newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Na mie naomba kujua pls.nilizaliwa
5 April 1992
Sunday
Saa mbili usiku
Wilaya Karagwe
Mkoa kagera
5 April 1992
Sunday
Saa mbili usiku
Wilaya Karagwe
Mkoa kagera
samahani mkuu nilikosea ni tarehe 27 mwenzi wa 8 ile niliandika nilikuwa na usingizi nilikosea nidavavavulie hapo mlango wangu wa nane ni upi
na wa kwanza ni upi
je unaweza pia kujua mlango kwa kufuatisha majina ya ya mwanzo ya baba mama na lako kugawanya idadi ya jumla na inayobaki
araf pia kuna yale makundi kuu manne hayo nayo ni UDONGO UPEPO MAJI na MOTO nayo yana milango na nipo ktk kundi lipi hapo
Naomba kujua 23/11 na 15/2 tafadhali ukinipenda nitajie na 15/1 na 6/3 hizi ni tarehe na mwezi
Na mie naomba kujua pls.nilizaliwa
5 April 1992
Sunday
Saa mbili usiku
Wilaya Karagwe
Mkoa kagera
Kifyatu uko njema sana mtaa huu lazima nikupongezeMkuu mshana jr hatujatofautiana katika maelezo.
Kila mtu ana MLANGO WAKE WA NANE. Sasa kutokana na mipangilio ya sayari na mwezi kwenye mlango wako wa nane unaweza kuwa na bahati mbaya (nuksi, mikosi, kila unaemuoa au anaekuoa anafilisika au kufa) au bahati nzuri.
Katika mlango huu huu wa nane unaweza kukufanya uwe na bahati nzuri au kismati kiasi cha kwamba ukishika jiwe linageuka almasi - kama wakina mzee Mengi (unaanza biashara kwa kunyonya wino kwa mdomo kujaza BIC mpaka kufikia kuwa Tycoon), Bhakressa, nk.
Mwanamme au mwanamke mwenye mlango wa nane mbaya (nuksi, nk.) basi hata vizazi vyake navyo vinaweza kuwa na bahati mbaya au nuksi pia. Ndio maana mara nying hizi familia za mlango wa nane watu wanaogopa kwenda kuoa au kuolewa.
Si kweli kuwa wenye nuksi (milango ya nane mibaya) ni wanawake tu. Hata wanaume pia wanaweza kuwa nayo.
Cha muhimu ni kujua sisi sote kila mmoja wetu ana mlango wake wa nane. Lakini ni wale tu wenye nuksi ndani ya mlango wao wa nane ndio wanaohusishwa na mlango huu.
pamoja mkuu ila nasikia mnaweza kuwa tofauti lkn mkaelewana inategemea mpo kundi gan na mkaelewana au msielewane mfano mume udongo mke upepo hapo ndo itakuwa ni kichefuchegu 7bu sifa ya upepo ukaukuta udongo unautimua so hawawezi kuwa pamoja lakini mwanaume akawa maji na mke moto ndoa hutulia 7bu sifa ya maji ni kuuzima moto lakini mume moto mke moto hapo kasheshe kitabia dawa ya moto ni moto ndo ngumi mtindo mmoja 7bu moto + moto =motomkubwaWewe wa 27/8 ni mwenzangu. Mlango wetu wa kwanza ni Virgo na wa nane ni Aries. Lakini kwa sababu umezaliwa karibu sana na Leo, unaweza kuwa na mabaki ya haiba ya mlango huo wa Leo.
Kuna njia nyingi za kufanya utabiri. Kuna wanaotumia majina (MziziMkavu alitoa bandiko lake la haya majina na linatisha - big up. Nikipata link yake nitaiweka au kama mwenyewe akitembelea hapa natumai atafanya hivyo). Pia kuna watu wanaotumia namba (inaitwa Numerology) za kuzaliwa kwako ili kukupa utabiri. Kwa mfano, kama ulizaliwa 23/6/1997, unazijumlisha hizi namba (2+3+6+1+9+9+7 = 37, halafu 3+7 = 10, halafu 1+0 = 1.) Hii namba 1 ndio inayotumiwa kukupa utabiri wako.
Milango yote imegawanywa katika makundi manne uliyoyataja - MOTO, UDONGO (ARDHI), MAJI, na HEWA. Milango ya kundi moja inashabihiana sana haiba zao. Haya makundi na milango yake ni haya:
MOTO: Aries, Leo, Sagittarius
UDONGO: Taurus, Virgo, Capricorn
MAJI: Gemini, Libra, Aquarius
HEWA: Cancer, Scorpion, Pisces.
Haya makundi mara nyingi hutumika kuona kama wana ndoa wataelewana au la. Watu wa kundi moja huelewana zaidi kuliko watu wawili wa makundi tofauti.
Wewe mkuu kundi lako ni UDONGO kama mimi.
Kifyatu uko njema sana mtaa huu lazima nikupongeze
pamoja mkuu ila nasikia mnaweza kuwa tofauti lkn mkaelewana inategemea mpo kundi gan na mkaelewana au msielewane mfano mume udongo mke upepo hapo ndo itakuwa ni kichefuchegu 7bu sifa ya upepo ukaukuta udongo unautimua so hawawezi kuwa pamoja lakini mwanaume akawa maji na mke moto ndoa hutulia 7bu sifa ya maji ni kuuzima moto lakini mume moto mke moto hapo kasheshe kitabia dawa ya moto ni moto ndo ngumi mtindo mmoja 7bu moto + moto =motomkubwa
vivo hvyo udongo na maji huweza kutulia hiyo ndoa bila kujali mume yupo udongo au maji 7bu vina sifa ya kuwa pamoja
so vijana kabla hatujaoana tuangalie kwanza nyota zetu kwa ajili ya mambo mengi sana
kujua wakati gan ndoa hufunge na wapi na mwanamke/mume wa aina gani
hvyo elimu ya nyota ipo na vitabu vyte vimeelezea Kwenye UKRSTO na UISLAMU ila ttzo pa kuipata hiyo elimu wengi hupotosha mwisho ujikuta unaingia kwenye USHIRIKINA
lkn ukiitumia vizuri inamiongozo vema sana katika maisha
Napingana na hilo mkuu. Mimi ni HEWA na mke wangu ni UDONGO, huu ni mwaka wa 9 kwenye ndoa, mikwaruzo yetu ni ya kawaida katika ndoa. Nipo na furaha kabisa kwenye ndoa yangu.pamoja mkuu ila nasikia mnaweza kuwa tofauti lkn mkaelewana inategemea mpo kundi gan na mkaelewana au msielewane mfano mume udongo mke upepo hapo ndo itakuwa ni kichefuchegu 7bu sifa ya upepo ukaukuta udongo unautimua so hawawezi kuwa pamoja lakini mwanaume akawa maji na mke moto ndoa hutulia 7bu sifa ya maji ni kuuzima moto lakini mume moto mke moto hapo kasheshe kitabia dawa ya moto ni moto ndo ngumi mtindo mmoja 7bu moto + moto =motomkubwa
vivo hvyo udongo na maji huweza kutulia hiyo ndoa bila kujali mume yupo udongo au maji 7bu vina sifa ya kuwa pamoja
so vijana kabla hatujaoana tuangalie kwanza nyota zetu kwa ajili ya mambo mengi sana
kujua wakati gan ndoa hufunge na wapi na mwanamke/mume wa aina gani
hvyo elimu ya nyota ipo na vitabu vyte vimeelezea Kwenye UKRSTO na UISLAMU ila ttzo pa kuipata hiyo elimu wengi hupotosha mwisho ujikuta unaingia kwenye USHIRIKINA
lkn ukiitumia vizuri inamiongozo vema sana katika maisha
Napingana na hilo mkuu. Mimi ni HEWA na mke wangu ni UDONGO, huu ni mwaka wa 9 kwenye ndoa, mikwaruzo yetu ni ya kawaida katika ndoa. Nipo na furaha kabisa kwenye ndoa yangu.
Kwanza asante mkuu. Ndoa ni kutambua unapokosea na kurekebisha mapema kabla halijawa tatizo sugu. Nimekuelewa vizuri kabisa hapo mkuu. Inawezekana ikawa hivyo sababu mimi nimezaliwa Alhamisi saa 6 usiku mwanzo wa siku. Kwahiyo hayo mambo yanayo angaliwa inawezekana...Hongera mkuu kwa ndoa nzuri. Muenzi mwenzio sana. Ndoa ni kuvumiliana.
Sasa kuhusu haya makundi ya HEWA, MAJI, UDONGO, MOTO. Haya yanakupa muongozo mdogo tu kuhusu mahusiano yako na mwenzio. Kuna vitu vingi vinavyohitajika ili kupata uelewa mzuri wa mahusiano yenu.
Kwa mfano:
Kama wewe mlango wako wa kwanza uko kundi la HEWA lakini wakati (saa kamili) unazaliwa nyota iliyokuwa inajitokezea mashariki (inaitwa Ascendant, tuseme Taurus ) ni kundi la UDONGO, basi hata kama wewe utakuwa na haiba ya HEWA lakini haiba hii itaathiriwa na ile Ascendant ya UDONGO.
Kwa hiyo usitumie tu haya makundi kujua kama mahusiano yatakuwa mazuri au vipi. Ni muhimu zijengwe NATAL CHARTS (yako na mwenzio) ili kujua vizuri mahusiano yenu.
Kwa utabiri mzuri unahitaji kujua ni nini kilichokuwa kinatokea katika milango yako yote 12 pamoja na kujua mlango (nyota) uliokuwa unapanda (unazaliwa) mashariki (Ascendant) wakati wewe unazaliwa.
Sijui kama hii imesaidia.
Asante kiongozi ngoja nijichimbie kusoma yote hayoMkuu Iron Lady, habari za siku?
Majibu ya maswali yako ni haya. Nitaweka tarehe, mlango wa kwanza, mlango wa nane
23/11 Sagittarius, Cancer (Lakini kwa kuwa tarehe hii iko mpakani unaweza pia kuwa Scorpio, Gemini)
15/2 Aquarius, Virgo
15/1 Capricorn, Leo
6/3 Pisces, Libra
Mkuu, ndoa ni dhana pana zaidi.Kwanza asante mkuu. Ndoa ni kutambua unapokosea na kurekebisha mapema kabla halijawa tatizo sugu. Nimekuelewa vizuri kabisa hapo mkuu. Inawezekana ikawa hivyo sababu mimi nimezaliwa Alhamisi saa 6 usiku mwanzo wa siku. Kwahiyo hayo mambo yanayo angaliwa inawezekana...
Sahihi mkuu. Suala muhimu ni kujitambua wewe binafsi kwanza halafu na mwenzio (jirani yako) ndipo maisha yatakavokuwa ya amani.Hongera mkuu kwa ndoa nzuri. Muenzi mwenzio sana. Ndoa ni kuvumiliana.
Sasa kuhusu haya makundi ya HEWA, MAJI, UDONGO, MOTO. Haya yanakupa muongozo mdogo tu kuhusu mahusiano yako na mwenzio. Kuna vitu vingi vinavyohitajika ili kupata uelewa mzuri wa mahusiano yenu.
Kwa mfano:
Kama wewe mlango wako wa kwanza uko kundi la HEWA lakini wakati (saa kamili) unazaliwa nyota iliyokuwa inajitokezea mashariki (inaitwa Ascendant, tuseme Taurus ) ni kundi la UDONGO, basi hata kama wewe utakuwa na haiba ya HEWA lakini haiba hii itaathiriwa na ile Ascendant ya UDONGO.
Kwa hiyo usitumie tu haya makundi kujua kama mahusiano yatakuwa mazuri au vipi. Ni muhimu zijengwe NATAL CHARTS (yako na mwenzio) ili kujua vizuri mahusiano yenu.
Kwa utabiri mzuri unahitaji kujua ni nini kilichokuwa kinatokea katika milango yako yote 12 pamoja na kujua mlango (nyota) uliokuwa unapanda (unazaliwa) mashariki (Ascendant) wakati wewe unazaliwa.
Sijui kama hii imesaidia.
Bwana SOGHOO hapo umezingua. Japo hakuna ninachoelewa kuhusu elimu ya mlango wa 8 lkn ulichoandika wewe hakipo. Eti Wamachame wa uchagani na Washana wa upareni hawaolewi nje ya ukoo wao???!!! Loh! Ukaandika kabisa kwenye public sight kana kwamba una uhakika na ukiandikacho!!!Ni watu ambao wanawake zao hawaolewi nje ya ukoo wao kama vile
Kwa wachagga ni wamachame
wapare ni washana
Tanga ni wabondei
Kama wewe hutoki katika makabila hayo tajwa basi usije ukaoa kwenye hao niliyowataja. Hutapata amani na mafanikio maishani mwako. I stand to be corrected.
haki ya Mungu!!
nijuavyo mimi! mlango wa nane ni natoa mfano:
unaweza kuwa na msichana wa kazi au mke, lakini akishika sahani kavunja, akishika chupa kavunja, akipikia jiko la gesi siku mbili mara limeharibika, rimoti zimepotezwa betry, sofa limeunguzwa au lumechanwa, yaani mlango wa nane hauna maendekeo zaidi ya hasara.
Sio hivyo tu! Nyumba nzima inaweza kuungua au maisha yako yakapotea kabisahaki ya Mungu!!
nijuavyo mimi! mlango wa nane ni natoa mfano:
unaweza kuwa na msichana wa kazi au mke, lakini akishika sahani kavunja, akishika chupa kavunja, akipikia jiko la gesi siku mbili mara limeharibika, rimoti zimepotezwa betry, sofa limeunguzwa au lumechanwa, yaani mlango wa nane hauna maendekeo zaidi ya hasara.
Nahii jamii ya wa Meru inasemekana ni asili moja ni waMachame,inasemekana hawa waMeru walitawanyika kutokana na vita ile ya Mangi Meli na Mangi Sina,lkn kuna wengine wanasema walikumbilia Meru ile ya Arusha sa'bu ya kufukuzwa walisemekana waMachame walikua wachawi, kwaio wakafukuzwa na kukimbilia katika mbuga ya King'ori kuelekea Arusha ambapo ni ktk mlima Meru,Ila there is a gunuine problem na wamachame. Kule Machame kwenyewe asilimia 70 ya wanawake ni wajane yaani waume zao wamefariki. Hii haiko sehemu nyingine yoyote Tanzania.
Mmachame akiolewa hata na mchagga ambaye sio mmachame ni disaster kubwa kwenye ndoa achilia mbali akiolewa na watu ambao sio wachagga. Chakushangaza wamachame ni wazuri kupitiliza na ni hard working ile mbaya. TATIZO NI NINI.
Wanawake wa kipare huwa hawajunji ndoa kirahisi, hata ukimlazimisha kumwacha atalazimisha ndoa idumu ispokua kwa washana tu.
Hebu tujiulize labda kuna scientific reason behind hawa watu.
Ukioa mnyamwezi kama wewe sio mnyamwezi jiandae kua kama ndondocha. utaosha vyombo, utakogesha watoto bila kusahau deki utapiga na mshahara wote utamkabidhi memsahip au kwa hawa dotcom utakabidhi ATM card.