Tatizo la Maccm ni kujipendekeza, yanampa mtu sifa hata hasiyostahili!!
"Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo.
Membe amehakikisha anamgombanisha JK na kila rafiki yake akitegemea urais ataupata kwa mgongo wa familia ya JK huku akisahau kuwa nani alimuweka JK madarakani.
Hii kauli ya Dialo duh (Kama Lowasa ni mzima akimbie uwanja wa Taifa raundi moja kama hajajikuta ICU!!" Diallo))!!!
M naomba kuuliza wakuu hivi hyu jamaa amelipa mishahara ya wafanyakazi wake?? Isije kuwa yy anaugonjwa mkubwa kuliko wa EL..! Mwenye kujua aniambie plz
Membe Ni kama popo, sio mnyama, sio ndege. Nani ampe uraisi popo? Akienda arabuni Ni muislam swala tano, akirudi bongo Ni mkristo. Huyu Joka la Mdimu Ni janga la kitaifa
Mkuu unaongea kweli tupu. Ukiweka ushabiki pembeni, mamvi ni kichwa mnoo! Sana. Halafu majority ya CCM zina IQ za kina Komba et.al.
Huyu Edo mpaka sasa hatujamsikia hadharani au kwenye chombo cha habari akibwabwaja chochote, ila sasa utawaonea huruma wapinzani wanvyohangaika na kubanwa mavi.
Jamaa anaitisha tu mkutano jimboni kwake na kusema safari ya matumaini inaanza, watu huku kelele magazetini kibao. Kaitisha mkutano wa wana boda boda Dar, wapinzani wanahangaika hadi kuitisha mkutano kamati kuu izuie mbio za uraisi. Mshikaji anaenda jogging tu, hahahaha watu vilio kelele hadi bungeni kudaaaadeki!! Yeye kimyaaaa! Unajua namkubali hadi naogopa.
Sasa akianza nguruma itakueje Mungu wangu!! Na wanamwogopa sababu Edward ni mtu asiependa ujinga na wajinga, sasa kwasababu a majority ya CCM ni vilaza lazzima chupi zibane.
ONWARD THE BRAIN LOWASSA MARCHING AS TO WAAAR, WITH THE LOVE OF TANZANIANS VICTORY IS ASSURED!![/QUOTE
Next president ED namkubali huyu jamaa saana Mungu amtangulie safari yetu itimie
Wewe kwel hujielew kaka nina wacwac na upeo wako mwenye macho haambiw tazama ukatae ukubali lowasa ndo rais ajaye na ukerewe utaenda kwa nauli gani na shangaz ndo kakuleta mjiniPole sana ndugu yangu kwa kuwa na akili finyu kama fito, unafikiri na mimi ni kama wewe uliejiliwa na fasadi la nchi kulitetea ili lichuku madaraka, ya nchi liwanyonye vizuri wananchi.
Nimepitia kwa ukaribu uzi huu wa vita ya maneno kati ya timu EL na Diallo. Watu wameacha kujadiri kilicho wekwa mbele yetu na kujikita kwenye personal issues. Je ni kweli EL alikwamisha dili la ccm na MTN? Je afya ya mamvi ni mgogoro? Je ni kweli EL aliwasaidia vodacom SA na akapatiwa hisa za vodacom tz? Je watoto wa EL ni super-dealer wa voda? Hayo ndo tujadiri hapa tuache kuwazia makalio. Kwa ufahamu wangu vodacom tz inamilikiwa na vodacom SA, Roastam aziz, peter noni na alphatel!! Sasa alphatel ni nani? Watetezi wakina pasco watusaidie
Wewe si Mungu usijifanye huwezi kuugua, isitoshe Mungu hapendi Tabia ya kuwabambikia watu Maradhi, Ugonjwa hauna Hodi kila mtu anaweza kuugua mda wowote , kumbuka mwakani bado ni mbali sana je? Una Uhakika na Afya ya boss wako Dialo na membe? Si unamjua Dialo ana shahada ya Michepuko na Adhabu ya michepuko huwa ni Ukimwi .je? Una una uhakika na Uzushi wako? Acha hizo vigezo vyako vya uwanja wa Taifa, Lowasa anaweza kukimbia hata mita 10,000 acheni kukariri Fikra za membe.
Ingawa sijaona busara ya Waziri mzima (aliyekuwa) kujibu mambo kama haya kilichonisikitisha zaidi ni kutaja ugonjwa wa Lowassa. Kimaadili si sahihi hata kidogo kushangilia maradhi ya mwenzoi (kama kweli anayo), na hatujui je, wewe ni mzima kweli? Nasikitika kwamba mbali na siasa zenu umegusa hata kazi ya MUNGU. Majibu na hoja zote ovyo kabisa!
Mbona Diallo nae kama kaanza kujipigia kampeni taratibu,mbna kuna watu mnaifanya nchi ionekane kua inaweza tawaliwa na mtu yoyote? Haijalishi umefanya mangap like kujenga barabara 100 ila Raisi anahitaji kua muadilifu na mwenye kuheshimu maadili ya kazi.Sio kuthamini waliokuweka madarakani like marafiki ila wathamini wananchi unaowaongoza na waliokupa kura nyng za kufika hapo ulipo.
Kuna watu wanaiharibu nchi na kufanya hata mtoto mdogo asiekua na maadili kuamini kua anaweza kua Raisi
Hapa tunaongelea kichwa cha Habari pale juu ( Dialo amlipua Lowasa ) yaani Maana yake Dialo ameanzisha choko choko kwa Lowasa hivyo jukumu letu ni kumtetea lowasa kwani yeye anaandamwa sana, Membe yupo busy kusaka wana-siasa dhaifu ili awachonganishe na Lowasa Kama alivyofanikiwa kumshika Akili Dialo na amenasa kwenye mtego wake Kirahisi sana, Kumbuka ni watu wengi wametangaza nia ! iweje watu wakomae na Lowasa pekee ? Tanzania hii Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole.Mkuu unatokwa povu bure juu yangu, hayo sio maneno yangu, ameyasema Diallo!!
Ha ha ha dah umenivunja mbavu mkuu! Etiiii mita ngapiii?? Labda Diallo alimaanisha jingine!!
Alafu mkuu mi sikupati, hebu weka kumbukumbu sawa, kwa hiyo wewe unasema EL ni msaffi sio!?
Unasema pengine Dialo anasema Ukweli huku unahubiri huna upande ? Watu tukueleweje ? Jaribu kutafakari ni kwa nini Dialo hakuzungumza hapo awali ? Pia Dialo yeye Binafsi ni Msafi? Kama ni njaa basi anayo Dialo kwani alifutwa Uwaziri kwa kutapeli dola Laki moja na sasa kanunuliwa na wapinzani wa Lowasa anatumika kwenye siasa za maji taka, Tanzania kila Jambo linawezekana wagombea wote wakichunguzwa kwa makini hadi wale wa Upinzani Hakuna asiye na doa,humu jukwaa la siasa wengi wamepevuka wanajua nani anafaa , cha Msingi ni kuangalia fainali itakuaje ni nani ataibuka kidedea baina ya Timu ya Membe na Timu ya lowasa.Watanzania bwana kumbe wengi wenu bado wachumia tumbo..mimi kama mtanzania wa kawaida ambaye sina kundi nadhani bwana Diallo ametupa just 'food for thought' ya kusaidia kumjua mgombea wetu wa urais 2015. sasa ss badala ya kupembua na kuchanganya na akili zetu mnamzonga bwana Diallo,,hizo ni njaa tu inawezekana kuna mambo amesema ya kweli na tulikuwa hatuna uwezo wa kuyajua kutoka kwa huyo mgombea wetu kipenzi.kwangu mimi kumshambulia whistleblower ni kupoteza maana nzima ya information. bwana Diallo sio mgombea na Membe sijui anaingiaje..huo wote ni upotofu. tusubiri majibu kutoka kwa Lowassa akikanusha hayo au athibitishe uongo wa hayo..Ningekuwa Lowassa kesho ningeenda uwanja wa taifa nikakimbia kuzunguka mara 10 na wapiga picha huru. hii ingetosha kumwumbua Diallo kuliko hii kazi mnayofanya hapa..umma wote umeshaanza kuamini huyo jamaa ni mgonjwa sana..kwa wanaoangalia mchezo wa ngumi bondia akiona mpinzani anamchubuko basi huendelea kulenga hapo hapo hadi amshinde..mshaurini mzee aje na hoja sio kutumia mamluki..kwa wale wanaosema hana papara za kujibu ni kweli yy ameshawaibia waTanzania na sasa amewanunua wajinga wengi kwa pesa ya wizi sasa wanamsemea kwa niaba yake kumbe mnataka afanye nn tena..tuamke jamani tuache njaa tusaidie nchi ipate kiongozi mzuri na sio mtu mwenye madoa madoa..kwangu mm sioni anayefaa kati ya Lowassa na Membe wote ni mizigo tu..hivi maandishi mengi humu jamvini ni kuonyesha jinsi watz tulivyopotea njia na kuelekea upande tofauti kiasi kwamba kurudi tunashindwa.