Dini ni Utamaduni wa watu fulani

Dini ni Utamaduni wa watu fulani

Labda hujanielewa ni hivi; lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha kuu 5 za dunia, ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu.

Ni lugha ambamo Qur'an imeshushwa, ili mtu ajue "vizuri" mafundisho ya Qur'an yampasa ajue "Quranic Arabic" mbali na kwamba kuna tafsiri nyingi za Qur'an katika lugha mbalimbali lakini maana halisi zinapatikana kwa kujua lugha yenyewe ya Kiarabu cha Qur'an (kiarabu fasaha).

Waisilamu duniani wanaunganishwa Mtume (saw) chini ya Qur'an na kiarabu ndiyo lugha inayowaunganisha, leo Muisilamu Mtz akienda Russia, Germany, Saudia, pakistan, India au popote duniani hatopata shida katika kuswali ndani ya msikiti wowote kwa njia na dua za swala zote ni katika lugha ya kiarabu.

Katika swala kuna "postures" na kila posture ina dua yake, posture moja ni sujuda hapo kuna dua yake pia lakini MTU HAJAKATAZWA ANAPOKUWA KATIKA SUJUDA BAADA YA KUSOMA DUA INAYOTAKIWA HAPO HUYO MTU NAYE AKAOMBA DUA AU MAOMBI YAKE BINAFSI KATIKA LUGHA YAKE MWENYEWE ANAYOIJUA, kwani Mungu anasikia lugha zote.
Nlishakuelewa, Ila tunarud pale pale. Kiuhalisia na sio dhambi, Haihitaji tuwe lugha moja ili kufanya sala zetu ziende sawa.
 
.
Screenshot_20200722-192231.jpg
 
Aya nilizoleta hukuziona??!!, au wewe ni kipofu wa roho??!!
Uzuri ayq ziko wazi sana, hazionyeshi unacho kidai wewe, sasa tuambie hizi habari zilizo fichikans umezipata wapi ? Hatulei wajinga na wazushi.
 
Umeainisha vyema kabisa, dini ni utamaduni umiingizwa Africa na wageni bila kujali kuwa Ni waarabu au wayahudi. Wazungu nao wanasambaza utamaduni wao wa ushoga!!
 
kumbe uislam ulikuja kwa ajili ya WAARABU wa enzi ya ujinga!

uoni sisi tumebeba mzigo si wetu tumekopi tamaduni za watu

sisi tulikua na taratibu zetu kula,kuvaa,salamu,ibada

kwaio mpaka hapa uislam ulikua hautuhusu.
Tena mzigo wa watu wajinga pengine tuliubeba wala hatukuwa wajinga kabisa
 
Uzuri ayq ziko wazi sana, hazionyeshi unacho kidai wewe, sasa tuambie hizi habari zilizo fichikans umezipata wapi ? Hatulei wajinga na wazushi.

Wewe ndiye mjinga wa Qur'an, eti wazee wetu wa zamani kipindi wenzao wa mashariki ya kati wamepewa miongozo kupitia mitume wao wazee wetu wa Afrika nk, Allah hakuwapa miongozo yoyote!!!, eti, waliishi kama wanyama wasiostahili miongozo!!!, eti mitume wote 123,975 walikuwa ni mitume wa watu wa mashariki ya kati tu!!!🤣--- ni akili ya mwendawazimu ndiyo ita entertain such stupor.

Mtume (saw) mwenyewe kasema (duniani) walitokea mitume 124,000-- hata hadithi inakushinda kuielewa???

Qur'an ni kitabu cha watu wenye akili (wanaitumia akili) sio kasuku wanaoghani na kuiimba tu bila kujua maana za aya zake.
 
Sasa kama anahuruma ya kiwango hicho, kwamba chizi anaenda na mwenye nazo alkadhalika.Tena ni mjuzi kama unavyomnasibu;

Kinachomshinda yeye kuileta pepo isiyo na masharti ni kipi..? Au hajui kwamba upunguani ndio chazo cha mabaya mengi..? Kwani kipi hasa anatafuta.?

Ukizingatia kunasehemu kasema mwenyewe kwamba "ukimwabudu haongezeki kitu wala ukimchunia hapungukiwi".! Mjeuri sana huyu

Kwanza yakupasa ujue kuwa Mungu hufanya kile anachopenda na kuna aya anasema kama akipenda/akitaka anaweza kutufuta sote na akaumba/akaweka katika hii dunia/ulimwengu viumbe wengine tofauti na watu.

Pili sio kila hekima ya Mungu watu tunaweza kuzijua, kuna hekima zake zingine zipo nje ya uelewa wa mtu.

Mungu kutokana na hekima yake ndiyo maana kakupa jinsia uliyonayo bila ya wewe kuomba jinsia hiyo, kwa hekima yake ndiyo maana kakuumba mtu vinginevyo angekuumba funza au nguruwe au Fisi nk, kwa hekima yake ndiyo maana akakupa akili uliyonayo ili ukiitumia vizuri uweze kutambua mema na mabaya (ndani ya maagizo yake), je kama Mungu angefanya vinywa vyetu viwe ndiyo njia za haja kubwa na njia ya haja ziwe ndiyo midomo hapo ungemlaumu??!!, bila shaka ungefurahia maisha jinsi unavyoyafurahia leo hadi unathubutu kumkosoa ukisahau kabisa hata hao wazazi wako ni yeye aliyekuchagulia na bila kusahau ni yeye aliyekupa hiyo ngozi nyeusi ambayo baadhi ya wajinga wanadai kwamba hatukustahili Mungu kutuletea mitume kutuongoza njia katika zama zilizopita.

Basi mkuu, chukua wasaa huu kujitafakari pale ulipokuwa bado ni manii, mimba, mtoto mchanga usiyejua kitu hadi ujana/utu uzima unayejitambua pia chukua nafasi hiyo kumtambua Mungu naye huumba atakavyo.
 
Wewe ndiye mjinga wa Qur'an, eti wazee wetu wa zamani kipindi wenzao wa mashariki ya kati wamepewa miongozo kupitia mitume wao wazee wetu wa Afrika nk, Allah hakuwapa miongozo yoyote!!!, eti, waliishi kama wanyama wasiostahili miongozo!!!, eti mitume wote 123,975 walikuwa ni mitume wa watu wa mashariki ya kati tu!!!🤣--- ni akili ya mwendawazimu ndiyo ita entertain such stupor.

Mtume (saw) mwenyewe kasema (duniani) walitokea mitume 124,000-- hata hadithi inakushinda kuielewa???

Qur'an ni kitabu cha watu wenye akili (wanaitumia akili) sio kasuku wanaoghani na kuiimba tu bila kujua maana za aya zake.
Huna ushahidi kijana naona unarudia rudia tu ukiyo yaanidka nyuma na hujibu swali langu. Hutakiwi kubahatisha bali unatakiwa uwe una uhakika na unacho kiandika.

Ukipata ushahidi nistue, nije kusoma.

Ahsante.
 
Wewe huna macho ya akili, Mtukufu mtume (saw) amesema mitume waliikuja kabla yake ni 124,000. Akili yako haikutoshi kujua kwamba hawa ni mitume waliokuja kwa dunia nzima???

Allah katika sehemu kadhaa ndani ya Qur'an anasema; katika kila umma alituma mtume.

Huku kwetu Africa na sehemu zingine za dunia kulikuwepo na watu mbalimbali katika mahaki mbalimbali (nyimati), kwa msingi huo, kwa mujibu wa Qur'an ni lazima mitume walitumwa kwa ajili yao.

Hatujui habari zao kwasababu Allah hakuona umuhimu kumsimulia Mtukufu mtume (saw), almuhimu Mitume Walikwepo na huku kwetu, wazee wetu nao walikuwa watu kama wazee wa Mashariki ya kati hivyo walihitaji Muongozo wa kiroho, wazee wetu hawakuwa hayawani, hawakuwa na laana kiasi kwamba Allah asiwape neema ya Mitume.

Haiingii akilini kwamba kwama toka Nabii Adam (as) hadi Muhammad (saw), mitume 124,000 watokee Mashariki ya kati tu, walikuja kucheza mpira au zilikuwa ni timu za Basket ball!!!??, Wakati mtume kasema wametokea duniani kote wewe umasema hapana wametokea mashariki ya kati tu!!!-- wewe ni "Mmmanga" na unajivunia umanga wako ukijiona kwamba nyinyi ndio mlistahiki kuletewa mitume peke yenu huko Mashariki ya kati na wengine hawakustahili.

kaka acha kunywa Alkasusu, upende kula Samaki sana uongeze
omega 3 في ريسك.
 
Ukiwa na ushahidi nistue nije kusoma ulicho kiandika na kama cha uongo mwendi ni ule ule.
 
Ushahidi gani zaidi unaotaka???, wewe unashindwa kujiuliza mitume wote 124,000 huko mashariki ya kati Allah aliwatuma kila mmoja kwa familia yake???!!---- hao walikuja kwa ajili ya dunia yote.

Hebu tuliza akili yako kama msomi wa dini na tafakari hili jambo;

Siku ya kiyama kila umma utasimama na mtume wake kama shahidi, Wazee wa mashariki ya kati watasimama na mitume wao kama mashahidi, Wazee wetu wa Kiafrika na wengine watasimama na nani kama mashahidi wao katika siku hiyo ya kiyama kama wao hawakujiwa na mitume katika zama ambazo wenzao wa mashariki ya kati wakifikiwa na mitume ???.

Huoni kwamba watakuwa na nafasi ya kumlalamikia Allah kwa kutowaingiza peponi kwasababu peponi huingia watenda nema na wao hawawezi kujua mema na mabaya bila kupata mitume wa kuwajulisha mema na mabaya.

Wakati huo Wazee wenzao wa mashariki ya kati wakihukumiwa Wazee wetu wa kiafrika wamejikunyata hawajui hili wala lile wakisubiri neema ya Allah ya kuwaingiza peponi bila kuitumikia, Wazee wa mashariki ya kati nao watamlalamikia Allah kwanini awaingize watu peponi bila juhudi waliyofanya!!!--- Allah hawezi kuwaingiza motoni wazee wa kiafrika kwani hawatakuwa na makosa kwakuwa hawakufikiwa na mitume.

Sasa nani alaumiwe katika mgogoro kama huo??-- lawama zitabidi ziende kwa Allah (Allah apishe mbali yeye ni subhana), kamwe Allah hawezi kuleta mazingira yanayokinzana kwa namna hiyo, ni wazi kabisa mitume takriban 124,000--25=123,975 walikuwa kwa ajili ya sehemu zingine za dunia, kazi yao kubwa ilikuwa ni kutangaza;

لا اله الا الله
 
Kiufupi naamini Mungu yupo, na amejidhihirisha wazi kabisa. Kila jamii dunia mzima nguvu ya Mungu ipo. Kuna dini kubwa sita duniani. Kote Mungu anajionesha. Kuna
~Judaism
~Christianity
~Islam
~Hinduism
~Budhism
~Sikhism
Mtawa(monk) wa kibudha anaweza fanya maajabu makubwa sana ya kutembea juu ya maji au kutembea bila kukanyaga ardhi(kupaa) Kama Yesu. Lakini si mkristu Wala mwislam.
Nimekuelewa mkuu ila swala langu bado nadhani hujanijibu.

Nimeuliza kuwa unatumia kipimo gani ama unatumia kitu ganii kukujulisha kuwa mafundisho haya yametoka kwa Mungu na haya hayajatoka kwa Mungu bali yametungwa na watu tu ?
 
Ushahidi gani zaidi unaotaka???, wewe unashindwa kujiuliza mitume wote 124,000 huko mashariki ya kati Allah aliwatuma kila mmoja kwa familia yake???!!---- hao walikuja kwa ajili ya dunia yote.

Hebu tuliza akili yako kama msomi wa dini na tafakari hili jambo;

Siku ya kiyama kila umma utasimama na mtume wake kama shahidi, Wazee wa mashariki ya kati watasimama na mitume wao kama mashahidi, Wazee wetu wa Kiafrika na wengine watasimama na nani kama mashahidi wao katika siku hiyo ya kiyama kama wao hawakujiwa na mitume katika zama ambazo wenzao wa mashariki ya kati wakifikiwa na mitume ???.

Huoni kwamba watakuwa na nafasi ya kumlalamikia Allah kwa kutowaingiza peponi kwasababu peponi huingia watenda nema na wao hawawezi kujua mema na mabaya bila kupata mitume wa kuwajulisha mema na mabaya.

Wakati huo Wazee wenzao wa mashariki ya kati wakihukumiwa Wazee wetu wa kiafrika wamejikunyata hawajui hili wala lile wakisubiri neema ya Allah ya kuwaingiza peponi bila kuitumikia, Wazee wa mashariki ya kati nao watamlalamikia Allah kwanini awaingize watu peponi bila juhudi waliyofanya!!!--- Allah hawezi kuwaingiza motoni wazee wa kiafrika kwani hawatakuwa na makosa kwakuwa hawakufikiwa na mitume.

Sasa nani alaumiwe katika mgogoro kama huo??-- lawama zitabidi ziende kwa Allah (Allah apishe mbali yeye ni subhana), kamwe Allah hawezi kuleta mazingira yanayokinzana kwa namna hiyo, ni wazi kabisa mitume takriban 124,000--25=123,975 walikuwa kwa ajili ya sehemu zingine za dunia, kazi yao kubwa ilikuwa ni kutangaza;

لا اله الا الله
Hao mitume ya kiafrica walipewa kitabu gani?
 
Mkuu mokaze nimekuelewa.

Allah anasema "tumetuma katika kila Umma mtume awaambie watu wamuabudu Allah na wajiepushe na twaaghuti"

Bila shaka idadi ya mitume hiyo zaidi ya laki moja inaendana na akili kuwa kila uumma ulikuwa na Mtume pia..

Nadhani kwa wanaobisha hawajatafakari vizuri.
 
Hujaweka ushahidi wa hao mitume ambao walikuwepo Afrika na zile nchi ulizo zitaja. Usijitoe ufahamu kijana na kupoteza muda.
mkuu zurri wewe unatambua fika kuwa katika kujenga hoja unatumia dalili.

Na dalili tunaweza kutumia dailili ya ujumla ama dalili maalumu.

Mfano kuna watu wanafunga haya masiku kumi yote,ukitafuta dalili maalumu iliyosema kuwa watu wafunge masiku haya haipo hiyo dalili.

.ila kuna dalili Ya jumla ile inayosema kuwa "katika masiku haya kumi matendo mema yanapendeza zaidi kwa Allah"

Kwa hiyo katika jumla ya matendo mema na hii funga inaingia pia katika matendo hayo mema pia.

Ndio maana shekh muqbil Kama sikosei,akasema kuwa hasemi kama ni bidaa kufunga masiku haya ila hakuna athari wala asili kutokea huko kwa mtumee kuwa alifunga

TURUDI SASA..

Sasa Allah alisema KUWA

"kwa hakika tumetuma katika kila umma Mtume,ili awaamrishe watu wamuabudu Allah na wajiepushe na twaaghuti"

Ukiangalia vizuri utaona kuwa imetumika lafdhi ya

كل أمة
"KULLI UMMATIN"
Kwa maana ya kila Ummah.

Na kullu inabaki kulliyah maadamu hakuna kilichokuja kuivua kullu hiyo.

Na hakuna sehemu kwenye Qurani inayosema tena kuwa kuna ummah haukufikiwa na Mtume au kuna ummah haukuwa na Mtume.

Kwa maana hata waafrica nao walikuwa katika sehemu ya Ummah huo uliotajwa na Qurani.

1.Sasa je kuna sehemu inasema umma wa Waafrica hawakuwa na Mtume ?
 
Dini za kigeni zimeleta mvurugano kwenye tamaduni zetu. Mfano
1. utamaduni wa maziko. Sisi misiba ni ya wote sasa inapokuja kwenye suala la dini wanatuchanganya sana. Unakuta waislam safi nao wamesimama kusikia sala au wakristo wako busy kuitikia amin kwa maneno ambayo hawajui.
Na sisi muhimu kuzikwa kwenu, huwa watu wanachanganywa sana pale sasa baba yao itabidie azikwe alikofia.

2. Muziki. Waafrika tamaduni zetu za muziki mpaka uchezwe. Sasa hizi nyimbo za kikristo na kaswida hazitakiwi kuchezwa kwa vionjo. Basi sasa hata hizo zimelazimika kukubali vionjo vya kuchezeka ili watu wawe na amani tu na wafurahie ibada.

3. Ndoa
Kwanza ndoa za mitala kwa utaratibu wa kiafrika ilikuwa si tatizo. Hizi hadithi za mke mwenza mbaya zimeanza zama hizi za dini za ugeni. Kuna namna ya utaratibu wa kuweka amani kwenye hizi dini hata uislam hauna. Sasa wanawake hatutaki tena mitala.

Mahari.
Hii waafrika wamechukua vifungu vya dini inavyowaruhusu kuendelea na hii tamaduni. Ukristo hakuna mahari lakini hayupo mkristo atakataa mahari.

4. Mavazi
Walituharibia sana. Sisi wanawake walikuwa hawakosi urembo miguuni, kichwani, masikioni, mikononi. Sasa vikuku vinaonekana ni umalaya wakati wamasai, wagogo, wahaya na wasafwa walivaa vya aina zao. Ule urembo ambao kila mtu anaweza kumiliki inatofautiana nini na pete za ndoa sasa.

Juzi juzi nimesali sehemu moja alikuwepo binti wa kimasai amekuja amevaa vikuku, mkufu shingoni na mkononi. Nikajiuliza hivi ilikuwaje tukakubali kuviacha na na Mungu gani huyo ambaye hatasikia sala yangu nikiwa nimevaa kama yule binti. I wish kuvaa lakini wazazi wangu watakuwa wa kwanza kunilaani.

Najua hatuwezi kurudi nyuma lakini vidogo natamani itokee kuacha kama waisrael walivyochoma miliki zao zote walizopata misri wakaanza upya. Au wakati wanatoka babeli walivyoanza upya. Tupate viongozi wakutuelekeza tuanze upya.
 
kwa hakika tumetuma katika kila umma Mtume,ili awaamrishe watu wamuabudu Allah na wajiepushe na
kama Allah ametuma mtume katika kila umma.
je mtume wetu ni yupi?
na kwanini tumtumie mtume muddy kama mtume wetu?

kumbuka mtume mudy alitumwa katika umma wa arabu
 
Kabla sijajibu tafadhali naomba kujua kuwa MBALI NA VITABU au Qurani umejuaje kuwa Muhammad alitumwa kwa waarabu pasi na kutumia vitabu ama kitabu ?
 
Back
Top Bottom