Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,430
- 14,210
Yaani sijui why blacks hatuoni kesho yetu ikoje kwa wajukuu zetu.Umenikumbusha Tyson alikuwa ananunua magari bentley mawili kwa pamoja siku moja. Amewahi mpaka kununua gari asubuhi alafu jioni akapata ajali na kumuachia mtu wa gereji