MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Shem umeongea ishu ya maana sana, hakuna kuachana ambako hakuoneshi ishara bana ila wengi wetu tunakuwa ving'ang'anizi tu na kujitia upofu wa kuangalia tofauti na hali halisi. Maisha ni simple lakini tunayacomplicate.
Muda finyu tu lakini hii mada nilitaka niirudi kuliko kandabongoman enzi za kwasakwasa
Hindsight is almost always 20/20.
Shem yaani mimi huwa nashindwa kuelewa kabisa. Yaani utakuta mtu anakuwa na visaaaaaa, kiasi kwamba unapata tu jibu kuwa amekuchoka, ila ikifika siku unamwambia I want to quit unashangaa anakushangaa kuwa umemkatili na anatafuta njia za kukugeuzia kibao kile cha "Its your fault" wewe ndio umesababisha kuachana!! Najiuliza wakati anaabuse, wakati anacheat hakuliona hili la kumwacha kilibisha hodi??Shem umeongea ishu ya maana sana, hakuna kuachana ambako hakuoneshi ishara bana ila wengi wetu tunakuwa ving'ang'anizi tu na kujitia upofu wa kuangalia tofauti na hali halisi. Maisha ni simple lakini tunayacomplicate.
Muda finyu tu lakini hii mada nilitaka niirudi kuliko kandabongoman enzi za kwasakwasa
Mi nikisemaga kuachana naambiwa eti niko jitu la kuwaza kihasi hasi tu muda wote.
Wengi humu wanaamini katika uvumilivu! Hata wachitiwe mara 100 wao watakwambia samehe mara saba sabini au upuuzi puuzi kama huo...hata idadi yake siijui. Kisa tu eti ndo biblia imesema.
I say hanging on to pious hope is stupid.
Hapo red hapo shem! yaani espeshel waafrika tunajali sana waliotuzunguka watatujudge vipi, na ndio maana jitu linaganda eti mpaka lipate sababu ya kuonesha kwamba ndoa kuvunjika sio kosa lake. Unafiki mtupu walahiShem yaani mimi huwa nashindwa kuelewa kabisa. Yaani utakuta mtu anakuwa na visaaaaaa, kiasi kwamba unapata tu jibu kuwa amekuchoka, ila ikifika siku unamwambia I want to quit unashangaa anakushangaa kuwa umemkatili na anatafuta njia za kukugeuzia kibao kile cha "Its your fault" wewe ndio umesababisha kuachana!! Najiuliza wakati anaabuse, wakati anacheat hakuliona hili la kumwacha kilibisha hodi??
Mpendwa naomba usome upya post yangu utaielewa vizuriMbona wanaume siku zote ndiyo wanao shutumiwa ABUSE; Je wanawake hawawezi wakaabuse partners wao? Unaposema waachan au amuachie eti wako wanaommezea mate; hudhani hiyo ndiyo kiini ya matatizo katika kila relatioshi? Please dont be rediculous.
I saw it coming
But i thought are the Normal insides and outs of love ways!
Just to find out too late, that the fish had gone stiff-bodied!...huh!
Wanaume/ke wengi hawaanzi vitimbwi all of a sudden, wanajipa muda fulani fulani, life goes!
Wakiona no serious steps are taken basi wanajimegea pande kubwa zaidi, na kuchungulia zaidi..
Kwangu mimi, hakuna dark-side ya luv inayokuja ghafla, kiasi kwamba utaizuwia siku moja, one has to test its bitterness for some time, ili akomae, na finally achukue maamuzi sahihi!
Mi nikisemaga kuachana naambiwa eti niko jitu la kuwaza kihasi hasi tu muda wote.
Wengi humu wanaamini katika uvumilivu! Hata wachitiwe mara 100 wao watakwambia samehe mara saba sabini au upuuzi puuzi kama huo...hata idadi yake siijui. Kisa tu eti ndo biblia imesema.
I say hanging on to pious hope is stupid.
MJ1, wanasemaga mla ndizi husahau ila mtupa maganda hasahau kamwe. Inashangaza sana, lakini nadhani silka ya bin adam ndo hiyoo, its like telling ur partner 'don't u burst my bubble', manake hapo kwenye kupiga na kudharau ndo starehe yake mwenzio. Unadhani ukimuacha abuser utakuwa umemsaidia manake the hatrage on the face and the heart is normally too much. Well, for some its a wake up call. Just make sure the second chances are not too many, coz one is more than enough.
Hahahha Umenipa wazo jipya: Inawezekana hii ya kuvumilia ingekuwa haipo, na ikawa wazi kuwa mtu akiwa abused to kwanamna yoyote, kuacha si jambo la ajabu, watu wangekuwa na adabu?? Kama ana hulka ya kuabuse atakuwa na woga? au?
Eh Mwali aksante dada umeliweka vizuri sana hili. So anakuwa anaamini kuwa mwenzie anayapokea machungu, anayameza halafu yanatoka wether ni kwa jasho (evaporation) au njia nyingine yanaisha!! Ah.................. unajua wapo wengine wakisema Basi Imetosha huwa wanakuwa wameshajaza kikombe chao cha uvumilivu?? Iwe mwanaume au mwanamke kila mtu anacho kikomo chake!wanajifanya tu kushangaa ila hata wenyewe deep inside wanajua kabisa wamesababisha.
Ukweli ni kwamba mmoja ana overestimate uwezo wa mwenzie wa kuabsorb na maranyingi hua hategemei kua kitu kile anacho kiona kidogo kwa macho yake kina weza kusababisha mwenzie kuchukua hatua kubwa kama kuachana, huku akisahau kama decision ilijijenga kwa vitu vingi, the last being only the tip of the iceberg.
Hey gun-totting gal,
I've got some authentic python leather six inch pumps. I'll give you a good price on them....lemme know.