Umati kwa maana kufikiwa na ujumbe au umati kwa maana ya kimaumbile, ama kimaumbile nakubali. Ila kama kiijumbe unatakiwa utupe ushahidi.Unakubali kuwa waafrika walikuwa ni katika hizo nyumati ?
Nimeona twende kifupifupi...
Umati kwa maana kufikiwa na ujumbe au umati kwa maana ya kimaumbile, ama kimaumbile nakubali. Ila kama kiijumbe unatakiwa utupe ushahidi.Unakubali kuwa waafrika walikuwa ni katika hizo nyumati ?
Nimeona twende kifupifupi...
Unaweza kututhibitishia ya kuwa mjumbe anae kusudiwa hapo siyi mtume bali ni mtu yoyote ? Lakini pia unaweza kututhibitishia ya kuwa mtume alikuwepo zama za hao?watu hao hawakufikiwa na mjumbe,haina maana ya kuwa mtume hakuwepo.
Bhyo mjumbe unamjua wewe au umejuaje kama kuna mjmbe ?Kwa sababu hao watu unaowasema walikuwa katika umma fulani na huo ummah ulikuwa na mjumbe,ila ujumbe wa huyo mjumbe haukuwafika hao watu.
mkuu wangu kwani fasihi simulizi lazima irejee kwenye fasihi andishi?Si
Simulizi gani ambazo hazirejei kwenye vitabu vya hilo jambo ?
Hujajibu swali langu bado.
Simulizi ipi ambayo haiarejei kwenye vitabu ?
naomba kujua katika umma wetu alitumwa mtume nani?kwa hakika tumetuma katika kila umma Mtume,ili awaamrishe watu wamuabudu Allah
mtume wa umma wetu ni yupi?Na hakuna sehemu kwenye Qurani inayosema
kuna ummah haukuwa na Mtume.
aya umma wa afrika ni mtume yupi uyo alitumwaKwa maana hata waafrica nao walikuwa katika sehemu ya Ummah huo uliotajwa na Qurani.
Usichanganye watu hawa ambao tuko nao lakini hawajapata ujumbe bali kuna wale ambao mtume hakushushwa katika kipindi chao, hao ni kati ya wale watu wa aina nne watakao jaribiwa siku ya Qiyama, kwa mujibu wa kilicho pokelewa toka kwa Imaam Ahmad na al Imaam al Bayhaaq katika kitabu chake.Nadhani unafahamu kuwa watu na ummah ummah ni mkubwa zaidi ya watu.
Kwa sababu hata leo hii kuna watu ambao hawajapata ujumbe wa uislamu,wako maporini huko hawwajui lolote lakini watu hao wapo katiuka ummah huu huu tunaoishi sisi.
Hivyo kutaka kuweka sawa watu fulani kuwa ummah ni makosa.
Na kama ukisema kuwaa kuna watu hawakupata mjumbe kwa kumaanisha kuwa watu hao ni ummha,basi je Qurani inajikanyaga kwa kusema kuwa ilipeleka mjumbe katika kila ummah ?
Mbona ummah wako bwana zurri haukupata mjumbe kama Qurani inavyodai ?
Utaona kuwa kuna pahala umeenda kombo,ni pale pakushikilia kuwa hao watu ni ummah pia.kumbe hao watu ambao hawakupata ujumbe wako ndani ya ummah wenye mjumbe tayari.
Wewe ndo ulete huo ufafanuzi wa hiyo aya kuwa huo umma ni upi uliokusudiwa ni upi ambao lazima ashushwe mjumbe na huo umma ambao ulikosa mjumbe ni upi ?Usichanganye watu hawa ambao tuko nao lakini hawajapata ujumbe bali kuna wale ambao mtume hakushushwa katika kipindi chao, hao ni kati ya wale watu wa aina nne watakao jaribiwa siku ya Qiyama, kwa mujibu wa kilicho pokelewa toka kwa Imaam Ahmad na al Imaam al Bayhaaq katika kitabu chake.
Bado nasisitiza ya kuwa aya ile hukuielewa vizuri, sababu mtume amekuja kuweka wazi juu ya aya hiyo na ukisoma tafsiri ya Imaam Ibn Kathiri ameliweka wazi hizi. Kwahiyo usichanganye mambo.
kwa unavyoelewa wewe umma maana yake ni nini ?naomba kujua katika umma wetu alitumwa mtume nani?
Ukisema umma wewe unamaanisha nini ?aya umma wa afrika ni mtume yupi uyo alitumwa
Basi umekosa uadilifu.mkuu wangu kwani fasihi simulizi lazima irejee kwenye fasihi andishi?
simulizi ya mtu/kitu haiwezi kutoka kizazi hadi kizazi bila kupitia kwenye maandishi?
kabla ya uwepo wa maandishi watu walikua hawapati taarifa za nyuma?
Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa hujui kitu chochote kuhusu uislamu kwa kupitia chanzo chochote cha vitabu vya kiislamu ?mkuu wangu kwani fasihi simulizi lazima irejee kwenye fasihi andishi?
simulizi ya mtu/kitu haiwezi kutoka kizazi hadi kizazi bila kupitia kwenye maandishi?
kabla ya uwepo wa maandishi watu walikua hawapati taarifa za nyuma?
Nimejua kwa sababu Qurani inasema kila umma umepewa mjumbe na huo umma pia lazima uwe na mjumbe.Bhyo mjumbe unamjua wewe au umejuaje kama kuna mjmbe ?
Reja Tafsiri Ibn Kathiri ameelezea hilo, na nimekupa marejeo katika musnad ya Imaam Ibn Hanbal Abuu Abdillah na kwa Imaam al Bayhaaq katika kitabu chake cha "al 'Itiqaad" amenukuu hadithi juu ya watu aina nne watakao pewa mtihani siku ya hukumu.Wewe ndo ulete huo ufafanuzi wa hiyo aya kuwa huo umma ni upi uliokusudiwa ni upi ambao lazima ashushwe mjumbe na huo umma ambao ulikosa mjumbe ni upi ?
Mimi sijasema mtu yeyote bali nimesema Mtume yule wa kuchaguliwa hasa afikishe ujumbe katika kila umma.Unaweza kututhibitishia ya kuwa mjumbe anae kusudiwa hapo siyi mtume bali ni mtu yoyote
Kuna zama na umma.mfano sisi zama hizi ni umma wa mtume muhammad lakini zama ni tofauti kabisa ukiangalia zama za Mtume muhammad na zama zetu ni tofauti kabisa.Lakini pia unaweza kututhibitishia ya kuwa mtume alikuwepo zama za hao?
Kwani hao watu umeambiwa ni ummah au ni watu ndani ya ummah ?Hapa unapingana na mtume kwa kile kilicho simuliwa na Imaam Ahmad katika musnad yake na imaam al Bayhaaq katika kitabu chekae "al 'Itiqaad" juu ya watu aina nne watakao pewa mtihani siku ya Kiyama,kwa maana wapo watu ambao hawakufikiwa na mtume kabisa na mtums amewataja watu hao na kwa istilahi huitwa "ahlul Fitrah". Al muhimu unapo kata kwa kusema kulikuwa na mjumbe unatakiwa utupe ushahidi juu ya mjumbe huyo.
Mtume maisha yake yote alikuwa anafasiri Qur'aan yeye akaja kuwatoa na kueleza ya kuwa wapo ambao hawakufikiwa na ujumbe, na ni katika watu wa aina nne, hawa watu watapewa mtihani siku hiyo hiyo ya hukumu, katika hao wapo ambao hawakufikishiwa mjumbe kabisa, soma katika Musnad ya Imaam Ahmad na al Imaam al Bayhaaq amenukuu hadithi hiyo.Nimejua kwa sababu Qurani inasema kila umma umepewa mjumbe na huo umma pia lazima uwe na mjumbe.
Hao mitume wote zaidi ya laki moja ndo wapo humo katika hizo nyumati ambazo Allah hatuona umuhimu wa kututajia.
Kutokuwajua hao mitume sio hoja kuwa ati hawakuwa na mitume hizo nyumati.
Kama ambavyo kutokuwajua majina hiyo mitusme zaidi ya laki moja sio hoja kuwa ati haipo...ipo ila Allah kwa hekima zake hakutaka kututajia.
Unachotaka kulazimisha kuwa Allah angetaja kila kitu na kila tukio jambo ambalo sio sawa kuna mambo yameachwa tele tu ambayo Allah kaona hayatufaidishi.
Hao watu ni ummah bossi ?Mtume maisha yake yote alikuwa anafasiri Qur'aan yeye akaja kuwatoa na kueleza ya kuwa wapo ambao hawakufikiwa na ujumbe, na ni katika watu wa aina nne, hawa watu watapewa mtihani siku hiyo hiyo ya hukumu, katika hao wapo ambao hawakufikishiwa mjumbe kabisa, soma katika Musnad ya Imaam Ahmad na al Imaam al Bayhaaq amenukuu hadithi hiyo.
Unajua kwamba mjumbe wapo walikuwa wanakuja kwa ajili ya mji au koo fulani, huo ni umma mzee, hata nabii Issa alitumwa kwa Wana wa Israeli na si katika umma wote wa dunia nzima, na ndiyo maana ule pia unaitwa umma, umma siyo lazima uwe dunia nzima mzee, hili unatakiwa uelewe, mtume pakee aliye tumwa kwa ajili ya ulimwengu mzima ni mtume Muhammad pekee.Kwani hao watu umeambiwa ni ummah au ni watu ndani ya ummah ?
Umma, ukisoma aya katika matini yake, imekuja "Rasula" kwa maana ya mtume kilugha kama alivyofasiri Shaykhul Islaam katika majmui al Fatawa unawatoa manabii, lakini aya inajumuisha na manabii kadhalika, hii uone ya kuwa linalo kusudiwa hapo ni wingi wa watu.Hao watu ni ummah bossi ?
Na mimi sikusudii mjumbe ni mtu yoyote, mimi namkusudia yule aliyezungumziwa katika aya.Wewe kama unasema njumbe ni mtu yeyote hiyo sio mimi ni wewe,mimi nasema mjumbe kusudiwa katika aya ni Mtume hasa.
Sasa nana unatoka kwenye lengo na kuingiza mambo ambayo hayapo, hakuna sehemu iliyo gusiwa na aya kuhusu zama, hapa aya inaongelea umma,yaano watu.Kuna zama na umma.mfano sisi zama hizi ni umma wa mtume muhammad lakini zama ni tofauti kabisa ukiangalia zama za Mtume muhammad na zama zetu ni tofauti kabisa.
Na ujumbe wetu ni mmoja, na naongelea ujumbe, na umma huu mtume ni Muhammad, sasa kuna ummat hazikupelekewa mtume kabisa.Lakini tofauti hizo za zama sio tofauti za ummah.sisi ni UMMA MMOJA WA ZAMA TOFAUTI.
Soma matini ya hadithi nimekupa marejeo, mtume amesema umma na akasema baadhi ya watu ndani ya umma, soma hadithi, imegusia watu wa aina nne, sasa usingie mlango ambao umeshafungwa tayari, utazidi kuharibu.Ahlul fitrah sio umma hao ni baadhi ya watu ndani ummah wenye zama nyingiii.
Tuambie sasa walikuwa katika umma wa mtume gani, maana mtume habari hizi amefunuliwa na ndiyo maana akasema watu wa aina nne, na angetuambia ni mtume gani.Unapoambia ahlul fitrah na ummah basi ummah ni mkubwa kuliko ahlul fitrah,hivyo hao ahlul fitrah walikuwa ndani ya ummah wenye mtume.
Naona unalazimisha jambo ambalo halipo, ndiyo maana nikasema hivi aya hujaielewa. Nani alikwambia umma lazima uwe mkubwa kama ummat Muhammad ? Umma huwa hata kwa kijiji au mji. Sasa soma historia ya kina Plato uone kama walikuwa wachache, magharibi yote ile.Unapoambia ahlul fitrah na ummah basi ummah ni mkubwa kuliko ahlul fitrah,hivyo hao ahlul fitrah walikuwa ndani ya ummah wenye mtume.
Sasa nana unatoka kwenye lengo na kuingiza mambo ambayo hayapo, hakuna sehemu iliyo gusiwa na aya kuhusu zama, hapa aya inaongelea umma,yaano watu.
Zama ni tofauti ila aya imegusa umma, haijalishi ni zama gani, na suala la zama hapa haliingii, hapa ni umma na ujumbe.
Na ujumbe wetu ni mmoja, na naongelea ujumbe, na umma huu mtume ni Muhammad, sasa kuna ummat hazikupelekewa mtume kabisa.
Soma matini ya hadithi nimekupa marejeo, mtume amesema umma na akasema baadhi ya watu ndani ya umma, soma hadithi, imegusia watu wa aina nne, sasa usingie mlango ambao umeshafungwa tayari, utazidi kuharibu.
Unapingana na mtume siyo ?
Tuambie sasa walikuwa katika umma wa mtume gani, maana mtume habari hizi amefunuliwa na ndiyo maana akasema watu wa aina nne, na angetuambia ni mtume gani.
Naona hata hadithi hujaisoma, embu kasome hadithi, kisha uje kujenga hoja. Nikikuuliza mathalani nabii Swalehe huyu alichaguliwa kufikisha ujumbe lakini ujumbe ni kwa watu wake wa Mad'yaan, vipi ule siyo umma ? Rejea kitabu cha Imma Ibn Kathir, kiitwacho "Qasas al An'biyaa".Kadhalila nabii Issa alikuwa katika umma gani, mbona ni mtume lakini kwa watu wa Israeli ule nao ni umma mzee.
Naona unalazimisha jambo ambalo halipo, ndiyo maana nikasema hivi aya hujaielewa. Nani alikwambia umma lazima uwe mkubwa kama ummat Muhammad ? Umma huwa hata kwa kijiji au mji. Sasa soma historia ya kina Plato uone kama walikuwa wachache, magharibi yote ile.