tungekuwa tunajua wote duniani bila kuwa na lugha nyingine.
 
Onyesha wapi
Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Schizophrenia - kudhani umefanya jambo na kweli hukufanya
 
Unasemaje?

Allah kumbe ana mipaka?

Hata lugha ya kiswahili hajui?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Hasikii lugha nyingine zaidi ya kiarabu.

Ukimuomba kwa kiswahili ni kutwanga maji kwenye kinu.

Kinachonisikitisha ni kwamba hata ukimuomba kwa kiarabu hajibu kitu.
 
Umejibu mulemule kama alivoandika yeye.

Kwamba hamtaki kusikia kuwa hija ni biashara

Nawewe umesema mnapenda sana kwenda huko kufanya ibada.

Yaani ni kuwa una muunga mkono.
Kwanini unaandika uongo na kujitoa ufahamu kwa makusudi. Nakupa kazi onyesha ufanano na useme ni waislamu gani hawataki kusikia hilo ?

Maana yake hakuna asiye jua kama wanaingiza mapato sababu kuna makampuni yanafanya kazi hiyo nahuo ni utaratibu na si jambo baya. Hili weka akilini. Ndiyo maana nashangaa unaposema au kuunga mkono uongo alio uandika huyo mwenzako.

Kingine tunasema hata waingize kipato zaidi ya hicho hilo ni jambo lao lakini sisi tunatimiza amri ya Allah na hii ni kwa mwenye uwezo, wao wanaingiza pesa na sisi tunapata thwawabu, sasa utaona ya kuwa nyinyi ni wajinga juu ya jambo hili, sababu hili kwetu tunalijua na ni maarufu sana. Tena tunajua hata hayo makampuni yanayosafirisha mahujaji nayo yanapiga pesa. Sasa shida iko wapi vijana ?
 
Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Schizophrenia - kudhani umefanya jambo na kweli hukufanya
Kazi yangu nimemaliza. Uwe unanukuu habari kamili tena ule mzizi wa habari hutakiwi kuuacha.
 
Mbele ya macho Yako Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo na hakufanya , alilogwa kwa kupewa ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia

The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.

Mpaka anakuja kutuambia mara kapaa na punda , mara kapasua mwezi kumbe alikuwa chizi kwa mwaka mzima
Nimekuwekea Hadithi kwa ukamilifu wake, soma acha kupoteza muda na kupotosha ukweli.

Ile kazi ya kuweka andiko lenu kisha ulihakiki, naona umeishindwa.
 
Nimekuwekea Hadithi kwa ukamilifu wake, soma acha kupoteza muda na kupotosha ukweli.

Ile kazi ya kuweka andiko lenu kisha ulihakiki, naona umeishindwa.
Kisai unachobisha kipo mbele ya macho Yako , Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya au unataka kusema alikuwa anaigiza ? Na kufikiri umefanya kitu na hujakifanya ni ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia na huu ugonjwa muhammad alikuwa nao mwak mzima

The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.
 
Kisai unachobisha kipo mbele ya macho Yako , Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya au unataka kusema alikuwa anaigiza ? Na kufikiri umefanya kitu na hujakifanya ni ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia na huu ugonjwa muhammad alikuwa nao mwak mzima

The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.
Malizia hadithi kijana, acha kupoteza muda. Na sababu imeelezwa humo.
 
Kazi yangu nimemaliza. Uwe unanukuu habari kamili tena ule mzizi wa habari hutakiwi kuuacha.
Tumemaliza Muhammad alikuwa chizi schizophrenia
Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063

Schizophrenia - kudhani umefanya jambo na kweli hukufanya
 
Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?

Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.

Unasema hakuna kabila wala dini yoyote ambayo haitumii maneno ya kiarabu, unaweza kunionyesha mameno ya kiarabu kwenye lugha ya kichina ama kijapani? Ama unaweza kunipa maneo ya kiarabu kwenye kigiriki?

Unasema lugha ya kiarabu iko kwenye lugha zote Duniani halafu unatolea mfano kiswahili na kingereza, hizo ndio lugha za Dunia?

Wewe taahira hujui kua china ina namba zake mona hadi kumi ama kwa kua umekaririshwa msikitini na wajinga wenzako basi unakuja kuleta huo ujinga hapa.

Cha kukushauri, mwambieni allah ajifunze lugha nyingine, Dunia imebadilika sana abadilike, ajifunze hata kijaluo ama hata kisambaa au kijerumani.
Dahhh kijana unachekesha wewe eti allah ajifunze kijaruo uyo unayemkashifu ndiye aliyezileta lugha zote izi unazoona wewe za mahana na kama angeamua au akiamua duniani kote wote tuongee lugha moja anaweza lwa utukufu na nguvu alizonazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom