Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

Hapa dunian maisha ni mafup sana.Ukifikiria kuwekeza tu.hauwez kujua hao utakaowaachia hzo mali watazitumiaje.
Mwachen azitafte na kuzitumia zake hzo.
 
Hayo matairi yana pank au kiduku, manake huku wameng'ang'ania vipara vipara naona siku hizi hawaulizii kadi wala zero km.

Tuachane na hayo, ila upande wa utajiri kwa vijana wa Africa Diamond hata 100 bora hayupo kuna Wanaijeria na Wasouth vijana wadogo wana mizigo bank ya kutisha, ila jamaa anajituma na anajua kuitafuta hela so may one anaweza akawa miongoni mwao kwani hamna kinacho shindikana chini ya jua ni bidii na kujituma baada ya kujua unafanya nini.
Where is the reference you btch a$$$nigga
 
"I don't take advice from people less successful than me" Mondi should apply this.

Mtu anakuja na mawazo ya kimaskini ya kukodishana magari sababu ndo kitu anachokijua, wenzake washapita hiyo hatua.
 

Na Andrew Chale(MNGONI ORG)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari.

Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na vitu vya thamani kama saa, cheni, mikufu, meno ya madini na mambo mengine ikiwemo pesa za kigeni.

Katika makala haya ya kiuchumi imemwangazia Diamond kama endapo atageuza mali hizo ambazo anatumia kutambia kuwa fursa basi ndie atakayekuja kuwa msanii wa kwanza bara la afrika kuwa tajiri.

Mbaki na dili na mikataba ya matangazo makubwa na madogo anayopata na kuendelea kupata, takwimu zinaonesha Diamond anaweza kuendelea kuwa maarufu zaidi miaka mingi inayo kutokana na namna anavyokabiariana na hali ya soko lake la muziki.

Amekuwa akiangalia jinsi gani ya kutoka kwenye 'game' na jinsi gani mashabiki wake watapokea ujio wake.

Hasi sasa kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, ameweza kufukisha idadi ya wafuasi waliomfuata yaani (followers ) 12.7Milioni.

Wafuasi hao ni mtaji tosha pja kuelekea ubiliobea kwa kugeuza ngebe na majigambo ya mali zake kuwa fursa.

Tukiacha mbali huko nyuma aliweza kuwa na bidhaa kama Chibu pafyumu pia Diamond Karanga na mengine mengi msanii huyu anaingiza pesa kupitia albam zake ambazo zinauzwa na kuona duniani lote kupitia mitandao ya kijamii ambayo inamuingizia pesa ndefu kama Youtube.

Pia ana bidhaa kama Wasafi tv, Wasafi radio, Zoom Xtra ambayo inadili na films na mambo ya muziki production kupitia miziki yake na ya wasanii wake wa kundi la WCB Wasafi.

Mnamo majira ya mchana 14 Julai msanii huyo ameweza kuonesha gari la ndoto yake linalosemekana lina thamani ya Ths. Bilioni 1.5 aina ya Roll Royce Cullinan 2021 rangi ya bluu 0 kilometa kama wanavyosema watoto wa mjini.

Kwa hatua hii kila mtu anapongeza a tuangalie na upande wa pili je anafanya haya kwa manufaa ya nani? Ili Forbes Afrika wamuone kama msanii mwenye ukwasi kwa Afrika ama anafanya haya ilikila mtu ajue kama anaingiza mkwanja mnono? .

Kila mmoja anamaoni yake ila mimi kama mwandishi wa makala hii naangalia upande wa fursa atakayoipata Diamond kupitia magari ya kifahari aliyonayo endapo atafuata ushauri wangu hapa JF.

Anamagari karibu aina zote ya kifahari namshauri asitumie tu muda wa kuonesha watu wanaomchukia ama anaoshindana nao kimuziki zaidi atumie fursa hiyo hiyo kuyageuza fursa hayo magari ilikuchochea uchumi wa Taifa.

Diamond anaweza kutengeneza mamilioni ya fedha haoa Tanzania na kuwa msanii pekee Afrika mwenye fedha nyingi endapo atatumia fursa hiyo.

Miongoni mwa fursa hizo ni pamoja na kuyatumia magari yake ya kufahari kuyaingiza barabarani na kuyakodisha kwa shughuli za kujipatia kipato ikiwemo harusi ama shughuli za kuigizia filamu ama matukio makubwa ya wageni wa kitaifa na kimataifa wanaweza kuyatumia hayo magari na kuingiza kipato.

Tanzania kwa wiki kuna shughuli za harusi zaidi ya 100 kwa mwezi? Nadhanu pesa nyingi anaweza kuingiza Diamond kupitia hayo magari yake.

Kuna viongozi na watu maalum wanaweza kuja Tanzania na magari ya kuwapakia yakatumika haya ya Diamond endpao tu ataamua kuyageuza katika fursa za kibiashara.

Kupitia andilo hili namuona Diamond akielekea kuwa Bilionea kwa kugeukia fursa kwa kila kitu alichonacho baada ya kuwa vya kuonesha kama mapambo au maigizo sasa aelekee kwenye fursa ya kichumi. Hakika atatoa ajira kwa vijana wengi na kuacha kukaa vijiweni.

Kupitia vitu alivyonavyo pia anayo nafasi ya kufungua jumba maalum la makumbusho na kuweka vitu vyake humo watu wakawa wanatoka maeneo mbalimbali kufika kujionea vitu hivyo ambapo anaweza kuingiza kiasi kikubwa cha fedha kwa muda mrefu zaidi kama wafanyavyo wafu wengine wakiwemo wasanii na watu maarufu.

Kama gari moja kati ya mbili za Escalade alizonazo Diamond akaamua kuziingiza sokoni kisha akanunua Noah mayai ama Halfad kwa ajir ya kufanyia shughuli za shuttle tour kwa maana 'Diamond Shuttle tour VIP' basi nina hakika anaweza kuingizia wazo lake fedha nyingi zaidi kwa muda wote na fedha zake zikarudi maradufu.

Anaweza kununua gari hizo za Halfadi ama coastal zaidi ya 20 na akaziweka majiji makubwa tu zikafanya kazi maalum pesa atakazoingiza ni kunwa kuliko kuwa na magari ambayo anaishia kupiga nayo picha na kutukana watu kisa tu walimkandia kuwa hatoweza miliki hayo magari.

Nina hakika Diamond atapata ujumbe popote alipo atasikia andiko hili ambalo naamini ni la kiuchumi lenye kuchochea maendeleo.
Lijinga wewe P Square net worth $150m..Acha umalayamalaya kwa Sauti ya late JKN
 
Kwanini unateseka na maisha ya mtu kwanini wewe usitafute pesa zako ukafanya unavyotaka wewe wewe unajua huyo jamaa anaingiza kiasi gani Cha fedha mpaka umpangie matumizi?
 
Mondi ni bonge la mjasiriali, akitoa wimbo balaa asipotoa anakuja na njia ya kuishika jamii...page zake analipwa kwa kuvuta watu huko, clip ya rolls royce wakati inashushwa ktk kontena akaweka chupa ya pepsi kwenye kamera, tayari kaingiza mkwanja kwa kiweka tu hiyo chupa... timu yake iko very smart!
Ukisema timu ya Diamond iko smart,hapo sikubaliani nawe.
Ukisema Diamond mwenyewe yupo smart,hapo nakubaliana nawe 100%.
 
Hayo matairi yana pank au kiduku, manake huku wameng'ang'ania vipara vipara naona siku hizi hawaulizii kadi wala zero km.

Tuachane na hayo, ila upande wa utajiri kwa vijana wa Africa Diamond hata 100 bora hayupo kuna Wanaijeria na Wasouth vijana wadogo wana mizigo bank ya kutisha, ila jamaa anajituma na anajua kuitafuta hela so may one anaweza akawa miongoni mwao kwani hamna kinacho shindikana chini ya jua ni bidii na kujituma baada ya kujua unafanya nini.
Domond hata top 100 ya bongo hayumo
 
Wewe mkulima wa Alizeti unapomshauri mwanamuziki kwa kutumia akili zako za kwenye alizeti inaleta ukakasi sana. Anachofanya Diamond ni sahihi kabisa kwa career yake. Wewe unavyoona anatamba ndo jinsi anaingiza hela. Mambo mengine uliza kwanza wataalamu wanaohusika kabla ya kuandika uzi
 
Ila tu kwa wenzetu wa wa Ulaya kuna kitu Kinaitwa dividends and stocks, Angewekeza kwa billions of money Kadri awezavyo ambapo atakuwa anapata gawio kila lake mpk vizazi vyake huko mbeleni bila hata kufanya kazi, hii ipo Ulaya ambapo familia nyingi wanaishi kwa Pesa walizowekeza mababu zao huko kwenye dividends and stocks
Huo ushauri wako ni mzuri ila kwa Ulaya. Kwa hizi nchi zetu mambo hayatabiriki.
 
Back
Top Bottom