Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Nimesoma page ya 1-12, sijaona sehemu yeyote ktk hotuba ya Nyerere ya kuaga taifa (kama rais) mwaka 1985 inaypsema "I failed. Let's admit it". Ubaya wa baadhi ya watu, wanaambiwa fulani alisema hivi sehem fulani, anayeambiwa hafanyii bidii ya kuutafuta ukweli na kuacha akili yake huru iamue ndipo amhukumu mtu. Wengi wanahukumu kwa hearsay.
Hii speech ina mambo mazuri sana, ajabu ni kwamba mtu alii-insunuate hilo tu na kuacha mambo mengi ya msing. Hongera MM kwa kuutafuta ukweli, maana FF amekuwa aki-quote sana hayo maneno, kumbe alikuwa anayatoa hewani!