Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #81
Nadhani ukisoma watu wengi hata wanaomkosoa Nyerere hapa hawajajaribu kuonesha the flaw of logical thinking ya Nyerere katika majibu yake kwa wanafunzi. Nyerere hakusema "serikali imeamua nendeni!"; Nyerere hakuwakwepa Wanafunzi wala hakuwaachia wasaidizi wake? Hivi Kikwete kwa miaka 5 ya Urais ni lini amekutana na kusikiliza maneno makali ya wanafunzi? Ni wanafunzi gani wanaweza kwenda Ikulu na mabango leo hii na kusema "Pinda Jiuzulu" na wakasikilizwa kama hawajapigwa na FFU kabla hawajavuka Fire!
Unaposoma hii hotuba na sehemu yake ya mwisho kesho - unatakiwa uangalie kile kinachosemwa.
a. Je wanafunzi (so called wasomi - wenyewe wamejiita the educated elite) walikuwa na haki ya kudai walipwe mishahara kama ya civil servants wakati wamesomeshwa bure na serikali yao?
b. Je, National Service - kutumikia taifa kwa muda ilikuwa ni jambo baya licha ya kwamba serikali bado inawalipa na inawaacha watumikie katika fani walizosomea (siku hizi kwa kweli tungeweza kuita internships)?
c. Nyerere aliliewa tatizo la attitude ya kustahili ambalo wanafunzi hawa walilionesha kuwa sasa wamekuwa wasomi (baada ya kusomeshwa bure) na hivyo wanastahili mishahara ya aina fulani?
d. Je utetezi wa Mwalimu wa "mkulima maskini" unaweza kutumika leo hii tunapoangalia malipo ya posho na mishahara mikubwa? Kwenye sehemu ya pili Nyerere anauliza "Mkulima maskini adai nini?"maana wasomi wanauwezo wa kudai malipo zaidi? Je tunapoangalia posho na mishahara ya watawala wetu tumewahi kujiuliiza "je mkulima anapata nini"? Tuchomekee humo the so called "stimulus package" ya CCM je mkulima wa kawaida alipata nini?
e. Kwa wale wanaoamini kuwa Nyerere alikuwa ni Dikteta (na wengine wamerudia humo) ni Dikteta gani duniani ambaye anaweza kukaa na kureason na wananchi wake na kuwashinda kwa hoja na baadaye kuwaachilia waendelee? Leo hii kikundi ambacho kitasimama na kwenda mbele ya Kikwete na viongozi hawa "wademokrasia" anaweza kuachwa hivi hivi bila kupewa kashkash? Au watu wamemsahau yule mtoto aliyemuulizaga EL swali kule Mwanza? Unapofuatilia episode hiyo unaweza kuona kufanana kokote kwa Nyerere na kina Sadam Hussen, Mobutu, Amin, Hitler, Milosevic n.k maana hilo ndilo category ya madikteta unless watu wanaposema kuwa alikuwa dictator wanamaanisha kuwa alikuwa haogopi kuchukua uamuzi. Well, thats is a mark of a leader; take a decision and live with its consequences.
f. Wengine wanadai Nyerere aliuwa watu - nimewahi kuliuliza hili swali hadi leo sijawahi kupatiwa majibu - nitajieni watu kumi tu waliouawa nje ya utaratibu wa sheria kwa amri ya Nyerere. Na kwa vile madikteta wana kawaida ya kuua maelfu ya wapinzani wao (tumeona Serbia, Iraq, n.k) hatuna budi japo kuuliza where are the mass graves of those killed during Nyerere's iron fist rule over Tanzania?