MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,279
- 3,026
Inama hadi leo inapinapgwa mtaani haichuji
#shabikilialiakazini
yess BiShoo haswaaAaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]linumbisa ni lichawi, mtu wakawaida huwez kua na roho mbaya vile hata ka hukipendi kitu
Kwanini mnaendelea kusikiliza hizo porno flavourBeat laizer ameiba kwa Joro - Wizkid
Mashairi yamejaa matusi... Diamond siku hizi anaimba Porno Flavor na Sio Bongo Flavour
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Wiki moja tu ushasahaulika.
Siku domo akitoa wimbo wa kudumu (wake au wa kushirikishwa)nitamsifia sio hizi za utamu wa jojo dakika tu zishaisha utamu,ladha na kila kitu
#Haterkazini
Dah wabongo bwana..sasa ka swizz tu "kukomenti" ndio imekua ishu, siku akikomenti rihana si itakua sikukuu ya kitaifa [emoji28][emoji28][emoji28]
Yes,diamond platnumz,most of his tracks huwa na maisha mafupi compare to alikiba's tracks
Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo wenyewe Huwezi sikiliza na watoto [emoji23]
Vitu vya kuimba vimeisha sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikio hayana mlangoKwanini mnaendelea kusikiliza hizo porno flavour
Kiherehere kinawasumbua
Yes upo sawa.Nyimbo za Kusikiliza na watoto ni qaswida na kwaya
Sent using iphone