FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Asienda kuvaa sketi tuu.., maana hiyo mitindo yake ya siku hizi ni hatari.., aombe ushauri nini cha kuvaa.., na asiombe ushauri kwa wema atamuaibisha kule..
let me be hater to this rubbish music
sijui kwa vigezo vipi kawa nominated lakini kwa mara nyingine hatuja toa mshindani katika hizo tuzo,i opt AY ndo angekuwa nominee kwasababu ngoma zake ni international zaidi kuliko za huyu dogo nadhani kilicho mpeleka pale huyu ni collabo yake na Davido,

hebu nambie hicho anachojua ntakubaliana na weweacha chuki binafsi mkuu,jamaa anajua sana huwezi mlinganisha na msanii yeyote hapa bongo
mh mkuu rpg wewe hiyo list yako umetoa wapi? amekuwa Nominated bana, fuatilia hii link hapa utaona BET Awards 2014 Nominees Revealed: Beyonce, Jay Z, and Drake - Us Weekly
sijui kwa vigezo vipi kawa nominated lakini kwa mara nyingine hatuja toa mshindani katika hizo tuzo,i opt AY ndo angekuwa nominee kwasababu ngoma zake ni international zaidi kuliko za huyu dogo nadhani kilicho mpeleka pale huyu ni collabo yake na Davido,
let me be hater to this rubbish music
huyu ata angekuwa mwanasayansi kingeeleweka
Iweje kaleta sifa Tanzania wakati tuzo zenyewe ni za hapa hapa?,labda sema kaleta sifa kwenye familia yake.Ingekuwa kapata tuzo nje ya Tanzania,ungekuwa sahii kusema kaleta sifa Tanzania.Nadhani ndivyo Kiswahili kinatakiwa kiwe .
sijui kwa vigezo vipi kawa nominated lakini kwa mara nyingine hatuja toa mshindani katika hizo tuzo,i opt AY ndo angekuwa nominee kwasababu ngoma zake ni international zaidi kuliko za huyu dogo nadhani kilicho mpeleka pale huyu ni collabo yake na Davido,
acha chuki binafsi mkuu,jamaa anajua sana huwezi mlinganisha na msanii yeyote hapa bongo