Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Dogo yupo vizuri..kila la kheri kwake
nitajitahidi hiyo siku nitulie nichek
Ni show ambayo huandaliwa vizuri sana na nyimbo nyingi zitakazopigwa siku hiyo ni hizi ambazo ziko kwenye chart, huwa nahakikisha siikosi.
sijui kwa vigezo vipi kawa nominated lakini kwa mara nyingine hatuja toa mshindani katika hizo tuzo,i opt AY ndo angekuwa nominee kwasababu ngoma zake ni international zaidi kuliko za huyu dogo nadhani kilicho mpeleka pale huyu ni collabo yake na Davido,
hawezi kushinda
Nenda katafakari tena....all lyrics were ment for the chick they wa singing about...wanamuimbia msichana c davido anamuimbia diamondKuna ubeti kwenye my number One davido anaimba kwamba kutoka Tanzania mpaka lagos nitakufanya uwe maarufu Ama kweli huyu jamaa alipatia, kiasi kikubwa Davido kambusti huyu dogo kwenye ile remix!!
Long time man! Happy to see you around!!,
Hata asiposhinda kwani atalala njaa km wewe apo nyumban kwako roho mbaya tuuu