de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,456
- 22,759
Unajua leo nilikuwa na cheki ile performance ya Justin Bieber ya coachella...
Na as a fan, nimejikuta najifunza kitu muhimu katika maisha..
Ya kuwa inabidi mtu a jifunze namna ya ku adapt.. What do I mean.?
Ya kuwa katika safari ya kila mtu, atapitia vikwazo, maumivu na changamoto. Lakini namna utavyo ichukuliia hiyo changamoto, na kuadapt bila kupoteza kile kilichomo ndani yako, ushindi haukwepeki
Safari ya Justin haikuwa rahisi... Kwanza kalelewa na mama tu, walikuwa na maisha magumu that Justine alikuwa a aimba mtaani na guitar apate pesa ya kula.
Alipatta recognition baada ya kutoa cover ya wimbo wa Chris brown with you
Na baada ya hapo, Milango yake ikafunguka, aka link up na Usher kipindi hilo wa moto so jb a kapata umaarufu akiwa bado kinda kabisa
Ila what we didn't see behind ni kuwa jb aliteseka sana, kumbukeni Enzi hizo wakina Diddy nao walikuwa wanaimiliki game, so dogo alikuwa anakesha nao kwenye parties and all that..
Dogo alishine kwa miaka mingi, kumbe alikuwa anaona Ufuska pamoja hata na kufanyiwa kabisa maana hiyo collapse alivyo ipata in his mid20's kidogo imuuwe.
Aliteseka sana, alikamatwa kwa uendeshaji mbaya, his mental health was bad. Na pona yake, alikumbana na Hailey Bieber ambae ndo alimpa emotional support... Baadae walioana baada ya jb kupata ahuweni ila bado ndoa yao ilikuwa na misukosuko as jb haikuwa fully healed.
kufupisha mambo Hailey never gave up on him, walipata mtoto na jb.. Kuna mda jb alikuwa sawa na mwingine Ali rudi kwenye addiction trauma bado ilikuepo
Hatimaye years later mwaka huu jb kafanya show kubwa coachella na ilikuwa ni healing point kubwa sana. Aliweza ku connect na his younger self
Alipo Cheza throw back zake kama:
Baby
Never say never
Mistotle
Beaty and a beat
Hata mimi nilipata nostalgia kubwa sana as it reminded me of how far I've come
Nilicho jifunza ni kuwa japo kuwa jb alitamani maisha makubwa yalikuja na cost, ya kupoteza freedom, wamemtumia, alimkosa Serena gomez, na alikumbwa na mental health issues, ila jamaa hakusahau yeye ni nani.
Hiyo ndo silaha pekee ya kushinda kila jaribu lijalo mbele yako.
That's it, japo nimeweka version ndogo sana. Kuna mengi nimeruka, love life, carrier yake, na Vingine vingi tu.
Tulio kuwa na jb tujuane....
Weekend ndo inaisha hivyoo
Cc meghan markle