Diallo amlipua Lowassa

Diallo amlipua Lowassa

Huyu Diallo ni mtu wa ajabu kidogo. Maneno ya kusikia toka mitaani anayatolea majibu kama vile kaelezwa na muhusika?.

Hii si busara hata kidogo na pia inaonesha wazi kwamba reasoning capacity ya huyu mtu ni ndogo sana.
 
Dialo na Lowasa ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjaro , Dialo hana jipya kaamua kusaka Kiki kupitia jina la lowasa jawabu la Ujinga wake atalipata hapa hapa JF .

Kuandikwa kwenyewe imedhihirika hapo kuwa hajui, alafu huyo ndio Dr kweli jamaa ni from darasa la saba to dr...na bado hatazidi kupata maovu yake ya mauaji, ubakaji, ulawiti...na ijumaa hao madada watakuwa na press confrance jijini Dar
 
Lowassa akiwa raisi, nahama tanzania, bora nikawe mkimbizi,
kuliko kutawaliwa na fisadi namna hiyo.

CHEDEMA JUU,

Una hama unayo hata kumi wewe?au ni hii hela ya gadafi unayolipwa na joka la mdimu ndio inayokupa kiburi,ila tambuwa hata uwez kuhamia wilaya nyingine manake utakufa njaa
 
Huyu Diallo ni mtu wa ajabu kidogo. Maneno ya kusikia toka mitaani anayatolea majibu kama vile kaelezwa na muhusika?.
Hii si busara hata kidogo na pia inaonesha wazi kwamba reasoning capacity ya huyu mtu ni ndogo sana.

Haahahahaha mkuu ndio madhara ya akili ndogo...waenga wanakuambia kimya ni akili nyingi sana
 
Mkuu simiyu@Yetu huku mitaani watu nao sio wajinga watajiuliza "why always him?" Kila anayetangaza nia anawaza kupambana na mamvi....Ila mkubali mkatae huyu mwanachama mwenzenu anasiasa za akili sana na ndio sehemu anayowazidi kete na amini nakwambia aliyekuwa na ubavu wa kumvuruga ni nyerere peke yake zaidi ya hapo mamvi ikulu yake 2015

Mkuu unaongea kweli tupu. Ukiweka ushabiki pembeni, mamvi ni kichwa mnoo! Sana. Halafu majority ya CCM zina IQ za kina Komba et.al.
Huyu Edo mpaka sasa hatujamsikia hadharani au kwenye chombo cha habari akibwabwaja chochote, ila sasa utawaonea huruma wapinzani wanvyohangaika na kubanwa mavi.
Jamaa anaitisha tu mkutano jimboni kwake na kusema safari ya matumaini inaanza, watu huku kelele magazetini kibao. Kaitisha mkutano wa wana boda boda Dar, wapinzani wanahangaika hadi kuitisha mkutano kamati kuu izuie mbio za uraisi. Mshikaji anaenda jogging tu, hahahaha watu vilio kelele hadi bungeni kudaaaadeki!! Yeye kimyaaaa! Unajua namkubali hadi naogopa.

Sasa akianza nguruma itakueje Mungu wangu!! Na wanamwogopa sababu Edward ni mtu asiependa ujinga na wajinga, sasa kwasababu a majority ya CCM ni vilaza lazzima chupi zibane.

ONWARD THE BRAIN LOWASSA MARCHING AS TO WAAAR, WITH THE LOVE OF TANZANIANS VICTORY IS ASSURED!!
 
Last edited by a moderator:
Lowassa akiwa raisi, nahama tanzania, bora nikawe mkimbizi,
kuliko kutawaliwa na fisadi namna hiyo.

CHEDEMA JUU,

Kwani Chadema Hakuna Ufisadi ? Je? Pesa ya Luzuku inafika mashinani au hata kule Matawini? ile pesa aliyojikopesha Dr slaa ameirejesha? Yale madeni feki anayowabambikia Mbowe kisha kujilipa kijanja janja pesa za Chama cc na wajanja wenzake wanazimaliza pesa zote makao makuu Kama haujui nenda kaulize wana Chadema olijino watakuhabarisha, mambo ya Lowasa yatakushinda.
 
Una hama unayo hata kumi wewe?au ni hii hela ya gadafi unayolipwa na joka la mdimu ndio inayokupa kiburi,ila tambuwa hata uwez kuhamia wilaya nyingine manake utakufa njaa

Huyo Daudi kapanga kwenye yale magaduro ya mwananyamala kwaiyo kwa akili yake ndogo anafikiri Lowassa ndio kamsababishia hali hiyo ya Maisha, wakati inatakiwa apigane kama mwanaume ili atoke
 
asante mzee Diallo mfukunyue huyo low-asa mapema wananchi tupate kumfahamu.
 
DIALLO IS DEAD AND GONE
DEAD AND GONE...... kaibukia wapi tena?

hapa naona kuna kitu kinaendelea ndani ya chama chetu, kambi mbili zinatolea kashfa ili kuangusha wagombea watarajiwa.
Utumbo alioongea Dialo et Lowassa akazunguke uwanja wa taifa mara moja, mara atafia jukwaani, kama yalitoka kwa kinywa chake, bas tukapime utimamu wake au utu uzima wake ndo unakaribia kuingia.(maneno ya kitoto hayo)
kuna mambo ya taarabu si ya kusema mbele ya watu wazima.
KAJIPANGE UPYA NA WALIOKUTUMA DIALO
 
Kuandikwa kwenyewe imedhihirika hapo kuwa hajui, alafu huyo ndio Dr kweli jamaa ni from darasa la saba to dr...na bado hatazidi kupata maovu yake ya mauaji, ubakaji, ulawiti...na ijumaa hao madada watakuwa na press confrance jijini Dar

dialo anamengi ya mmasai nahapo ndipo mtashangaaa. Mzee mamvi akiwa rais narudi kwetu ukerewe.
 
DIALLO IS DEAD AND GONE
DEAD AND GONE...... kaibukia wapi tena?

hapa naona kuna kitu kinaendelea ndani ya chama chetu, kambi mbili zinatolea kashfa ili kuangusha wagombea watarajiwa.
Utumbo alioongea Dialo et akazunguke uwanja wa taifa mara moja, mara atafia jukwaani, kama yalitoka kwa kinywa chake, bas tukapime utimamu wake au utu uzima wake ndo unakaribia kuingia.(maneno ya kitoto hayo)
kuna mambo ya taarabu si ya kusema mbele ya watu wazima.
KAJIPANGE UPYA NA WALIOKUTUMA DIALO

kama unabisha mchukue lowasa na hao wapiga picha wenu then twende wowote hata wa monduli akizunguka mara moja mimi narudi kwetu UKEREWE.
 
Una hama unayo hata kumi wewe?au ni hii hela ya gadafi unayolipwa na joka la mdimu ndio inayokupa kiburi,ila tambuwa hata uwez kuhamia wilaya nyingine manake utakufa njaa

Pole sana ndugu yangu kwa kuwa na akili finyu kama fito, unafikiri na mimi ni kama wewe uliejiliwa na fasadi la nchi kulitetea ili lichuku madaraka, ya nchi liwanyonye vizuri wananchi.
 
dialo anamengi ya mmasai nahapo ndipo mtashangaaa. Mzee mamvi akiwa rais narudi kwetu ukerewe.

Diallo mlia njaa tu kanafiki ka siku zote.
maovu yake tumeweka ubavuni et leo anatumiwa na kambi ya mtu fulani kumchafua lowasa!
hiyo star tv na redio zake zimetokea wapi!
AFANYE BIASHARA, SIASA IMEMPITA NYUMA
 
Rais zitto kabwe tu hawa wengine msiba tu..sasa yeye diallo kama aliyajua haya kwa nini asiyaseme kitambo na kuyaripot sehemu husika?
 
Pole sana ndugu yangu kwa kuwa na akili finyu kama fito, unafikiri na mimi ni kama wewe uliejiliwa na fasadi la nchi kulitetea ili lichuku madaraka, ya nchi liwanyonye vizuri wananchi.

Acha majungu wewe mtoto wa kiume tutakuvalisha sketi,eti unahama nchi huna hata ya kulisha familia yako sembuse ukaishi nje kibuyu wewe
 
Lakini kumbuka zipo sifa au matangazo ya aina mbili mazuri na mabaya haya ya lowasa ni matangazo mabaya anachafuka sana mzee lowasa ukweli mwingi unazidi kuwa bayana.

Simiyu yetu pamoja na kwamba ni team lumumba Buk 7 lakini upo ccm Asilia.
 
Huyo Daudi kapanga kwenye yale magaduro ya mwananyamala kwaiyo kwa akili yake ndogo anafikiri Lowassa ndio kamsababishia hali hiyo ya Maisha, wakati inatakiwa apigane kama mwanaume ili atoke

Kwa kuwa na wewe akili yako ni mgando,

ndiyo maana umeandika hivyo, hukujua kwamba ule uzi niliuleta hapa jamvini, kwa lengo ngani?
lengo langu lilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa serikali na kwa watu, kwamba ni kwa nini wafanye biashara ile ili hari kuna watoto wandogo wa kike hamali pale.
wanajifunza nini? kupitia wale machangudoa.
 
Back
Top Bottom