Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Mwarabu mwenyewe asili yake ni mtu mweusi.Ni baada ya kuoana,na watumwa wa nawake kutoka mashariki ya ulaya,ndio kukapatika,half cast wa kiarabu(weusi) na wazungu (weupe).Sasa kama muarabu kambagua mweusi,huyo kambagua babu yake,atajuana mwenyewe na babu yake ugomvi wa ndugu,hatuuingilii.Una maana pamoja na ushetani wao, waarabu wote wataingia peponi? Walikufanya nini hadi uwaabudie hivi? Je unajua namna waarabu wanavyobagua waswahili? Kama unajua kimombo basi bonyeza hii Uncovering anti-Blackness in the Arab world
π π π π π π π Ni wachache wanaojua usemayo mwanangu. Asante sana. Mwarabu na mhindi ni wa hovyo kuliko hata wazunguMwarabu mwenyewe asili yake ni mtu mweusi.Ni baada ya kuoana,na watumwa wa nawake kutoka mashariki ya ulaya,ndio kukapatika,half cast wa kiarabu(weusi) na wazungu (weupe).Sasa kama muarabu kambagua mweusi,huyo kambagua babu yake,atajuana mwenyewe na babu yake ugomvi wa ndugu,hatuuingilii.
Hao allah waliotuumba wako wangapi ama ni allah na mke wake ama nini?Uwe unasoma na kuelewa hoja siyo unakurupuka kujibu. Soma nilichokiandika kisha ujenge hoja.
Kingine uonyeshe wapi Mtu amelazimishwa kujifunza lugha ya Kiarabu ?
Kisha Allah anasema :
13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (al-Hujuurat : 13)
Wewe usiyejulikana hizi dini ni kwa ajili ya mwarabu na mwingereza? Inaelekea haujui kuwa hata huko uarabuni dini ya kikiristu ipo na ndiko ilikoanzia, siyo uingereza kama unavyodhani.
Hizo zote ni lugha za mashariki ya kati..vipi kwenye kibantu kuna kiarabu..au kwenye kichina kuna kiarabu..?Kiarabu,Kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili ni lugha za asili moja ya lugha ya Kisemiti.
Kwa hiyo lugha hizo zote,zipo kwenye lugha kuu zote za dunia.
Kuwa na hoja,ukitukana unaonekana,huna hoja.
Sijui.Hao allah waliotuumba wako wangapi ama ni allah na mke wake ama nini?
SIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.
Kisai unauhakika Aya maneno yote ni Allah au Kuna na ya muhammadKisha Allah anasema :
13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (al-Hujuurat : 13)
Kwahiyo mnapo ambiwa ukweli ndiyo kusifia ?Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?
Niki udurusu ujinga nakuona wewe, yaani katika mfano na ukitaka kuuelewa ujinga vizuri mfano lazima utakuwa wewe.Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.
Nina uhakika wa asilimia zote. Hapa nataka tupeane kazi, wewe uweke andiko moja unalo amini ya kuwa ni la Yesu kisha wewe uthibitishe hilo na mimi nikuthibitishie.Kisai unauhakika Aya maneno yote ni Allah au Kuna na ya muhammad
Allah anaongea alafu anasema "hakika mwenyezi Mungu ni mwenye kujua" kwa nini amehasahau yeye ndie anatakiwa kuwa mungu
Allah anatatizo Koran nzima anashindwa ku switch from 3rd person to 1st person
Allah alitakiwa aweke mawe mengi myasujudu ata kila nchi angeweka jiwe mojaElimu elimu Γ 100, 000, what good is it then??!!π
let it be so then who is to blame??, The Saud Government or the pilgrims ??, The pilgrimage is one of the worships prescribed in the Holy Qur'an for Muslims.
Bado huna hoja ya ku discredit Hijja.
Ni chuki na husuda ndio inakutafuna tu.
Imani alafu unasema tena nithibitishe πππ, wewe uweke andiko moja unalo amini ya kuwa ni la Yesu kisha wewe uthibitishe hilo na mimi nikuthibitishie.
Nani alikwambia ya kuwa imani haithibitishiki ? Hao Waarabu unafikiri walimuamini vipi ? Kijana kumbe ndiyo maana kwenye dini yenu mnazua vya kuzua na kuwadanganya watu. Soma tukio la kwenda mbinguni Mtume uone mjadala ulivyokuwa baina ya Makuraishi na wakakubali.Imani alafu unasema tena nithibitishe πππ
Muhammad alikwambia alipaa usiku na punda mwenye mabawa na hakuna mtu alimuona ata mke wake mtoto Aisha na bado wewe kisai unajua ni kweli
Ungemjibu , Allah anaposema sisi ni yeye na Malaika na hourisSijui.
Kuna mtu alimuona akipaa hili ndio swaliNani alikwambia ya kuwa imani haithibitishiki ? Hao Waarabu unafikiri walimuamini vipi ? Kijana kumbe ndiyo maana kwenye dini yenu mnazua vya kuzua na kuwadanganya watu. Soma tukio la kwenda mbinguni Mtume uone mjadala ulivyokuwa baina ya Makuraishi na wakakubali.
Mke wake hakuamini au unataka kutuambia nini ? Wewe usikimbie kimbie, tuwekee andiko ambalo wewe unaamini ya kuwa ni kweli kisha utoe sababu na kuonyesha ukweli wake, hata hili ambalo mnasema Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu, kisha uthibitishe ya kuwa hayo maneno ni ya Yesu au mtu mwingine ?
Twende kazi.
Andika vizuri, nikuelewe.Ungemjibu , Allah anaposema sisi ni yeye na Malaika na houris
Lipo wazi Allah anaposema sisi ni yeye Malaika na ma hourisAndika vizuri, nikuelewe.
Maswali ya kipuuzi huwa hatujibu sababu ni tatizo la muulizaji kutokutumia akili yake vizuri huku akijiona anauliza swali hilo akiwa anajua zaidi.
Kuna mtu alimuona akipaa hili ndio swali
Talk is cheap unaweza kuanzisha uzushi tu na kuutetea ,
Mimi mwenyewe Jana nikiruka mpaka marekani na kurudi
Mimi mwenyewe Jana nikiruka mpaka marekani na kurudi