Didn't You see This Coming?

matatizo mengine yanasababishwa na watu kutafuta 'perfect partner'
badala ya kutafuta 'perfect partnership' mwisho ndo wanakuja kukutana na wasoyoyatarajia

Safi sana kaka....

I owe you a blank cheque!!

Happy N/Year!!

Babu DC!!
 
matatizo mengine yanasababishwa na watu kutafuta 'perfect partner'
badala ya kutafuta 'perfect partnership' mwisho ndo wanakuja kukutana na wasoyoyatarajia

What's a perfect partnership without a perfect partner?
Habari ya kusomba somba tu watu ndio hua inasababisha matatizo. Ukweli ni kwamba there is a perfect somebody for everybody, so what you have to do is find someone that is perfect FOR you.
 
Ha ha ha babu bwana
hiyo blue isikutishe
ni utundu wa mjukuu
kujihami na PM

I saw it comming from day one
niliogopa sana
didn't want to believe it.
and it blew on my face

Una maana kuwa unaogopa hata sie vibabu...vibogoyo kabisa??

Ubarikiwe lakini ......na Mungu akukinge na mawazo machafu!!
 
What's a perfect partnership without a perfect partner?
Habari ya kusomba somba tu watu ndio hua inasababisha matatizo. Ukweli ni kwamba there is a perfect somebody for everybody, so what you have to do is find someone that is perfect FOR you.

Lizzy,

Uliwahi kusikia kuwa kuna watu wanaanza bila hata kufahamiana ila wakilenga kwenye perfect partnership na mwisho wa siku wanakuwa kama mapacha....more than perfect partners??

Tatizo la vijana wa dot com ni kutafuta perfect partners kwa kutumia vigezo vya kufikirika!!
 
...tatizo huanzia hapo, unayemdhania ni perfect kwako, huenda wewe wala sio kiviiile kwake...!
 
...Lizzy hebu kuwa mkweli, hutajiskia raha 'kumshikia akili' umpendaye?...lol

...lol...ati mwj1, 'vikofi' hiyo kwako ni kero mamie?

Hahahaha. . . labda kwa mapenzi Mbu, sio kwa manyanyaso. Hapo ntaishia kumuona ni limbukeni.
 
...Lizzy hebu kuwa mkweli, hutajiskia raha 'kumshikia akili' umpendaye?...lol

...lol...ati mwj1, 'vikofi' hiyo kwako ni kero mamie?

Mh...Mbu (a.k.a mosquito), please hebu futa kauli yako haraka kabla Madam Speaker hajafikisha suala la kwenye kamati ya maadili na kinga ya MMU......

MJ anaongelea makofi ya heavy weight (kama yale ya Mike Iron Tyson) halafu wewe unajaribu kuya-romanticize...Hapana mkuu..try to be fair kaka!!
 
Lizzy,

Uliwahi kusikia kuwa kuna watu wanaanza bila hata kufahamiana ila wakilenga kwenye perfect partnership na mwisho wa siku wanakuwa kama mapacha....more than perfect partners??

Tatizo la vijana wa dot com ni kutafuta perfect partners kwa kutumia vigezo vya kufikirika!!

...nahisi wengi hawajajua tofauti ya kuoana sababu wanapendana na kuoana ili waishi pamoja!
hapo kwenye vigezo, nahisi vigezo vya "kusadikika" ndilo neno sahihi au?
 
Babu DC huwezi ukawa na perfect partneship na mtu ambae sio perfect kwaajili yako. Sema tatizo ni kwamba watu wanatumia vigezo ambavyo sivyo kujidanganya kwamba huyu ndie anaefaa kwaajili yangu.
 
Hilo vijana hawalitambui kabisa...hadi inapokuwa too late..

Kweli mkuu, mara nyingi vigezo wanavyotumia ni vya kusadikika!!

Babu DC!!
 
...tatizo huanzia hapo, unayemdhania ni perfect kwako, huenda wewe wala sio kiviiile kwake...!

Tatizo linakuwepo kwenye vigezo Mbu. . nna mada inaitwa Matarajio ngoja nntaipost in a bit. Inaongelea namna gani watu wanaingia kwenye mahusiano wakiwa na matarajio ambayo hayajakaa kiuhalisia na matokeo yake.
 
Mh...Mbu (a.k.a mosquito), please hebu futa kauli yako haraka kabla Madam Speaker hajafikisha suala la kwenye kamati ya maadili na kinga ya MMU......

MJ anaongelea makofi ya heavy weight (kama yale ya Mike Iron Tyson) halafu wewe unajaribu kuya-romanticize...Hapana mkuu..try to be fair kaka!!

...lol....mwj1, i take back my words, samahani soulmate, nisamehe, nimekosea...
haikuwa nia yangu kutoutendea haki huu mdahalo.

...na tuendelee...
 
Babu DC huwezi ukawa na perfect partneship na mtu ambae sio perfect kwaajili yako. Sema tatizo ni kwamba watu wanatumia vigezo ambavyo sivyo kujidanganya kwamba huyu ndie anaefaa kwaajili yangu.

Hiyo ndiyo tofauti kati ya 1947 na dot com!!

Babu DC!!
 
Vibogoyo???
Wakati wala mihogo wa kutafuna!!! :)

Wewe kwa uchokozi sikuwezi......Nakupa masaa 24 ulete ushahidi wa kauli yako!!

:focus:

Wewe unaweza kutambua dalili kwamba gari limegota kwenye matope au hadi uote vichuguu usoni??

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom