Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

Wiki moja tu ushasahaulika.

Siku domo akitoa wimbo wa kudumu (wake au wa kushirikishwa)nitamsifia sio hizi za utamu wa jojo dakika tu zishaisha utamu,ladha na kila kitu

#Haterkazini
Mpenzi
sikuwa najua kama na wewe huwa unamsikiliza Chibu Dangote
 
MPAK SASA USHATAZAMWA ZAID YA MARA MILION NANUSU VIBANDANI MWOTE UNAPIGWA UOUO BODABODA USISEME YAAAN VURUGU AFU WANATAKA UISHI MAISHA MAREFU UOWIMBO NI WACHUMA NIN?
NOTE WIMBO WOWOTE UKIHIT AUWEZ KUISHI
 
Wiki moja tu ushasahaulika.

Siku domo akitoa wimbo wa kudumu (wake au wa kushirikishwa)nitamsifia sio hizi za utamu wa jojo dakika tu zishaisha utamu,ladha na kila kitu

#Haterkazini

Ila wewe ni mtata sana.

Maana unavyokimbizana na Team Domo si mchezo
 
mziki wa biashara hauhtaj udumu kama mnavohitaji nyie fans wa kibakuli...
watu wanaangalia umefika ulpipohtajika kufika then wanaandaa kazi nyingne kibiashara zaidi....
huyo kibakuli mnaesifia zinadum anakipi chaziada kwa mondi???
 
Copy and paste as usually
84337251_193127368601995_3781511656429395727_n.jpg
87325012_207640347015317_8083221130161223534_n.jpg
87585109_2595882020696178_3592512474965209899_n.jpg
 
Back
Top Bottom