Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

Sasa Mkuu Ndugu mimi sipo humu kujulikana nipo humu kuwalisha ninacho kitaka.

Sasa kama unaumia ni ww umechagua kuumia Mku Ndugu kwa kusoma post zangu na sija kulazimisha Mkuu Ndugu ni ww shobo zako kudandia post za wanaume.
Huyo jamaa yupo vizuri sana humu jukwaani...ila kwenye habari za diamond anajitoaga akili anakua zezeta Sijui kwanini
 
Mimi sijamzungumza mtu fulani, nimezungumzia hiyo kamari ambayo ndiyo imekatazwa. Tafadhali tafautisha kati ya viwili hivyo.
Mbona kuna vitu vingi vimekatazwa we umeona kamari tu? vp kuhusu uzinzi,ushoga,uongo na unafki ukiepuka hayo yote ndio utakua huru hata kusema kamari ni dhambi.
 
Mbona kuna vitu vingi vimekatazwa we umeona kamari tu? vp kuhusu uzinzi,ushoga,uongo na unafki ukiepuka hayo yote ndio utakua huru hata kusema kamari ni dhambi.
Kijana hapa iliyozungumzwa ni kamari kwani hatuko kwenye mahubiri ya dini. Ungekuwa ni mjadala wa dini ndiyo tungeongelea yote hayo.
 
Hiyo logo angeweka ile rangi halisi ya wasafi ingependeza zaidi
 
Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.

Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.

Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.

View attachment 2023903
Nani kamjengea chuki kwani?
 
Back
Top Bottom