Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

Mashabiki wake hawaelewi hiki. Utaitwa hater tu. Na kipindi hiki domo anatumika kumpaisha tanasha kimuziki(sio mbaya ila ajifikirie,wimbo unatakiwa kuwa na ladha). Hizo mbio za you tube wanaozikimbia ni mashabiki wa domo sio wa tanasha
The one na kwangwaru mbna zina maisha
 
Wiki moja tu ushasahaulika.

Siku domo akitoa wimbo wa kudumu (wake au wa kushirikishwa)nitamsifia sio hizi za utamu wa jojo dakika tu zishaisha utamu,ladha na kila kitu

#Haterkazini
Hii nyimbo yao ya sasa hata utamu wa jojo haina
 
Nitajie wewe mkuu,ngoma ambayo mpaka saiv watu wanaishobokea
Haters inabidi muelewe kitu kimoja Simba[emoji881]anafanya mziki wa biashara ukitaka mziki wa kuishi sikiliza less wanyika, msondo ngoma na 20% tena hizi siyo kuishi tu zinafundisha Hii ni kwawale waohitaji kufundishwa na wasanii
 
Hii ndo kazi ya haters mkuu tuvumilie

Back
Top Bottom