Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Umeona eeh.kwaya zipo kwajili ya watoto wako either qaswida...Mstake kuforce vitu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂linumbisa ni lichawi, mtu wakawaida huwez kua na roho mbaya vile hata ka hukipendi kitu
Kaumwagia PetrolWimbo wakawaida
ila unavyo Kimbia Kule !!
Sijui nini Aisee
wananunua viewsWimbo wakawaida
ila unavyo Kimbia Kule !!
Sijui nini Aisee
Tuhadithie huo wimbo ukojeBonge la Video la baba na mama
Tuhadithie huo wimbo ukoje
oy we jamaa makanaki imekujaje hapa? hili si ni jina la mwanadada Teni? Jf ni sehemu ya magreat thinker, uwe unafanya research kidogoBdozen unajifanya hujaongeza viewe huko youtube za Mondi Makanaki?
Inama hadi leo inapinapgwa mtaani haichuji
#shabikilialiakazini
yess BiShoo haswaaAaa
Yaani ile ni kali hata leo ikipgwa watu wanaruka yaani inama na yope inama ni ngoma ambayo haichuji kirahis tofauti na yopeTuache masikhara Inama ile ni ngoma ya dunia....hakuna siku sijaisikiliza hiyo ngoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ile ni kali hata leo ikipgwa watu wanaruka yaani inama na yope inama ni ngoma ambayo haichuji kirahis tofauti na yope
yess BiShoo haswaaAaa
Kipimo cha maisha marefu ni kipi? Hili ndo gere aloimba Mond..kwaiyo ndo mana king hatoi ngoma kisa nyimbo zake zinaishi au[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU NINA MIEZI KAMA MITATU HIVI SIJAWAHI SIKIA NGOMA YA MFALME UCHWARA KIBA SIO KWA BODABODA, WA BURN CD AU DALADALA MAANA HAO NDO UTAJUA NI MUSIC GAN UNATAMBA MTAANI
Hivi unakumbuka mara ya mwisho kusikia wimbo wa aje, mshumaa au usiniseme ni lini?Kwa music wa sasa hakuna wimbo unaoishi soko limebadirika sana nyimbo mpya kila kukicha toka kwa wasanii mbali mbali, ACHENI KUFAFUTA FARAJA FEKI JAMAA YENU HUYO KAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app