Diallo amlipua Lowassa

Diallo amlipua Lowassa

Lakini kumbuka zipo sifa au matangazo ya aina mbili mazuri na mabaya haya ya lowasa ni matangazo mabaya anachafuka sana mzee lowasa ukweli mwingi unazidi kuwa bayana.

Mkuu simiyu@Yetu huku mitaani watu nao sio wajinga watajiuliza "why always him?" Kila anayetangaza nia anawaza kupambana na mamvi....Ila mkubali mkatae huyu mwanachama mwenzenu anasiasa za akili sana na ndio sehemu anayowazidi kete na amini nakwambia aliyekuwa na ubavu wa kumvuruga ni nyerere peke yake zaidi ya hapo mamvi ikulu yake 2015
 
Last edited by a moderator:
Kweli lowasa yupo peupe sasa watu hawatishwi tena na ubabe wake wanasema kweli tupu yote yatakuwa wazi tu.

Mimi nafurahi sana watu kama Diallo kumpa makavu live. Tatizo huyo mzee mamvi alishajiona yeye ndio Tanzania. Halafu anasahau kile kiuchaguzi tu cha Arumeru kilivyomtoa jasho, na hela zote zile alizotenga kwa mkwe wake ila bado akapigwa chini. Sasa hivi nguvu ya umma ndo itaunguruma yeye bado ana mbinu za kumwaga hela tu!!! Pia jamani huyu mamvi anapenda sana utawala wa makundi.. yani yeye daima kwenye utawala wake ataangalia watu wake tu. Hapa tu hajavuka kokote kashatengeneza makundi. Hatutaki mtu ataetugawa kati ya wenye nacho na wasio nacho.
 
Mkuu simiyu@Yetu huku mitaani watu nao sio wajinga watajiuliza "why always him?" Kila anayetangaza nia anawaza kupambana na mamvi....Ila mkubali mkatae huyu mwanachama mwenzen



anasiasa za akili sana na ndio sehemu anayowazidi kete na amini nakwambia aliyekuwa na ubavu wa kumvuruga ni nyerere peke yake zaidi ya hapo mamvi ikulu yake 2015
kaka njia iliomuingiza jk ikulu ndo itamuingiza lowasa ikulu 2015 membe atake au asitake
 
Last edited by a moderator:
Mzee Diallo anasumbuka na frustrations za kufulia, hata mishahara ya wafanyakazi wake ngumu kulipa. Ataweza kweli kushindana na Laigwanan kama alishindwa kwa Kiwia Ilemela? But hadi nione picha ndio nitaamini Diallo kaongea haya, na kama Ni kweli CCM itarest in peace very soon
 
Mzee Diallo anasumbuka na frustrations za kufulia, hata mishahara ya wafanyakazi wake ngumu kulipa. Ataweza kweli kushindana na Laigwanan kama alishindwa kwa Kiwia Ilemela? But hadi nione picha ndio nitaamini Diallo kaongea haya, na kama Ni kweli CCM itarest in peace very soon

Ha ha ha mkuu hata mimi hili limenipa shida kidogo...nikajiuliza ni Anton huyu au kalishwa maneno?
 
Wote hao ni wamoja, tunapotezewa concentration wakati wenyewe wanapiga pesa kila kona... ushenzi mtupu huu
 
Membe Ni kama popo, sio mnyama, sio ndege. Nani ampe uraisi popo? Akienda arabuni Ni muislam swala tano, akirudi bongo Ni mkristo. Huyu Joka la Mdimu Ni janga la kitaifa
Hahhaha asante kaka umenifurasha sana sasa anaweza kulala membe amevunja ndoa ya Ckristina Shusho
 
katika sala yangu leo nmemuomba mungu wangu amuongezee maisha marefu mzee lowasa ili membe na dialo washuhudie furaha ya watanzania akichukua nchi amen
Ocampo four
member four 2015
 
Eeh hii ndio kwa kizungu husema.. "Kupiga mkanda chini ya tumbo'..teh🙂
 
Kwanini SIASA za KIAFRIKA ni UADUI wa kukatana MASHOKA ???

Sasa, Kama isingekuwa huyo LOWASSA na personal wealth yake pamoja na connection ndani ya CCM kweli KIKWETE angepata URAIS mara ya pili ???

Kumbuka kuna kina SALIM AHMED SALIM ambao Majina yao yalipelekwa Mara 2 Mkutano Mkuu ili awe Rais wa Jamhuri ya Muungano au Rais wa Zanzibar lakini wajumbe hawakutosha na alikuwa ni pendeleo la Mwalimu NYERERE

Lakini, KIKWETE hiyo Mara ya kwanza Jina lake lilipata kura nyingi zaidi hata ya MKAPA pendekezo la Mwalimu NYERERE na hiyo ilikuwa ni kazi ya Mnayemchukia sasa kwa UDI NA UVUMBA - LOWASSA...


Mwanadamu hatosheki... Ukiangalia UONGOZI wote wa CHAMA TAWALA hakuna aliye Msafi; Kama Watu wanamuuliza swali RAIS KIKWETE akiwa nje ya NCHI kuhusu Masuala ya Mwanae na Madawa ya kulevya huko CHINA; Ujue kuwa there is a MAJOR ETHICAL PROBLEM RUNNING IN OUR RULING GOVERNMENT...

Lakini tunayafumbia Macho na kuwa VIZIWI tunaandama adui wetu kwasababu UMMA na MEDANI tunazishikilia lakini kumbuka
- WHAT GOES AROUND COMES AROUND...

X Kituo cha Radio na TV cha DIALO Mbona hakilipi wafanyakazi???

c.c
Allan Halid Kiluvia
 
Back
Top Bottom