Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

Diamond Platnumz 'Chibu Evara' amefikisha views 1M ndani ya saa 14

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ayaaa nikajua umenipiga cha mbavu. Maweee ningestaafu uhater
Hakuna kipya chini ya jua
Wewe ni hater tumekuzoea
Alisikika mfua boxa za domo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wimbo una mahadhi flani hivi ya kimexico, iran, Misri hivi inakuja inakata inakuja inakata asiye uelewa basi muziki siyo hobbie yake.
 
[emoji23][emoji23] hv kufikisha viewers 1M bongo bado ni maajabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mm sioni cha kushangaza hapa au mm ndio sijui chochote!
 
Mondi kaishiwa yaani mashairi yaleyale mara ukifunua kitumbua napagawa ,kata ,cheza cheza ,nipe hiyo kitu ,unazungusha kama kona ya kichuya n.k .Binafsi ubunifu zero kwenye mashairi bila kuwekeza zaidi kwenye video na uchezaji asingekuwa tofauti na sholo mwamba.
 
MPAKtr SASA USHATAZAMWA ZAID YA MARA MILION NANUSU VIBANDANI MWOTE UNAPIGWA UOUO BODABODA USISEME YAAAN VURUGU AFU WANATAKA UISHI MAISHA MAREFU UOWIMBO NI WACHUMA NIN?
NOTE WIMBO WOWOTE UKIHIT AUWEZ KUISHI

tofautisha kati ya kuhit na kuwa na atension kubwa ya kusikilizwa huu wimbo wa kawaida lln mwenye nao anaatension kubwa na team zote kwahyo akitoa track team zote lazma ziangalie nini kafanya ndo tofauti ya Diamond na wasanii wengine hapa bongo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi tuitambue Pornoflavour rasmi. Huu wimbo ni Pornoflavour kabisa. Na ndicho vijana wanachopenda, jamaa anacheza na soko.
 
Wiki moja tu ushasahaulika.

Siku domo akitoa wimbo wa kudumu (wake au wa kushirikishwa)nitamsifia sio hizi za utamu wa jojo dakika tu zishaisha utamu,ladha na kila kitu

#Haterkazini
Inama hadi leo inapinapgwa mtaani haichuji

#shabikilialiakazini

yess BiShoo haswaaAaa
 
Back
Top Bottom