Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

Sawa sawa. Kama Nyerere hakuaga kwa hotuba moja, ilete ile unayoshikilia alisema he was a failure. Kwa sababu umeshikilia alisema hivyo lazima uwe na ushahidi, au sio?
Mkuu umenifurahisha kweli, inabidi tumshikie bango hadi atuletee au akubali hana hotuba, FF tunasubiri hotuba.
 
Semeni tena:

1) In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it."
Source: nyerere - We are African Youth

2) This ujamaa system failed to boost agricultural output and by 1976, the end of the forced collectivization program, Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products in Africa. Chastised for the failure of his ujamaa program to improve the Tanzanian economy, Nyerere decided not to run for reelection in 1985. With unusual frankness for a politician, he stated in his farewell speech, "I failed. Let's admit it."
Source: Julius Nyerere - Definition | WordIQ.com

3) "I failed. Let's admit it.
Source: Julius Nyerere Summary | BookRags.com

4) Read here also its quoted:
[h=1]The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage[/h]Source: The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage | My Africa

5) Nyerere accepts failure.

With the realization that the Tanzanian economy did not flourish and being unwilling to lead Tanzania using an economic model he did not believe in, Nyerere willingly announced that he would retire after presidential elections in 1985, leaving the country to enter its free market era under the leadership of Ali Hassan Mwinyi. In an act of candor in his farewell speech while commenting on his economic policies he declared "I failed. Let's admit it".

Source: http://observer.gm/africa/gambia/ar...walimu-julius-nyerere-icon-of-african-freedom

Vipi, wote hao waongo?

Niongeze au mnaikubali kuwa ni kauli ya NYERERE?

Uongo unaponukuliwa mara kwa mara haugeuki ukweli; hotuba yake tumeiweka hapo hutaki sasa? Wote wanasema kwenye 'farewell speech' lakini farewell speech ipi ? maana ile aliyoitoa ipo hapo. Sasa tuamini wanaosema hivyo au tusome na kuamua wenyewe?
 
Nilikuwa nimeshazaliwa na ni kweli nilikuwa mdogo na wala si mwepesi wa kudanganyika ila mie ni muungwana sana, mtu akikusaidia unashukuru, kwenye post zako nyingi ulikuwa unarefer hiyo hotuba na sio hizo nyingi unazozisema sasa, nimeomba uweke hapa ukawa unapiga chenga amejitokeza mtu ameiweka ili tuone badala ya kumpa credit kama watu waungwana wanavyofanya wewe unamkejeli na ndo maana nikachukua jukumu la kukumbusha halafu unaniambia tena mimi nadanganyika, du!

Sijai refer hiyo speech, nimesema Nyerere Farewell Speech. na ndio pengi nilipoisoma wanasema hivyo.

Huyo aliyoiweka hiyp speech moja anataka iaminike kuwa nyerere aliaga kwa hotuba moja tu, huo si ukweli, nyrere kama nilivyokueleza kwanza, hajaaga kwa hotuba moja, alizunguka Tanzania na nje ya Tanzania akiaga.

Cha kushangaza ni kwamba si mara moja nyerere kuadmit mistakes, na alii quote mwenyewe mkjj mimi nikaongezea tu, kusema si mistakes tu bali kisha admit he "failed", sasa tatizo nini?

Nawashangaa wanaoikataa hiyo kauli ya Nyerere na ni maneno machache yaliyompatia sifa kubwa sana.

Kwa upande wangu, Nyerere was failure. Aliyekuwepo wakati wa Nyerere ataelewa nasema nini, lakini anaehadithiwa hadithi za kupotoshwa anaambiwa kuwa nyerere ni "Saint". Hana u Saint wowote. Wala wasiwadanganye, nilikuwepo.
 
Uongo unaponukuliwa mara kwa mara haugeuki ukweli; hotuba yake tumeiweka hapo hutaki sasa? Wote wanasema kwenye 'farewell speech' lakini farewell speech ipi ? maana ile aliyoitoa ipo hapo. Sasa tuamini wanaosema hivyo au tusome na kuamua wenyewe?

Usidanganyike nyerere hakuaga kwa speech moja, alizunguka tanzania akitowa farewell speeches. Au nahili nalo unabisha, kwa kuwa umeeambiwa nyerere ni Mtakatifu to be?
 
Usidanganyike nyerere hakuaga kwa speech moja, alizunguka tanzania akitowa farewell speeches. Au nahili nalo unabisha, kwa kuwa umeeambiwa nyerere ni Mtakatifu to be?

Nabisha ndio. Labda uchague ni ipi kati ya hizo "farewell speeches" ambayo nyerere alisema mnayodai kuwa alisema. Just pick a time and date. Maana uliyosema ya 1985 hukusema "in one of his farewell speeches" na katika hizo nukuu zote hapo juu hakuna ambayo inazungumzia "in one of his farewell speeches" zote zinazungumzia "in a farewell speech" maana yake ni moja. Well pick it - which one?
 
Kufikiri kuwa mtu hawezi fufanya kosa ni ujinga ni mtu moja tu katika historia ya mwanadam ambae hakufanya kosa,mi nafikiri swali zuri ni kuwa je hayo makosa aliyofanya nyerere alikubali wakati yupo madarakani au baada ya kutoka madarakani?Maa wengi wakitoka madarakani ndo wanajidai kuyaona makosa yao na kujidai kuandika vitabu!
 
Uongo unaponukuliwa mara kwa mara haugeuki ukweli; hotuba yake tumeiweka hapo hutaki sasa? Wote wanasema kwenye 'farewell speech' lakini farewell speech ipi ? maana ile aliyoitoa ipo hapo. Sasa tuamini wanaosema hivyo au tusome na kuamua wenyewe?

Farewell speech ya nyerere ilikuwa moja tu?
 
Nabisha ndio. Labda uchague ni ipi kati ya hizo "farewell speeches" ambayo nyerere alisema mnayodai kuwa alisema. Just pick a time and date. Maana uliyosema ya 1985 hukusema "in one of his farewell speeches" na katika hizo nukuu zote hapo juu hakuna ambayo inazungumzia "in one of his farewell speeches" zote zinazungumzia "in a farewell speech" maana yake ni moja. Well pick it - which one?

Unachakachuwa, laba uwadanganye wasiojua kiingereza. Wote waongelee farewell speeches? Of cause ni farewell speech, moja wapo ya hizo kibao alizokuwa akipita kuaga na kupokea vizawadi vya mbuzi, kuku na nguruwe.
 
Nina ombi, wote tunaolitakia mema taifa hili tuningie kwenye mapambano kufichua mpango wa kuzika mawazo ya Nyerere. Bado sijaelewa kati ya JK na EL nani hasa yupo nyuma ya hii campaign. Upande wa Lowassa lazima auwe image ya Mwl ili watu wasikumbuke aliyosema kuhusu quality za kiongozi bora. Ni wazi kabisa kwa kutumia zigezo alovyoweka EL hakatizi. Upande wa JK it is the same wicked thinking kwamba ashambulie waliomtangulia (ambao walifanya mambo ya maana kwa taifa hili) ili kuficha udhaifu wake. Mwl is one of the potential targets in this.
Wote wawili wamo kwenye mpango huo. Lakini hawatafanikiwa. Nyerere ni kama yule jamaa kwenye Agano Jipya aliyekuwa anapanda mbegu. Nyingine zilianguka mchangani, nyingine zikaanguka kwenye miamba, lakini kuna nyingine zilizoanguka kwenye ardhi ya rutuba.
 
Kaka nimekupata vizuri. Wanazuoni wanasita kutumia wikipedia kama reference kwa maana ya kwamba kama original source ipo, kwanini itumiwe secondary source? Ili habari yako iaminike, ni muhimu kutumia original source.

Mkuu unaweza kutumia wikipedia, kuandika reference kuna format yake na usipokamilisha citation haijakamilika, pili ili uandike reference kwenye kazi yako lazima uwe umesoma (tangible) kuna reference ambazo unaziona zimeandikwa na unaweza usipate kabisa document yenyewe na hasa dunia ya tatu na maktaba zetu. na state of the art format ya reference lazima uandike na page gani ulizosoma!

I do believe kuwa wikipedia imejaa inaccuracies na some information are wrong, lakini you need not to take wikipedia as a final or conclusion tool
 
Bibie,
Ungeweka na hii conclusion pia:
Nyerere's life and career are an inspiration to the many Africans who dismiss the notion current in elite African circles today that justice, dignity and freedom should be subordinated to the single-minded pursuit of prosperity through economic liberalisation and structural adjustment. Africa needs more leaders of Nyerere's quality, integrity and wisdom.
 
Na haya mengine lini alivipiga stop?
Kaka unataka kusema kuwa huyajui haya ya chama kushika hatamu au huyataki!? Mwaka 1965, mfumo wa vyama vingi ulifutwa rasmi na nchi kuwa ya chama kimoja. Vyama vya TANU na ASP viliendelea hivyo hadi mwaka 1977 vilipoungana na kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Na madaraka ya Dhana ya bunge kushika hatamu ya juu (supremay of parliarment) iligeuzwa na kumezwa na dhana mpya ya Chama kushika hatamu (party supremacy). Kwa hali hiyo, vyombo vinginevyo vyovyote viliwajibika kwa chama tawala na matakwa yake Nyerere na si Bunge.

Turikaririshwa na tukakariri,

Kiongozi: Kidumu Chama Cha Mapinduziiii!!

Wananchi:
Kidumuuuuu!!!

Kiongozi: Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM. (Kwa maana nyingine ni kuwa zidumae daima fikra za wengine wote wasiokuwa mwenyekiti wa CCM).

Wananchi: zidumuuu!!!

Kiongozi: CCM juuuuu!!

Wananchi:
Juu, juu, juuuu zaid

iKiongozi: CCM oyeee!!

Wananchi:
Oyeee!!

"We have built a nation - together. The angel Gabriel could not have built Tanzania alone, still less a falibe human being like myself. Even if the Angel Gabriel had been assisted by Ministers and public servants made up of other Angels, he still could not have built Tanzania."
Farewell Speech by Mwalimu Julius K. Nyerere Nov. 1985
 
Bibie,
Ungeweka na hii conclusion pia:
Nyerere's life and career are an inspiration to the many Africans who dismiss the notion current in elite African circles today that justice, dignity and freedom should be subordinated to the single-minded pursuit of prosperity through economic liberalisation and structural adjustment. Africa needs more leaders of Nyerere's quality, integrity and wisdom.

Kwa hiyo, hiyo ni conclusion ya moja ya muandishi aliyemnukuu nyerere kusema failure? Kama ndio hivyo kuna tatizo lipi hapo?

He simply failed. No one with his right mind can argue with this. Muwandanganye wale ambao hawakuwepo wakayi wake.

Nyerere kaiacha nchi njaa, kiza, hakuna hata mafuta ya taa, foleni ma petrol station, foleni hata sukari, ashaakum si matusi hata pamba zetu za kujistiri tulikuwa hatupati mpaka tuzinunue za magendo, sijui kama wanaume wanalijuwa hilo? ukipita njiani umebeba hata kikapu, kinapekuliwa na mgambo. Vizuizi vimewekwa Tanzania nzima eti vya kuzuia kipindupindu! jamani? mlikuwepo au mnabisha tuu?

Hivi mkiambiwa ukweli wa nyerere kwanini hamuupendi? nyerere alikuwa "orater" mzuri sana. Lakini mama yangu, ikifika kwenye maamuzi ya utendaji, yote bogus, hakuna kilicho fanikiwa.Viwanda vya umma, viko wapi? majumba aliyotaifisha, yako wapi? mabenki aliyotaifisha. yako wapi, shule alizotaifisha, ziko wapi? mashamba aliyotaifisha, yako wapi? vijiji vya ujamaa alivyolazimisha watu wahamie, viko wapi? mashirika umma aliyoanzisha, yako wapi? Hivyo vyote vimeanza kufa kabla yeye haja ng'atuka. Kaondoka benki kuu haina senti tano ya kigeni na ikachowa moto kuficha madudu yake, wizara ya mambo ya ndani ikachomwa moto kuficha madudu yake. Na ndio maana tukasikia mpaka kaburi lake liliwaka moto kwa dhulma alizofanya, siku aliyozikwa mpaka ardhi ikatetemeka kwa dhambi alizonazo.

Hao wanaojidai, oooh kaondoa udini. Ni waongo, kabla ya nyerere kulikuwa hakuna tatizo la udini Tanzania. Kungekuwa kuna tatizo la udini hata yeye asingepokelewa na kufadhiliwa na waIslaam wa Kariakoo. Oooh eti ukabila, ni nani aliyenyanyaswa kwa kabila yake Tanzania kabla ya nyerere? baada ya kuja nyerere ndio tukaona udini unaanza kwa kuwafunga mashekhe wote wwakubwa Tanzania, kuwahamisha makazi yao, kuwakejeli. Ukabila ukaanza alipoanzisha mashirika ya umma.

He was simply a failed dictator.
 
Mkuu umenifurahisha kweli, inabidi tumshikie bango hadi atuletee au akubali hana hotuba, FF tunasubiri hotuba.

Unachekesha, na reference zote nilizokupa hukuzipenda? unanini weyee?
 
Kaka unataka kusema kuwa huyajui haya ya chama kushika hatamu au huyataki!? Mwaka 1965, mfumo wa vyama vingi ulifutwa rasmi na nchi kuwa ya chama kimoja. Vyama vya TANU na ASP viliendelea hivyo hadi mwaka 1977 vilipoungana na kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Na madaraka ya Dhana ya bunge kushika hatamu ya juu (supremay of parliarment) iligeuzwa na kumezwa na dhana mpya ya Chama kushika hatamu (party supremacy). Kwa hali hiyo, vyombo vinginevyo vyovyote viliwajibika kwa chama tawala na matakwa yake Nyerere na si Bunge.Turikaririshwa na tukakariri,Kiongozi: Kidumu Chama Cha Mapinduziiii!!Wananchi: Kidumuuuuu!!!Kiongozi: Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM. (Kwa maana nyingine ni kuwa zidumae daima fikra za wengine wote wasiokuwa mwenyekiti wa CCM). Wananchi: zidumuuu!!!Kiongozi: CCM juuuuu!!Wananchi: Juu, juu, juuuu zaidiKiongozi: CCM oyeee!!Wananchi: Oyeee!!"We have built a nation - together. The angel Gabriel could not have built Tanzania alone, still less a falibe human being like myself. Even if the Angel Gabriel had been assisted by Ministers and public servants made up of other Angels, he still could not have built Tanzania."Farewell Speech by Mwalimu Julius K. Nyerere Nov. 1985
Nikimkumbuka Julius Nyerere, moyo wangu wote unakuwa na Grief. Mtu mbaya sana
 
Wakuu samahani kutoka nje ya mada kidogo.

Nimefanya my own analysis nikagundua kuna members au member wanafanana mno kwa sifa zifuatazo:

1. Hawampendi Nyerere na mambo yake yoote.

2. Hawapendi muungano, kwao Zanzibar is everything.

3. Wako obsessed na JK mpaka inasikitisha, in some terms unaweza kuita unconditional love to mwanasiasa JK hahahaha!

4. Ni seasonal mashabiki wa CCM especially now maana when push come to shove huwa wanadai wao ni CUF.

5. Hawaipendi Chadema.

6. Wanapenda sana kuingiza hoja za kidini kwenye aina tofauti tofauti za mijadala na wanaamini kila kinachofanywa na serikali au viongozi wa serikali regardless ya dini zao kuna motivation ya kidini nyuma yake.

7. Wanaamini Tanzania imeendelea mno sasa more than ever.

8. Wanapenda sana kutumia maneno umaarufu na wivu.

9. Ni watu wa kupenda ligi kwenye kila mjadala na ni mara chache huja na facts.

10. Wamewahi kula ban zaidi ya mara moja.

Kwa mtiriko wa michango mingi niliyoiona kwenye threads mbalimbali inapelekea kuamini is either a single person nayejiimpersonate kwa ID's mbalimbali au ni kakikundi ka watu wenye malengo maalum. This is my opinion and I am entitled to it.

1) Mimi simpendi Nyerere kabisa tena, because hakuna jema hata moja nililoliona kutoka kwake zaidi ya udikteta na kuchonga sana. Wewe unaweza kunambia kipi kakifanya nyerere cha maana hata nimende?

2) Zanzibar ndio kitovu cha ustaarabu Afrika mashariki, Zanzibar wakati watu wanavaa lasi, mabara huko bado walikuwa wanatembea na iadha ngizo tu za kuficha mbele na nyuma ku wazi au kipande cha kaniki. Sasa kwa nini tusipaenzi kituo cha ustaarabu wetu? hata lugha ya Kiswahili ambayo leo tunajivunia imesambazwa kuanzia Zanzibar. Huo ukirosto wenu nao pia umeanzia kuingia bara kupitia Zanzibar, Sasa kwa historia kama hiyo kwa nini tusipaenzi Zanzibar.

3) JK kwa maana Jakaya Kikwete au Julius Kambarage?

4) Hayo yako babu weee, CCM na CUF ndio vyama vilivyo madarakani kwa sasa. Au hujui hilo?

5) Kabisa tena, tuwapende nini chama chama kususasusa kama mitoto inayodekezwa.

6) Kama wewe huna dini au dini yako ni ya kuchapwa kulia ukageuza uongezwe na kushoto, Uislaam sio hivyo babuwee, waulize wa merekani wakueleze.

7) Ahsante Kikwete.

8) Hiyo wazi kabisa, nenda holywood kaulize kuhusu JMK utaambiwa huyo mtu wetu huyo, au unabisha? wivu si mnajulikana mlivyokuwa na vijiba vya roho!

9) Facts utaziona wapi wewe, hata mtu akikuambia "I failed" wewe unaona I won.

10) Si tunawashika pabaya.
 
Angalia sasa kama huyu!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom