Akili yako fupi. Wote ni watz jus give support when it comes to international level kibongobongo ndo uwapambanishe. Don't tell uko tayari davido achukue kisa u think AY deserved more
He is an inspiration!
hata shilole anafanya show mbele..commentless of urs
Kilichobaki ni kumpigia kura tu chuki ziwekwe pembeni.
yakwako ndefu inafika mpaka wapi,yes lets Davido or mafikizolo take that they almost real and good sio kama huyo boy wahapa nyumbani
Hajakuchanganya,jamaa kaongea ukweli,BET awards ni ya U.S.A,na hiyo tuzo aliyotajwa Diamond siyo B.E.T awards ila M.T.V awards za Africa Kusini.So mleta mada kachemka kusema ni B.E.T awards
Hongera sana Diamond Platnumz, acha wenye roho za kinyoga wajinyoge tu. Cha msingi ikifika kipindi cha kura weka publicity ya kutosha ili watanzania wakupigie kura!!! Hata sisi tusiokuwa vijana tutakupigia tu.
Natamani hasingejiita 'Diamond Platinumz'...labda angejiita 'Tanzanite' hivi...lingekuwa shavu kubwa zaidi kwa Tanzania!
Angejiita hivyo pia usingekosa la kusema, watu wasio - appreciate hawakosagi cha kutamka wakati wa kukosoa!
Bila shaka ungesema unatamani ajiite Tanganyika, Kilimanjaro, Bongo etc (au Ukawa kabisa).